Wednesday 11 December 2013

[wanabidii] Dk.Magufuli amng'oa Pinda

wanabidii

Hatmaye tanzania imefanikiwa kumpata, waziri mkuu mwanamke,baada ya Dk.Asha Migiro kuteuliwa kumrithi Pinda.

taarifa ambazo zimekariri chanzo kimoja zinasema Pinda aliomba mwenyewe apumzishwe hasa baada ya sakata la wenye malori kushindwa kupatiwa uvumbuzi na waziri wa ujenzi Dk.Magufuli.

baraza jipya la mawaziri linatarajiwa kuvunjwa na kuundwa baada ya siku kuu za mwisho wa Mwaka,


ewe msomaji itunze taarifa hadi itoke kuchapwa kwa sekritari na kusainiwa

0 comments:

Post a Comment