Thursday 5 December 2013

[wanabidii] Msaada Tutani

Wakuu habari zenu,

Ninaomba msahada wa kupatiwa machapisho au Habari yoyote kuhusiana na ule mradi wa barabara ya serengeti..

kama kuna tathimini zozote za kimazingira zilishawahi kufanyika (EIA), basi ningefurahi sana kuziapata.
Hasa kutoka pande zote mbili yaani Tanzania pamoja na kenya.

Natanguliza shukrani zangu

Sisty

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment