Saturday 21 December 2013

[wanabidii] Kikwete aenda kuchukuzwa afya marekani

Nimesikia my Jakaya ameenda marekani kwa uchunguzi wa afya.Binafsi nimeshtuka sana,kwani pamoja na mbwembwe zote,za miaka 50 ya uhuru bado hatuwezi kufanya hata uchunguzi wa afya kwa viongozi wetu hivi kweli leo tunaweza jivunia tiba zitolewazo kwenye hospitali kama Muhimbili.Sitaki kuamini wasemao,sio checkup bali no upepo wa ripoti ya operesheni tokomeza!na kama sio hivyo basi tuwaone mkitumia huduma mnazozifungua kwa mbwembwe nakuzifia kila uchao.

Sent from my Sony Xperia™ smartphone

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment