Thursday 12 December 2013

Re: [wanabidii] Ujumbe wa Edward Ngoyai Lowasa Katika Kutumiza Miaka 52 ya Uhuru

Mimi sijaona chochote cha maana ktk ujumbe huu zaidi ya EL kujipendekeza kwa JK------------------------------ On Thu, Dec 12, 2013 11:57 PST Godfrey Ngupula wrote: >Congats sana mheshimiwa Lowasa kwa ujumbe huo...maneno kama hayo kwa kawadia huwa yanatolewa na watu wenye mtazamo wa kitaifa na kuitakia mema nchi yetu..Ngupula > > > > > >On Thursday, 12 December 2013, 22:34, ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com> wrote: > >Naam viroboto hao wanatufyonza damu kupitia migao ya Capacity Charges za Richmond na kutudanganya na michango masinagogini ili tusahau mifyonzo ya probosis zao maana wanajua ubweehe wetu 2015 tunawaweka jikoni. Tutakoma kuzaliwa bongo > > >From: mngonge <mngonge@gmail.com> >To: wanabidii@googlegroups.com >Sent: Thursday, December 12, 2013 12:52 PM >Subject: Re: [wanabidii] Ujumbe wa Edward Ngoyai Lowasa Katika Kutumiza Miaka 52 ya Uhuru > > > >Watanzania wanajitahidi kuchapa kazi kwa ajili ya maisha yao tatizo ni viroboto waliomo
ndani ya nguo zao. Kila juhudi inafanyiwa hujuma na hao viroboto. Miili yetu lazima itazoofu tu kama hatutatambua na kujiweka mbali na viroboto hao > > > >2013/12/11 ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com> > >Tunu haza si Amani, Mshikamano na utulivu bali hayo ni mazao ya haki ambayo sasa kwa kuikosa vinajaribu kulazimishwa na matumizi ya Polisi. Lakini vitaweza kudumu kaka mafisadi wanaolinyonya taifa watadhibitiwa. Hapo wala hatutahitaji kuvihubiri ila vitakuja vyenyewe >> >> >> >>From: Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> >>To: wanabidii@googlegroups.com >>Sent: Monday, December 9, 2013 11:49 AM >>Subject: [wanabidii] Ujumbe wa Edward Ngoyai Lowasa Katika Kutumiza Miaka 52 ya Uhuru >> >> >> >>LEO HII TAIFA LETU LINATIMIZA MIAKA 52 YA UHURU. >> >>Kama taifa tuna kila sababu ya kujivunia Amani, Mshikamano, na Utulivu vitu ambavyo ni tunu pekee tuliyorithi kwa waasisi wa taifa letu. >> >>Kwa sasa kila Mtanzania lazima awajibike na kutimiza wajibu wake ili
Taifa lizidi kusonga mbele na kuwashinda maadui zetu Ujinga, Maradhi na Umasikini. >> >>Kwa pamoja lazima tumuunge mkono Mh Rais Dk Jakaya Mrisho Kikwete katika jitihada zake mbali mbali za > kuliletea taifa letu maendeleo makubwa na ustawi wa kijamii. >> >>Na pia lazima tukiri kwa dhati toka moyoni kwamba Mh Rais ameitangaza vyema Tanzania katika medani ya kimataifa na kwa sasa tumepata heshima kubwa kama taifa na kuaminika katika uso wa kimataifa (Hongera sana Mh Rais) >> >>Pia kama taifa lazima tuendelee kujivunia rasilimali watu tuliyonayo na tuitumie vyema katika kuleta manufaa kwa taifa na hasa nguvu kazi ya VIJANA WA TAIFA LETU. >> >>NAWATAKIA WOTE SIKUKUU NJEMA YA UHURU WA TAIFA LETU >> >> >> >>Edward Ngoyai Lowasa >>-- >>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com >>  >>Kujiondoa Tuma Email kwenda >>mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma >>  >>Disclaimer: >>Everyone posting to this Forum bears
the sole responsibility > for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. >>--- >>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. >>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com. >>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out. >> >> >>-- >>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com >>  >>Kujiondoa Tuma Email kwenda >>mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma >>  >>Disclaimer: >>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership
signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. >>--- >>You > received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. >>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com. >>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out. >> >-- >Send Emails to wanabidii@googlegroups.com >  >Kujiondoa Tuma Email kwenda >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma >  >Disclaimer: >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any > legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. >--- >You received this message because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group. >To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. >For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out. > > > >-- >Send Emails to wanabidii@googlegroups.com >  >Kujiondoa Tuma Email kwenda >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma >  >Disclaimer: >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. >--- >You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. >To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. >For more options, visit
https://groups.google.com/groups/opt_out. > >-- >Send Emails to wanabidii@googlegroups.com > >Kujiondoa Tuma Email kwenda >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma > >Disclaimer: >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. >--- >You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. >To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. >For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment