Thursday 12 December 2013

Re: [wanabidii] Sera Ya Gesi

Dada Hildegarda Kiwasila wengine tunatumia Visimu kusoma News za humu ndani. Sasa maneno yakiwa mengi mno, Dah! tunapata shida kwelikweli. Maana naona maneno ni mengi sana, lakini ukipima uzito wa point, unaweza pata mbili au tatu.

2013/12/12 Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>

 Hujalazimishwa kusoma. Hata ikitokea notice ya habari za Zito kabwe kukata Rufaa page 2 zikiwekwa na Yona humu au yoyote yule-hulazimishwi kusoma. Unaweza ukadelete, ukaprint usome baadae au ukasoma mengine upendayo. wakiweka wanaume taarifa zao hamlalamiki ila mama kulalama daima-GBV ndani ya mitandao. Waache wapendao kusoma wasome ya sekta waipendao inayowahusu.

Ni kawaida ya wabongo kupenda rahisi rahisi ila inapokuja masuala ya Simba na yanga, machester na Liverpool-watakesha na hata kuuana, kupigana na kujinyonga. Au ikiingia ya Chadema VS  CCM hapo utakesha. lakini uongee kwa kirefu masuala ya jamii na jinsi gani tusivyojituma tunajirudisha wenyewe nyumba-hapo hutopata audience. Sasa soma page 31-33 tangazo la Vitalu vya Gas -Zabuni ya 4 ya kunadi vitalu vya Utafiti wa Gesi asilia. TPDC imekulotea gharama zote za maelfu ya dola kama Mh Muhongo alivyoongea ktk kongamano la Udasa. haya jiungeni sasa au mjitokeze matajiri. Muache kuchangia $ mamilioni vyama vya siasa vinavyogombana daima sasa changieni mmiliki vitalu vya gas badala ya kusema-wazawa tunaonewa, hatupewi haki. Vyema unahamasisha wakulima kulima mpunga wauze value added products. lakini-hamasisha matajiri nchini wachukue mashamba yaliyokaa karne yaliyokuwa ya mamlaka za serikali ambayo kwa sasa yanavamiwa na kuuzwa kiholela na wabinafsi-walime huo mchele, ngano, maharage etc wachaze maghara ya taifa. waache pia kununua ngano nje ya nchi ndio watutengenezee keki na mikate. Wakawe na contract Monduli, babati, Loliondo, Manyara, Iringa, Mbeya za kulima Ngano ili wajaze ghala za viwanda vyao vya kulisha ndani na nje ya nchi. Waache kuzalisha soda za rangi bali za matunda halisi kupunguza kisukari nchini. wakalimishe maparachichi-mbeya, Iringa, Moro Milimani, maembe ya miaka michache (hybrid) coastal areas na kwingineko kwa kuwapa miche na extension service wananchi wazalishe juice ya matunda halisi wakiinua kipato cha wananchi. wafufue majengo ya  ya former sisal estate wakawaweke vijana wazalishe pamba, katani, ufuta, mtama mfupi usioliwa na ndege ili wafufue viwanda vya chakula, Mutex, Mwatex, Sungura textile ili vijana waache kutembeza chupi used mijini mibaba ya miraba minne yenye nguvu inazurura kutwa kilomita makumi. angelima ekari ngapi angekuwa Ruvu River Basin? Na ukimpeleka huko atataka umlipe posho ndio alime na lilime trekta sio yeye ila umuwekee na bar anywe pombe kutwa na TV ya kuangalia mpira. Bar zipo wazi kuanzia asubuhi beer inanywewa tutapata maendeleo kweli. Tunataka demokrasia ya kuachiwa kuchakachua water catchment areas, misitu ya hifadhi, mito. Tunaharibu harafu tunahamia kulima ndani ya mbuga ya hifadhi ya wanyama pori. Uhuru gari huu na visingizio kibao vya kuonewa. haribu, hamia kwingine, haribu-hamia kwingine-Tutafika?? Huo mpunga uulime sustainably na usitulishe madawa ya sumu katika maji ya mitoni. Maana hata kuvua samaki tunatumia sumu ya panya ktk use dilution ndogo lakini ina madhara.

 Kampuni za ujenzi zianzishe mikataba na Veta na NHC kuboresha nyumba vijijini wananchi wawe na durable low cost houses zijengwe maeneo yanayokalika-sio mabondeni kwani sasa ni kurasimisha umiliki ardhi-wasihame hame wakae mazingira mazuri. Wanasiasa waache kutaka misifa kila mmoja kwao aboreshe maendeleo na kuzuia wingi wa mifugo majimboni mwao wafuge kisasa sio hali hii ya sasa mabonde ya traditional and modern irrigation yamejaa mifugo inayotoka mikoa ya mbaki sana na kuharibu maisha ya watu, kufanya nchi iwe food insecure, kupiga na kuua watu. Bado hujakalimisha majukumu. Tunaoumia na uzembe wetu wenyewe tutalonga sana!!

On Wednesday, 11 December 2013, 16:14, Herment Mrema <hmrema11@hotmail.com> wrote:
Hildegarda,

Mchango wako kuntu ila unakuwa mrefu mno. Naomba uzungumze jambo moja kwa ufupi ili msomaji asichoshwe na urefu wa andiko lako.  Tatitizo kubwa hapa ni fikra chanya, kujitambua, kujiamini, kubuthubu, kuwa na ujasiri wa kutenda na kuwa na ndoto kubwa.

Tuwaelimishe kwa vitendo.

Mimi binafsi nimeanza safari na sasa niko njiani nimeunda vikundi vya wakulima na vimekwisha fika 175 hivi vya wakulima ishirini kila kikundi. Mpaka mwisho wa mwaka ujao mungu akinijalia nitakuwa nimeuwa soko la mahindi na mpunga wa vikundi nilivyoanza na wakulima hawa watakuwa wanauza unga na mchele ulioko kwenye madaraja kwa kuanzia.

Ninaamini kuwa hii ndio njia sahihi na sio kulalamika na kusema bila kutenda.

Ahsante

Herment A. Mrema

Date: Tue, 3 Dec 2013 04:47:00 +0000
From: khildegarda@yahoo.co.uk
Subject: Re: [wanabidii] Sera Ya Gesi
To: wanabidii@googlegroups.com

Sera ya gesi (na uwekezaji),
wakati mwingine tukubali kuwa-sisi waafrika tusipofanya kweli, kujituma-hatutafika popote kwani kuna kasoro ktk vichwa vyetu na mitatazo yetu. Sera ya private, public partnership (PPP) kama tulivyotakiwa na IMF na Worldbank-tunaona kuyapa makampuni binafsi local mikataba ya usafi mijini, ujenzi wa barabara na kutaka makampuni ya nje yakitaka tender humu yawe na local firm. Makampuni local binafsi yanapata tender kwa kudanganya uwezo wao. inapofika kufanyakazi-hana vifaa, anachakachua kazi. anaowaajiri anawalipa mishahara midogo kuliko ile ya public sector ambapo private sector inatakiwa ilipe ya juu; uonevu, ucheleweshaji malipo na hapeleki hela za bima yao. ukiumwa-unaachishwa kazi. anapaka rangi magari, anakodi ofisi na vijana anawavalisha uniform. anakaguliwa-Yes anao uwezo. ikija kufanyakazi-hana magazi ya kuzoa taka au hana greda za kuchimba barabara; anajenga leo inafumka kesho-anachakachua cement ili ajenge maghorofa yake-anatumia Rushwa. hana upendo na nchiye. Kuna shamba kubwa la katani pangani-hale la muhindi alipewa mkopo wa kulima katani badala ya GVT aliyeya na mabilioni. sasa serikali inagawa maeneo kwa vijiji, wafanyakazi aliwaacha kanyaboya.
Kwani tuna matajiri wangapi nchini ambao wanaweza kukusanya Capital yao, wakaunda kamputi hata la kimataifa, wakaajiri wazungu na waafrika toka nchi mbali mbali wataalamu kuja kuwezesha vijana wetu kuchimba madini, gas, kujaza vipipa vya gas tukatumia, kutuunganishia mambomba majumbani tukatumia na vijana wakapata ajira? lakini-kama wenyewe wanasema maneno tu mitandaoni na vikaoni-hawaundi kampuni ila wanazao binafsi zinachimba madini zinafaidika-na hiyo gas wanaongea tu itakuwa story. Ndio hao wanaopelekana mahakamani kudaiana fidia ya shs 100!? Wapo matajiri wa kuchukua mikopo ya ujasiriamali ila kwenda China kuleta samaki zilizooza zikatupwa na kuteketezwa lakini sio kuwaorganize wavuvi wadogowadogo ukanda wa pwani wawaelekeze, wawasaidie vifaa, wanunue samaki kutoka kwao kuuzia mashule, canteen na cafeteria za vyuo. Mbona china mbali kuliko Lindi, Mtwara, mafia. maembe yanaoza vijijini mbona hawaendi na malori kuyaleta mijini bali mijini tunauziwa ya kutoka Sudan na Mombasa. Jee, Mombasa kwa lori ni jirani kuliko Ulanga, Rufiji, Ulanga, Njombe? Mbona wanafika mpaka vijijini na malori ya mitumba na kandambili za plastiki kuuza-vipi kununua maembe kutengeneza juice rahisi? Tutaweza kuwekeza ktk gas kweli? Mbona hatuwaoni kuchukua mashamba ya mamlaka ya kahawa, pamba, katani, minazi wakaitumia Sokoine University ambayo imefanya reseach za mazao ya muda mfupi hata yale ambayo ndege wala mazao watashindwa kuyala na kuyaharibu. wakawahamasisha wakulima, kuwawekea mazingira mazuri, kufufua estate houses za toka ukoloni-wapo watu wanaishi bado huko na wanadhania nyumba hizo niu za babu zao. Wakazalisha mazao, kuweka godown la packaging mazao yakapelekwa hata airport kuuzwa nje na pia humu nchini? mbona wana hata malori yanayopeleka miguo kutoka kariakoo kwenda Burundi, DRC na kwingineko? Vipi mazao ya mkulima na mfugaji badala ya mafuta na madela-mitumba? tuseme tu.

Sera ya TIC ipo wazi ktk uwekezaji. Fika handeni kwa mfano gold mining area uone artisana miners wanavyovurugana na walivyomvuruga Mcanada na mchina kampuni zao zilivyotaka kuwekeza, kununua hiyo customary land na wao kuwa wabia. kwanza huduma zilizowekwa (mafao awali) mihela ya awali waliyopewa, kisha wakaingia ubadhilifu wao kwa wao kuweka majina feki na kuidanganya hata serikali ya Wilaya katika majina ya umoja wao. hao ni wananchi, artisana miners, wao kwa wao. canadians wakajitoa, wamebaki wachina na kampuni ya hapa home ya Denwill ambazo zinapata tabu kuwaorganize hao watu na daily kunazuka mfarakano mpya wao kwa wao. Bongoland!!

Na hayo mabomba ya gas-tutachakachua chuma chakavu kama tunavyoona vyandarua vya kuzia malaria tulivyopewa bure tunafunikia vifaranga vya kuku, au kutumia katika kuzolea chupa na tunawaona wanapita barabarani. Vile tunavyojaza taka mitaroni ambazo zinatuathiri wenyewe, tunavyoua tembo, kukata miti na kuvuna madini lakini kuoshea ktk mito ya maji tunywayo kwa kemikali zinazoua mishipa ya fahamu na ukiondolewa-unapigana kwa silaha. hatushauriki katika madogo-jee kujiwajibisha ktk kujiunga tufanye kweli ktk gas?

Kama kwa sasa, maeneo kunakopita barabara Dar-Rufiji-Mtwara; Dar-Bunju-Bagamoyo-Msata-Arusha wetlands zote tumeuza na kuna majengo ya 'bar' za vileo; mengine fence wanasubiri lami ziishe wajenge majumba ya maraha-tunaweza kusema tuna mitazamo ya kutusaidia ambapo mashamba ya kilimo cha mpunga, mihogo tunajaza majumba ya anasa na kujinyimba pa kulima chakula na hela tumeshazimaliza kabla ya tuliyemuuzia kujenga kote? Njaa unaijua, umasikini unauna bado unauza ardhi yote kwa tamaa na huna unalolifanya la maana kwa vile utaweza kuhamia kokote kule TZ ukaishi-hata msitu wa hifadhi unaingia na kufanya uharibifu. Ninakuwa na mashaka ktika kufaidika na gas-maana haya madogo hatupo well organized-wabishi hata iwe kwa usalama wetu kimaisha. atakuja Mchina, Indonesia, demote, P-square kuwekeza na kututuma kama vibarua kwani tunajiharibia wenyewe ktk mitazamo yetu na utendaji finyu ila maneno na kulalama tu. easy come easty go. Sera nzuri zipo na hata sheria na miongozo kama strategies lakini utendaji wetu mdogo. Muulize Mbunge longalonga-akuonyeshe amefanya vitu gani kwake kwa kujitolea hata pale kijijini kwake kwa hata kuhamasisha tu maana local resources na nguvu kazi zipo na posho yake ya 1.5 mill per day-wachache sana-ila kuongoza maandamane ya kukataa kodi ya umeme, malori yanayoharibu barabara 'my number 1 goal'. Kuhamasisha na kuwaondoa walikohamia kufanya degradation ktk water catchment area ya mito ya kujaza Mtera na Kidatu, Hale Pangani-'No-usiwasumbue wapiga Kura wangu', wanaganga njaa yao leo na kutengezeza ya vizazi vijavyo. Formalization ya land right za customary land ikamilishwe ili kila mtu aharibu chake alipo au imasaidie kuwa mbia ktk uwekezaji. Bila ya hii-tutapapurana tuuane.

Anayeongea na kulalama kuhusu mafao ya Gas hasa kiongozi hasa mchaguliwa kama Mbunge, matajiri locals, makampuni - aonyeshe mkakati na ausimamie ktk eneo lake kuwaorganize watu wake jinsi mfumo kubalika unavyotaka. Apige marufuku kuuza ardhi hovyo bila kibali na yeye (mbunge, Diwani) au taasisi husika kuwa witness na midole kuwekwa ili kuokoa taifa na wajinga tuuzao ardhi na mali asili yake hovyo kisha kuzurura mijini na midoli. Awasaidie kuandikisha CBO au kampuni, union husika na kuipa mafunzo ya uwezo ili iwe efficient-sio kulalama tu ila upo tumbo linajaa daily haupo down to earth kusaidia kitu. Hata ukienda kuweka jiwe na msingi utandikiwe mkeka usichafuke sio kushika tope uonyeshe mfano. Tufanye kweli ama sivyo-tutatawaliwa hata na matajiri kutoka nchi jirani ya TZ.

On Sunday, 1 December 2013, 23:25, nyaronyo kicheere <kicheere@yahoo.com> wrote:
bandugu,
la kwanza niseme wazi kuwa nimefurahia sana mchango wa jabir kuhusu sera na uwekezaji katika gesi. la pili nimwambie yona kuwa asome vizuri mchango wa jesse kuhusu umilikaji rasilimali zetu na tatu yona atambue kwa maana ya recognize juhudi zinafanywa na nchi zingine has za magharibi katika kuwawezesha wawekezaji wao ugenini ambao kwa kweli ni wezi wa rasilimali zetu wakishirikiana na viongozi wetu hasa wa CCM na serikali yake.
tatizo langu kubwa ni aina ya wawekezaji wetu wanaodai haki ya kuwekeza na kumilikishwa rasilimali zetu.ni kweli ni wenzetu na ni kweli wanastahili kabisa kutendewa kama wawekezaji wa kigeni wanavyotendewa na nchi zao walikotoka; lakini basi wawekezaji wenyewe ndio hivyo tena hasa wasemaji wao kama reginald mengi. mimi nawaAmbia watanzania kuwa "YES TO THE MESSAGE, NO TO THE MESSENGER."
namaanisha kuwa nakubaliana na ujumbe mahsusi wa mengi kuwa sera ya gesi ihakikishe kuwa wazawa nao wanakuwa active players katika uwekezaji katika gesi na si vinginevyo ila mgogoro wangu ni mtu mwenyewe anayewakilisha ujumbe huo. nasema hivi kwa sababu nakubaliana na maneno ya waziri mhongo kumhusu ram (reginald abraham mengi).
nyaronyo mwita kicheere, tungi, kigamboni, tanganyika territory

On Sunday, December 1, 2013 12:43 PM, jabir yunus <jabirgood@yahoo.com> wrote:
Jesse, mpeleke Yona taratibu. Tatizo lake huyu, hajaelewa maana ya hicho anachokipigia debe na ukweli wa kinachotakiwa kiwe. Ina maana Sera hajaisoma. haijuwi kamwe. Anajadili nini sasa kama hajaisoma? Tatizo kubwa.

Ukishasikia Waziri wa Nishati anasema Wafanyabiashara wa Tz ni wababaishaji wasioweza kutegemewa kuwekeza kwenye uchimbaji gesi, ujuwe lipo tatizo kubwa vichwani mwa walio ktk CABINET. Lipo tatizo hata kwa Rais mwenyewe, mkuu wa Cabinet. Akishawishiwa nao kwa kumleta mtaalamu mwelekezi anasikiliza kila kitu. Anaingia mtegoni.

Wote hawajuwi au wanadharau ukweli kwamba huko China, Uingereza, Ujerumani, Australia, Brazil, Italia na Ufaransa, na ziko nchi nyingi, wanaotoka kwenda kuwekeza Afrika, au Asia au Latini, wanapewa pesa za kuwawezesha kuwekeza. Wanakopeshwa, wanapata ruzuku. Wenzetu wameweka mifuko ya kusaidia raia wanaotoka kutafuta utajiri ugenini. Sisi tunafanya mzaha tu kudharau watu wetu.

Ngoja Singapore hao wanakuja kuchimba gesi. Tutaona mambo.

Wakubwa wetu wanaona wakimruhusu Mtanzania kupata sauti ktk uchimbaji gesi ataona siri zilizomo ktk biashara hii, atakataa kudanganywa na kulaghaiwa, atakataa kuhonga washenzi. Sasa wacha tuliwe na wageni wasioipenda nchi isipokuwa kwa pale wanapoona watapata manufaa wao.

Kwa attitude hii ya wakubwa wa serikali yetu, tutaishia kunawa, kula watakula wageni.
Ila ni wao wakubwa watakuja kujibu kwanini waliruhusu dhulma kwa watu wetu.

Natoka.

Jabir+

--------------------------------------------
On Sun, 12/1/13, Jesse Kwayu <jessekwayu@gmail.com> wrote:

Subject: RE: [wanabidii] Sera Ya Gesi
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, December 1, 2013, 12:08 AM

Yona suala hapa siyo kulima
mboga, kujenga hoteli, kutandaza bomba na kila unachoweza
kutaja. Hapa kinachogomba ni ownership ya gesi mzee. Nani
anamiliki nini katika hazina hii. Kama hukumbuki ni kama
madini tu. Nani anamiliki madini? Tangu mgodi wa kwanza
mkubwa wa dhahabu ulipoanza miaka ya 90 nani anayemiliki
nadhshabu hii je, yamevusha uchumi wetu kwa kiwango gani,
umasikini wetu umepuguaje? Hivi wingi wa dhahabu katika nchi
una uhusiano wowote na thamani ya sarafu ya nchi husika kwa
maana hiyo uchumi? Hivi kidogo kidogo ndiyo nini hasa? Kwa
nini sera iwe kidogo kidogo?  Si itamke tu juu ya nafasi ya
wazawa. Kwa nini serikali nayo isiende kidogo kidogo kugawa
vitalu vipya bila sera mpya bila sheria mpya. Tuache
kupumbuzana kwa majibu mepesi kama ya Yona.

On 1 Dec 2013 08:30,
"Herment Mrema" <hmrema11@hotmail.com>
wrote:

Mr. Maro

Samahani sana sio kuwa sikubalini na uliyosema lakini
nilichotaka kuuliza ni JE SERA HII YA GESI INAWASHIRIKISHA
WANANCHI WAZALENDO KUANZIA UTAFUTAJI, UCHIMBAJI,
USAFIRISHAJI, UHIFADHI NA UUZAJI WA JUMLA?.

Nisingependa mtaji ukuwa ni tatizo kwani tuna uwezo wa
kukusanya mitaji kutoka kwa watanzania hata kwa kuandikisha
kampuni kwa ajili hiyo na tukauza hisa kwa Watanzania.
Ninaamini kuna watanzania watakuwa tayari kununua hisa na
wakasubiri miaka 5 kabla ya kupata gawio na wakaridhika.
Tungependa kuwa wabia kwenye kampuni hizi za wageni

Kinachotakiwa ni Sera ambayo itawapa fursa sawa watanzania
na wageni kama hatutaki ubaguzi.

Ahsante

Mrema

Date: Sat, 30 Nov 2013 07:37:53 -0800
Subject: Re: [wanabidii] Sera Ya Gesi

From: oldmoshi@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Ndugu Mrema ,

Nilikuwa maeneo ya kusini mwa Tanzania haswa
maeneo ambayo bomba la gesi litapita au kutakapokuwa na
shuguli haswa za mambo ya gesi .
Nimefurahishwa kuona jinsi wananchi
wanavyoshirikishwa japo kwa kiwango kidogo ila tunazidi
kusonga mbele tutafika kidogo kidogo , haya mambo
tusiharakishe sana , twendeni taratibu ili mradi ni wananchi
wanaofaidika zaidi maana kwenye biashara nzima ya mambo ya
gesi unahitajika utaalamu ambao sisi hatuna tunatakiwa
kwenda kusomesha watu wetu kitu kitakachochukuwa miaka
kadhaa , tujenge miundo mbinu ambayo ndio inajengwa sasa
kama mahoteli , mabarabara , shule , hospitali na huduma
nyingine mbalimbali ambazo sasa hivi zinajengwa ingawa
kidogo kidogo ile hali ya vurugu ilichangia kutisha watu
.

Mimi ninachosema kila mtanzania anafursa ya
kushiriki kwenye hili suala la gesi kama kuna madaktari
wataweza kwenda kutoa huduma za kitabibu , kwa wakulima
walime chakula kizuri na cha ubora watauza kwenye maviwanda
na mahoteli yatakayojengwa , kwa watu wa IT kama sisi
tufungue kampuni na kwenda kupata mafunzo zaidi
yanayohusiana na gesi , kwa walimu vile vile watafundisha
kila mtu atatumia utaalamu wake kulingana na kile
alichojifunza au anachojua .

2013/11/29 Herment Mrema <hmrema11@hotmail.com>

Ndugu Wanabidii,

Nimemsoma Reginald Mengi akisemea kupitia gazeti la
Mwananchi la leo kuhusu sera ya Gesi. Mimi binafsi ninakiri
kuwa anachosema kuhusu ushirikishwaji wa wananchi kina
maana. Je Sera ya Gesi iliyozinduliwa hivi karibuni ina
manufaa kwa Wazalendo kama ndio kwa vipi kama sivyo kwa
vipi? Je tunahitaji Sera mbadala ambayo itaeleza bayana
kwamba wananchi watashiriki kwenye shughuli za gesi kuanzia
utafutaji, na uchimbaji, usafirishaji, uhifadhi na uuzaji
jumla?

Naomba michango yenu ili tuweze kujenga hoja kwa Serikali
yetu ambayo tunaamini ni sikivu.

Ahsante

Herment A. Mrema
                         
--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Find Jobs in
Africa Jobs in AfricaInternational Job
Opportunities International Job Opportunities

Jobs in
Kenya Jobs in Kenya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment