Mi binafsi nashawishika kuamini kwa ndugu yangu Elisa kigezo muhimu cha mtu kufaa uraisi ni utanashati na umalidadi...tumuelewe hivyo na tuchukuliane naye kama familia inavyoweza chukuliana na mtoto mlemavu .lkn hata akina dada wenyewe wanasema,safari hii hawadanganyiki....ngupula
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>Afirmative Mr. EM. Neither do we need another Lowasa in the system as the President of this country it will be another lost period of five years (I dont think he can manage to go to ten.
>--------------------------------------------
>On Sun, 10/12/14, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] Membe: Tofauti zangu na Lowassa ni za kimtazamo
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Sunday, October 12, 2014, 9:22 PM
>
> Elisa,Mimi nina nia njema kabisa. Lakini
> naomba unishawishi kuwa Membe anaweza. Huyu pia ni mtu
> anayetoa ahadi asizoweza kutimiza.We do not need
> another Kikwete in Ikulu.em
> 2014-10-12 14:16 GMT-04:00
> 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
> Watu wengi wenye nia njema
> wanaelewa kuwa Membe anaweza. Na wanaompinga utaona
> wanavyohangaika. Tumesema waitwe kwenye mdahalo kwa kujua
> Edward hawezi wanasema tunataka utendaji. Namna hii utakuta
> watu wanaacha kunwa mirind na kunwa coka kisa
> Advatisement.
>
> --------------------------------------------
>
> On Sun, 10/12/14, 'Fred Hans Kipamila' via Wanabidii
> <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
>
>
> Subject: Re: [wanabidii] Membe: Tofauti zangu na Lowassa
> ni za kimtazamo
>
> To: "wanabidii@googlegroups.com"
> <wanabidii@googlegroups.com>
>
> Date: Sunday, October 12, 2014, 9:38 AM
>
>
>
> Ngupula,Niliwahi
>
> kukuuliza kama una maslahi
> yoyotena mgombea unayemuuza sana
>
> ukasema huna, sasa kwa nini unamshambulia sana Membe
> kuliko
>
> wote waliojitangaza kuutaka huo urais dhidi ya tu wako?
> Au
>
> Benard anawatia hofu sana kuliko kina Kigwa na
>
> wenzake?Naanza
>
> kuona Membe anaweza kuwa na kitu cha maana dhidi ya
> mgombea
>
> wako ndiyo maana mnatumia muda mwingi kumpaka matope.
> Kama
>
> alivyosema Diamond mti wenye matunda ndiyo unaopigwa
> mawe,
>
> inabidi tumuangalie vizuri BM aweza kuwa mti wa matunda
>
> ndiyo sababu za kumpiga mawe
>
>
>
>
>
> On Saturday, October
>
> 11, 2014 1:52 PM, 'Ngupula GW' via Wanabidii
>
> <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
>
>
>
>
> Kweli kabisa ndugu yangu
>
> Mollel,kumpambanisha lowassa na membe ni kumuonea
>
> Membe...ndio maana Jk hawezi kumpa wizara zaidi ya hiyo
>
> aliyompa ambapo anajua ndio wizara ya kupumzikia. ,yupo
> mtu
>
> wanayemuita sokoine wa pili (Mwigulu
>
> Nchemba)huyo ndio angalau unaweza ukasema
>
> unawapambanisha..lowassa na membe ni sawa na profesa wa
> chuo
>
> kikuu na msanii,halafu unatafuta mwalimu wa
>
> university...ngupula
>
>
>
> 'lesian mollel' via Wanabidii
>
> <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
>
>
> ofcourse
>
> yesUtendaji
>
> wa hawa mabwana wawili ni sawa na kuwapambanisha samba
> na
>
> pundamlia, kwahy lowasa na Membe? Lowasa jembe hata mh
> Jk
>
> alishatamka jamani mbona hamkumbuki records zake za
> uwazir
>
> mkuu wa 3 years tu, Mh membe na uwazir wake huo hadi
> leo
>
> ubalozi wa Italy tu umemshinda, jimbo lake na mtama
> kilio
>
> daily? Nendeni mondoli maji kuwa
>
> jangwani ni maajabu, wafugaji kule wanasema hivi
>
> ukimsimamisha jiwe uliite Lowasa na mtu mkubwa mwenye
> jina
>
> kubwa pale jimboni wako tayar kulipia jiwe kura than
> huyo
>
> mtu, hili ni jiwe na burudoza la kazMsijaribu
>
> kuwapambanish , MANENO SI MATENDO
>
>
>
> On Friday, October
>
> 10, 2014 11:59 AM, Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com>
>
> wrote:
>
>
>
>
>
>
>
> ndupula nakuunga mkono,
>
> tumeshachoka na porojo tunataka mchapa kazi.
>
> On Oct 10, 2014 8:04
>
> PM, "'Ngupula GW' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
>
> wrote:
>
> Hayo ni
>
> mawazo yako msee,kuna tofauti ya usanii wa kujieleza,na
>
> uwezo wa kiutendaji..uwezo wa kiutendaji ni record ya
>
> mtu...sisi wengine huwezi ukatuambia utamnyang'anya
>
> simba kitoweo wakati ukimuona panya unakimbia...tatizo
> la
>
> uongoz wa tz sio sera wala mipango,ni usimamizi wa
>
> utekelezaji wa mipango mizuri iliyopo ili kuleta
> tija...na
>
> ukweli ni kuwa,kama lowassa ni mzee basi mbadala wake
> hawezi
>
> kuwa Membe bali ni Mwigulu Nchemba...kumbukeni ni record
> ya
>
> utendaji katika kuleta tija...ngupula...
>
>
>
>
>
>
>
> 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
>
> wrote:
>
>
>
>
>
>
>
> >Dawa ni kuwapambanisha kwenye Mdahalo. Hapo ndipo
>
> atakayeonekana mwenye sera za maana na ambaye amepitwa
> na
>
> wakati.
>
>
>
> >Ukimtaja humu utashambuliwa na nyigu Lakini
> mdaahalo
>
> utaonyesha usee wa ndani ambao unaonekana na nje sasa
>
>
>
> >--------------------------------------------
>
>
>
> >On Fri, 10/10/14, Abdalah Hamis <hamisznz
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment