Sunday 8 December 2013

[wanabidii] Re: TOFAUTI KUBWA KATI YA MANDELA NA NYERERE KWA ULIMWENGU ILIKUWA NINI?

Watawala wengi walidhani kuwa huru ni kufukuza wazungu na wahindi au kuwanyanganya mali na mashamba, mandela alionyasha unaweza kuwa huru bila kutaifisha mali au kufukuza wazungu bali kushirikiana nao kujenga nchi na ustawi wa watu.

----------
Sent from my Nokia phone

------Original message------
From: maduhu ruben <mrmaduhu@gmail.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Cc: "kilao rajabu" <kilao1@yahoo.com>
Date: Saturday, December 7, 2013 8:19:05 AM GMT-0800
Subject: [wanabidii] Re: TOFAUTI KUBWA KATI YA MANDELA NA NYERERE KWA ULIMWENGU ILIKUWA NINI?

Nimevutiwa na mjadala huu nami nataka niongeze jambo nyerer na mandela
wanaonekana wote kua wanamapinduzi lakini inaonekana pia kua mandela amekua
maarufu zaidi hata ya nyerere. sababu ninazoziona au tofauti kwao ni hizi
zifuatazo;

-nyerere baada yakutafuta uhuru wa tanganyika hakukaa kutulia aliendelea
kutafuta uhuru wa africa nzima na ndipo hapo unaweza ukaona hata kambi
nyingi za ukombozi zilikua tanganyika na hata waafrika kusin pia
wanaufahamu mchango mkubwa wa mwalimu.

-kwa maoni yangu kwanini wanamsifia sana mandela ni kwa sababu tofauti na
nyerere baada ya kupata uhuru alitaifisha mali nyingi na vitega uchumi vya
wazungu nakuvifanya vya umma na hata kuwatimua kabisa,

mandela hakufanya hivyo zaidi yeye aliwasamehe na kuwafanya marafiki.kwa
waliosamehewa inaonekana ni kitu kikubwa sana na ndio maana wanamsifu sana
kama shujaa lakini kwa raia wa afrika kusini hilo ni kosa kubwa sana
alilolifanya ambalo linawafanya wengi wao waishi maisha magumu sana na
vitega uchumi vingi kumilikiwa na makabulu
On Friday, December 6, 2013 4:06:18 PM UTC+3, kilao rajabu wrote:
>
> Ndugu Wanabidii,
>
> Naomba kujua tofauti kubwa kati ya Mandele lna Nyerere kwa ulimwengu wa
> kimataifa ilikuwa nini? Nimeona mataifa mengi duniani yakishusha bendera
> zao baada ya kufa Mandela na sikuona hivyo siku alipo kufa Nyerere.
>
> Naomba nifahamishe ili nami nielewe nini kilikuwa tofauti.
>
> Regard,
> Rajabu Khamis
> +255 718 265 427
> +255 755 149 247
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment