Friday 13 December 2013

Re: [wanabidii] TOFAUTI KUBWA KATI YA MANDELA NA NYERERE KWA ULIMWENGU ILIKUWA NINI?

Ni kweli unayosema lakini kama Obama alivyowaambia viongozi wenzake- wengi ni wanafiki-kwa hiyo hata haya uliyoandika nadhani kwa wengi yanaingia na kutoka-hayawaingii akilini.

We belong to an era that many of those who are present- hasa kwenye mitandao- do not know and do not wish to know.

Have a nice day.
G.

On Saturday, December 7, 2013 8:04 AM, Puja Philip <pujap2001@yahoo.com> wrote:
Jamani, Umaskini sio sababu ya Nyerere kutokuheshimiwa na wakubwa.

Mbele ya wakubwa, Nyerere alikuwa terrorist (gaidi), Komunisti, na mpinzani mkubwa wa siasa za kibeberu. Makaburu na wakubwa hawakuipenda Tanzania kwa kuzisaidia nchi za Kusini mwa Afrika. Walifurahi alipokufa. Hata wakamtuma Madeleine Albright kuja kushuhudia kama kweli amekufa na amezikwa, ili waje wakafanye maskani yao hapa. Nani anajua kama hawakuhusika kumuua kama walivyomuua Arafat. Lukemia inajitokeza kimya kimya bila hata kugundulika? Baada ya hapo wakamiminika TZ kuja kutumbua na kupora rasilmali ambazo Nyerere aliwakatalia.
Ukijua majina waliyomwita Nyerere alipokufa, hutashangaa.

Tusisahau kuwa Mandela naye walimwita terrorist kwa muda wote alipokuwa jela. ANC pia waliihesabu kama chama cha magaidi. Wafuasi wengi wa ANC waliuwawa. Mandela angefia gerezani kama asingekuwa Nyerere kuongoza vita vya ukombozi ambazo. Kwao Mandela alikuwa bado terrorist mpaka  hapo alipokubaliana na masharti ya reconcilliation. Kwa mantiki hiyo, Mandela "alitoka jela lakini hakuwa huru".Baada ya hapo ili kujikosha na kuhakikisha wanaendelea kufaidi rasilimali za Afrika ya Kusini, wakaanza kumsifu.Wanafiki wakubwa hao.

Tusisahau kuwa ni makaburu hao hao walitumika na wanatumika hadi sasa kuja kuinyonya Tanzania. Kwani kampuni hizo ni za nani? Za Zuma! La hasha. Ni za wakubwa. Na sasa ndio wameingia hadi jikoni wanapika na kupakua. Na Watanzania wanakula makombo.

Mwalimu P
 
pujap

On Friday, December 6, 2013 1:10:05 PM, kilao rajabu <kilao1@yahoo.com> wrote:
Kitingwa,

Kwa hiyo Tanzania ni masikini kwa South Africa kama usemavyo!

Nomba unisaidie Umasikini huo ni upi wakati wa 60s kati ya
 
Regard,
Rajabu Khamis Kilao
P.o. Box 9102 Dar es Salaam
+255 718 265 427
+255 755 149 247

On Friday, December 6, 2013 6:06 PM, F Kitigwa <kitigwa@gmail.com> wrote:
Jamani Nyerere alikuwa anatoka nchi fukara na masikini barani Africa
na Mandela katoka kwenye nchi tajiri inayojulikana kama marekani ya Africa
hiyo ndo tofauti,
Ukiwa masikini nani atakuheshimu? ila ukiwa tajiri hata ukisema ujinga watu wanakupigia makofi

On Fri, Dec 6, 2013 at 5:42 PM, Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com> wrote:
Nyerere siyo  kwamba alipendwa kihivyo kwani kwa sehem kubwa alikuwa anawatibulia. Mtu mmoja aliwahi sema hivi inakuweje mzungu yupo tayari kutuma misaada huku Afrika lakini mzungu huyo huyo hayupo tayari kumsaidia nduguye wa damu kwa sababu tu eti nchi zao zina mifumo mizuri ya ustawi wa jamii. Wako tayari kutuma hela kusaidia wazee wetu wakati wa kwao wamewaacha kwenye nyumba maalum za wazee.

On 6 December 2013 17:25, kilao rajabu <kilao1@yahoo.com> wrote:
Jovias,

Tunatakiwa kuzungumza pia, kujichuza, nakufunza wengine hata kama tutaamua kulitazama kama unavyo shauli.

Regard,
Rajabu Khamis Kilao
P.o. Box 9102 Dar es Salaam

On Friday, December 6, 2013 5:23 PM, Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com> wrote:
Thanks maana Mandela angetoka akanyoosha kidole kwa mataifa ya magharibi tungekuwa na mtazamo tofauti. Lakini neno unafiki ni kubwa sana lakini tuliangalie kwa mtazamo huo if it makes us feel good. Wasalaam

On Fri, Dec 6, 2013 at 8:07 AM, Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com> wrote:
Mwesiga

Kagusia bw. Kilao na nafikiri wengi wanatumia muda huu kujikosha. Nchi kama Marekani na Uingereza leo hii zinajipambanua kama zinasikitikia kifo cha Madiba wakati wao ndiyo kwa sehemu kubwa walichangia yeye kukaa gerezani miaka yote 27. Madiba kwa sehemu nyingine aliweza kuwasamehe waliomfunga miaka yote 27 lakini wakati huo huo akashindwa kumsamehe Bibi Winnie kwa "kosa" la uzinifu kama kweli lilikuwepo na kukubali kuachana naye.

On 6 December 2013 17:01, Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com> wrote:
Kaka Bariki hapa la unafiki kidogo unaweza lifafanua zaidi maana wengine "akili zetu shake well before use" dont get me wrong kamenivutia hako kapengele.

On Fri, Dec 6, 2013 at 7:55 AM, kilao rajabu <kilao1@yahoo.com> wrote:
Emmanuel,
Just like that? Thank you for your lesson.

OK it's good and hard to other leader of our time but I see more respect than Nyerere how use our all resources to help other country in Africa even South Africa.

But he didn't receive that credit like we see now Madiba receive from the world today.

Regard,
Rajabu Khamis
+255 718 265 427
+255 755 149 247

On Friday, December 6, 2013 4:15 PM, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
Rajab,
Jibu lako ni rahisi sana. The fact that Mandela spent 27 years in jail, unjustly, and came out without bitterness or
anger resonated with people around the world. He became bigger than life. He became a hero.
em

On Fri, Dec 6, 2013 at 8:06 AM, kilao rajabu <kilao1@yahoo.com> wrote:
Ndugu Wanabidii,

Naomba kujua tofauti kubwa kati ya Mandele lna Nyerere kwa ulimwengu wa kimataifa ilikuwa nini? Nimeona mataifa mengi duniani yakishusha bendera zao baada ya kufa Mandela na sikuona hivyo siku alipo kufa Nyerere.

Naomba nifahamishe ili nami nielewe nini kilikuwa tofauti.
 
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out
.

Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

0 comments:

Post a Comment