Thursday 5 December 2013

[wanabidii] SEMINA YA UJASIRIAMALI KWA WAKAZI WA MWANZA



Napenda kuwafahamisha kwamba CPM Business Consultants, yenye makao makuu jijini Dar es salaam, ikishirikiana na Tuwafikie Tanzania  tawi la Mwanza wataendesha semina ya ujasiriamali, katika ukumbi wa Victoria Palace. Semina hii itaendeshwa kwa  siku ya 3 kuanzia tarehe 13/12/2013 hadi tarehe 15/12/2013. Kiingilio kwenye semina hii ni sh 25,000  kwa kila mshiriki. Mwezeshaji atakuwa ni Charles Nazi Mshauri wa biashara na mtunzi wa kitabu cha Mbinu za biashara. Mada zitakazofundishwa ni kama ifuatavyo;

1.Maana ya Ujasiriamali
2. Siri ya utajiri

3.Namna ya kuanzisha biashara.
3. Namna ya kutafuta masoko na kutangaza biashara yako.
4. Namna ya kupambana na vikwazo katika biashara yako.
5. Namna ya kuweka kumbu kumbu za hesabu za biashara yako.
6. Jinsi ya kuandaa mchanganuo

7.Maswali na majibu.

Kwa wale ambao watataka kuhudhuria semina hiyo wapige simu au watume ujumbe kwenye simu namba 0768955185

CHARLES NAZI
MWEZESHAJI WA SEMINA YA UJASIRIAMALI 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment