Thursday 12 December 2013

Re: [wanabidii] Taarifa ya Samson Mwigamba ya wasilisho la kutaka mwongozo wa Msajili wa Vyama

MH MNGONGE

Kutaja chama ni kufanya kampeni nami sipo tayari kwa hilo ikizingatiwa kuwa huu sio muda  wake  na pia sijameza damu ya bendeera ya chama chochote.

Nilitumia akili ya kawaida tu kulinganisha,kwani hata akina Mugabe hawakutangaza awali kuwa watabadili katiba ili watawale milele.mtu anaebadili katiba kwa maslahi binafsi anaonyesha sura mbaya kwa anaowatawala na jamii kwa ujumla, bila kujali katiba hiyo ni ya nchi au NGOs.

Nitafurahi kama utanielimisha vizuri kwa kunitajia vifungu vya katiba vilivovunjwa na nani kwa namna gani na nani alihusika?

Magere  J.

On Dec 12, 2013 12:35 PM, "mngonge" <mngonge@gmail.com> wrote:
Katiba  ya nchi na katiba ya chama ni vitu viwili tofauti. Tusiokuwa wanachama wa chadema katiba yao haituhusu lakini katiba ya nchi inatuhusu wote. Ni chama kipi ambacho unafikiri kikiingia ikulu hakitachezea katiba yetu? Maana hiki kilichopo kilikwichazea katiba mara kadhaa hadi baba wa taifa alilikemea hilo. kama unataka tukwambie vifungu tutakwambia. Ndugu Magere ebu tusaidie kitu kimoja, unavyofikiri wewe ni chama gani tukikikabidhi ikulu uchaguzi ujao? Kama ni kigezo cha kuchezea katiba hao waliopo ndo hawafai kabisaa, kwa sababu walikwishaichezea

2013/12/12 Johale Magere <johale14@gmail.com>

Ndg Jeremiah

Jambo la msingi kujiulia ni kwamba,ikiwa viongozi wa chadema wanabadilisha katiba kinyemela ili waendelee kubaki marakani milele,je tukiwakabidhi nchi wataweza kuiheshimu katiba ya nchi?
Magere  J.

On Dec 12, 2013 11:14 AM, "Jeremiah Kibwengo" <jerrykibwe@gmail.com> wrote:
Najiuliza swali hili, hivi wakati Katiba ya Chadema ikibadilishwa huo mwaka 2006 je Samson Mwigamba alikuwa wapi? Je alikuwa mwanachadema au alikuwa bado hajajiunga na hicho chama?
Pili Kama alikuwa amejiunga na chadema kipindi hicho, Je kwanini hakulisema hili kwa Msajili wa vyama vya Siasa Nchini (Kipindi hicho Tendwa). 
Tatu kama alikuwa hajajiunga na akawa amejiunga baadae je hakuliona hili kipindi akiwa kiongozi? Na kama aliliona kwanini hakulisema kwa Msajili wa vyama vya Siasa nchini likatafutiwa suluhu?
Huu ndio unafiki ninausema tulionao watanzania, maana kama haya yote aliyaona akakaa kimya ili watoto wapate choo, lakini alipotimuliwa ndio anaanza kutapa tapa. Huu kwangu ninauita UNAFIKI mkubwa sana.
Ili Watanzania tuendelee tuachane na hizi tabia UNAFIKI + FITINA ni ADUI wa HAKI.

2013/12/12 Yona Fares Maro <oldmoshi@gmail.com>
Taarifa kwa vyombo vya habari 

Leo tarehe 11/12/2013, mimi Samson Mwigamba, mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo 
(CHADEMA), ninawasilisha malalamiko yangu kwa Msajili wa Vyama na ninaomba atoe mwongozo kuhusu mgogoro wa 
kikatiba uliopo ndani ya Chama kufuatia kipengele cha katiba kinachogusia ukomo wa uongozi kubadilishwa kinyume na 
utaratibu. 

Katiba ya CHADEMA ya mwaka 2004 kipengele 5.3.2 (c) inasomeka ifuatavyo kuhusu Muda wa Uongozi: 
 
Kiongozi aliyemaliza muda wa ungozi ana haki ya kugombea na kuchaguliwa tena mradi awe anatimiza masharti ya 
kuchaguliwa kuwa kiongozi kwa muda usiozidi vipindi viwili katika cheo kimoja kwa ngazi moja 
 
Hata hivyo katiba ya chama ya mwaka 2006 kipengele cha 6.3.2 ( c) inayozungumzia muda wa uongozi unasoma: 
Kiongozi aliyemaliza muda wa ungozi ana haki ya kugombea na kuchaguliwa tena mradi awe anatimizamasharti ya 
kuchaguliwa kuwa kiongozi

Sentensi kuhusu ukomo wa uongozi haipo. Ni kweli kuwa Marekebisho ya Katiba yalifanyika mwaka 2006, lakini hoja ya 2 
 
kubadili kipengele hicho haikuwepo na muhtasari zinaonyesha wazi kuwa kulikuwa hakuna mjadala wa kipengele hicho au 
kuhusu suala zima la ukomo wa uongozi. 

Hivyo napenda nisisitize kuwa si kweli kwamba CHADEMA haijawahi kuwa na Katiba ambayo ina ukomo wa uongozi. Pia 
si kweli kwamba mwaka 2006 Katiba mpya iliandikwa upya bali marekebisho yalifanywa kwa baadhi ya vipengele. Ila 
kipengele 5.3.2 (c ) haikujadiliwa. 
 
Natumaini kuwa Msajili wa vyama ataweza kutupatia hekima zake na kutoa mwongozo ili suala hili lipatiwe suluhisho la 
kudumu ndani ya chama chetu. 
 
Asanteni 
 
Samson Mwigamba 
Mwanachama CHADEMA 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment