Friday 6 December 2013

Re: [wanabidii] TOFAUTI KUBWA KATI YA MANDELA NA NYERERE KWA ULIMWENGU ILIKUWA NINI?

Kilao,
Sababu ni moja tu. Everyone wants to identify with success. That Mandela succeeded despite the fact that it was the western nations yaliyomwekea mkwara, sasa wanataka tusahau. Yaani mpaka hivi sasa naangalia tv hapa Marekani kila kipindi cha habari ni historia ya Mandela na ziara aliyofanya Marekani baada ya kutoka jela. Halafu sababu nyingine ni kwamba Mandela
hakudhuru comfort zone ya wazungu. Licha ya yote yale waliyomfanyia Makaburu alipotoka jela akaamua kusamehe, hii iliwagusa sana wazungu wa nchi hizi. Angewapiga risasi na kuwafunga nina hakika leo angekuwa na jina jingine kabisa.
em

On Fri, Dec 6, 2013 at 9:21 AM, kilao rajabu <kilao1@yahoo.com> wrote:
Emmanuel,

Unadhani kwani hawa wamarekani na hata waingereza toka jana wamekuwa wakimsifu sana Madiba kupitia vipindi vyao vya Redio na TV?

Regard,
Rajabu Khamis Kilao
P.o. Box 9102 Dar es Salaam

On Friday, December 6, 2013 5:17 PM, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
Bariki,
Umeelezea vizuri. Leo hapa Marekani vipindi vya televisheni kuanzia jana usiku ni Mandela tu. Ila nilifurahi jana usiku kuna mtangazaji mmoja alikumbushia jinsi Marekani ilivyoshirikiana na Makaburu kupinga juhudi za ukombozi wa Mwafrika.
She really put it back to reality. Kuhusu maisha ya Mandela na Winnie na mimi nilikuwa na msimamo kama wako mpaka nilipomsikia Mandela anasema kuwa tangu atoke jela hawajalala pamoja, kwamba Winnie alikuwa akinyatia anaposinzia Mandela ndipo anaingia kitandani. She had another boyfriend nearby. Sasa kama mwanadamu ungefanyaje?
em

On Fri, Dec 6, 2013 at 9:07 AM, Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com> wrote:
Mwesiga

Kagusia bw. Kilao na nafikiri wengi wanatumia muda huu kujikosha. Nchi kama Marekani na Uingereza leo hii zinajipambanua kama zinasikitikia kifo cha Madiba wakati wao ndiyo kwa sehemu kubwa walichangia yeye kukaa gerezani miaka yote 27. Madiba kwa sehemu nyingine aliweza kuwasamehe waliomfunga miaka yote 27 lakini wakati huo huo akashindwa kumsamehe Bibi Winnie kwa "kosa" la uzinifu kama kweli lilikuwepo na kukubali kuachana naye.

On 6 December 2013 17:01, Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com> wrote:
Kaka Bariki hapa la unafiki kidogo unaweza lifafanua zaidi maana wengine "akili zetu shake well before use" dont get me wrong kamenivutia hako kapengele.

On Fri, Dec 6, 2013 at 7:55 AM, kilao rajabu <kilao1@yahoo.com> wrote:
Emmanuel,
Just like that? Thank you for your lesson.

OK it's good and hard to other leader of our time but I see more respect than Nyerere how use our all resources to help other country in Africa even South Africa.

But he didn't receive that credit like we see now Madiba receive from the world today.

Regard,
Rajabu Khamis
+255 718 265 427
+255 755 149 247

On Friday, December 6, 2013 4:15 PM, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
Rajab,
Jibu lako ni rahisi sana. The fact that Mandela spent 27 years in jail, unjustly, and came out without bitterness or
anger resonated with people around the world. He became bigger than life. He became a hero.
em

On Fri, Dec 6, 2013 at 8:06 AM, kilao rajabu <kilao1@yahoo.com> wrote:
Ndugu Wanabidii,

Naomba kujua tofauti kubwa kati ya Mandele lna Nyerere kwa ulimwengu wa kimataifa ilikuwa nini? Nimeona mataifa mengi duniani yakishusha bendera zao baada ya kufa Mandela na sikuona hivyo siku alipo kufa Nyerere.

Naomba nifahamishe ili nami nielewe nini kilikuwa tofauti.
 
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out
.

Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

0 comments:

Post a Comment