Afirmative Mr. EM. Neither do we need another Lowasa in the system as the President of this country it will be another lost period of five years (I dont think he can manage to go to ten.
--------------------------------------------
On Sun, 10/12/14, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Membe: Tofauti zangu na Lowassa ni za kimtazamo
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, October 12, 2014, 9:22 PM
Elisa,Mimi nina nia njema kabisa. Lakini
naomba unishawishi kuwa Membe anaweza. Huyu pia ni mtu
anayetoa ahadi asizoweza kutimiza.We do not need
another Kikwete in Ikulu.em
2014-10-12 14:16 GMT-04:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Watu wengi wenye nia njema
wanaelewa kuwa Membe anaweza. Na wanaompinga utaona
wanavyohangaika. Tumesema waitwe kwenye mdahalo kwa kujua
Edward hawezi wanasema tunataka utendaji. Namna hii utakuta
watu wanaacha kunwa mirind na kunwa coka kisa
Advatisement.
--------------------------------------------
On Sun, 10/12/14, 'Fred Hans Kipamila' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Membe: Tofauti zangu na Lowassa
ni za kimtazamo
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, October 12, 2014, 9:38 AM
Ngupula,Niliwahi
kukuuliza kama una maslahi
yoyotena mgombea unayemuuza sana
ukasema huna, sasa kwa nini unamshambulia sana Membe
kuliko
wote waliojitangaza kuutaka huo urais dhidi ya tu wako?
Au
Benard anawatia hofu sana kuliko kina Kigwa na
wenzake?Naanza
kuona Membe anaweza kuwa na kitu cha maana dhidi ya
mgombea
wako ndiyo maana mnatumia muda mwingi kumpaka matope.
Kama
alivyosema Diamond mti wenye matunda ndiyo unaopigwa
mawe,
inabidi tumuangalie vizuri BM aweza kuwa mti wa matunda
ndiyo sababu za kumpiga mawe
On Saturday, October
11, 2014 1:52 PM, 'Ngupula GW' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Kweli kabisa ndugu yangu
Mollel,kumpambanisha lowassa na membe ni kumuonea
Membe...ndio maana Jk hawezi kumpa wizara zaidi ya hiyo
aliyompa ambapo anajua ndio wizara ya kupumzikia. ,yupo
mtu
wanayemuita sokoine wa pili (Mwigulu
Nchemba)huyo ndio angalau unaweza ukasema
unawapambanisha..lowassa na membe ni sawa na profesa wa
chuo
kikuu na msanii,halafu unatafuta mwalimu wa
university...ngupula
'lesian mollel' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
ofcourse
yesUtendaji
wa hawa mabwana wawili ni sawa na kuwapambanisha samba
na
pundamlia, kwahy lowasa na Membe? Lowasa jembe hata mh
Jk
alishatamka jamani mbona hamkumbuki records zake za
uwazir
mkuu wa 3 years tu, Mh membe na uwazir wake huo hadi
leo
ubalozi wa Italy tu umemshinda, jimbo lake na mtama
kilio
daily? Nendeni mondoli maji kuwa
jangwani ni maajabu, wafugaji kule wanasema hivi
ukimsimamisha jiwe uliite Lowasa na mtu mkubwa mwenye
jina
kubwa pale jimboni wako tayar kulipia jiwe kura than
huyo
mtu, hili ni jiwe na burudoza la kazMsijaribu
kuwapambanish , MANENO SI MATENDO
On Friday, October
10, 2014 11:59 AM, Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com>
wrote:
ndupula nakuunga mkono,
tumeshachoka na porojo tunataka mchapa kazi.
On Oct 10, 2014 8:04
PM, "'Ngupula GW' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Hayo ni
mawazo yako msee,kuna tofauti ya usanii wa kujieleza,na
uwezo wa kiutendaji..uwezo wa kiutendaji ni record ya
mtu...sisi wengine huwezi ukatuambia utamnyang'anya
simba kitoweo wakati ukimuona panya unakimbia...tatizo
la
uongoz wa tz sio sera wala mipango,ni usimamizi wa
utekelezaji wa mipango mizuri iliyopo ili kuleta
tija...na
ukweli ni kuwa,kama lowassa ni mzee basi mbadala wake
hawezi
kuwa Membe bali ni Mwigulu Nchemba...kumbukeni ni record
ya
utendaji katika kuleta tija...ngupula...
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>Dawa ni kuwapambanisha kwenye Mdahalo. Hapo ndipo
atakayeonekana mwenye sera za maana na ambaye amepitwa
na
wakati.
>Ukimtaja humu utashambuliwa na nyigu Lakini
mdaahalo
utaonyesha usee wa ndani ambao unaonekana na nje sasa
>--------------------------------------------
>On Fri, 10/10/14, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
wrote:
>
> Subject: [wanabidii] Membe: Tofauti zangu na Lowassa
ni
za kimtazamo
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Friday, October 10, 2014, 8:46 AM
>
> Raia Mwema: Kuna mazungumzo miongoni mwa viongozi
wa CCM na
> serikalini kwamba Membe anatajwa na Edward Lowassa
kuwa
> ndiye adui yake mkubwa au kwa lugha nyingine,
ndiye
mchawi
> wake kisiasa. Madai haya unayazungumziaje? Ni
> kweli?
>
>
> Membe: Unajua katika masuala haya ya siasa, wapo
wanaoamini
> kwamba ni lazima uwe na maadui wa kisiasa.
Inawezekana
> kujitokeza misimamo ikatofuatiana kuhusu masuala
fulani
ya
> msingi katika mambo haya ya uongozi wa nchi na
hasa
nchi
> ambayo bado iko kiwango fulani cha umasikini kama
> Tanzania.
> Mimi nimekuwa nikiamini katika kuongoza kwa
misingi
> ya ulinzi wa raslimali za nchi, maadili
yanayojenga
uongozi
> bora na imara pamoja na kulinda, kutetea na
kupigania
hadhi
> ya nchi yetu popote duniani.
> Mtu ambaye pengine haamini katika misimamo hiyo
kama
> yangu, si ajabu akatajwa kuwa ni adui yangu
kisiasa,
kwa
> sababu viongozi wenzangu wengi wanajua
ninachokiamini
na
> hata Rais Kikwete naye anajua ninachokiamini
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment