Thursday 5 December 2013

Re: [wanabidii] Taarifa ya Polisi kuhusu tukio la kuchomwa moto kwa ofisi za CHADEMA Arusha Mjini

Who is Youth Development Network?/ naye afungiwe kama Sena News Kamza

AU Wote washauriwe kutumia id na majina yao na sio mashirika!

______________________________________________
Real Change for Real Development,  

Lemburis Kivuyo
+255654650100Website: www.kivuyo.com,  
Unlimited Webhosting at TZS. 10,000/-/Month - www.webstar5.net

2013/12/5 Ephata Nanyaro <nanyaro04@gmail.com>
Urio
kama benk inayolindwa na polisi wenye silaha inavamiwa sembuse Red bregade?moto umewashwa kati ya saa moja na saa mbili asubuhi muda ambao mlinzi ametoka,huingia saa 12 jioni na kutoka saa 12 asubuhi

2013/12/5 Youth Development Network Tz <ydnetwork.2008@gmail.com>

Nanyaro.
Hivi jengo hilo si lina geti na red breged ndo walinzi, pili si asubuhi, anyway kwahili liko kwenye uwezo wako, ila waambie wanaarusha ukweli usijaribu kuwagombanisha na jeshi la police.

On 5 Dec 2013 21:08, "Ephata Nanyaro" <nanyaro04@gmail.com> wrote:
Urio
Jitahidi kuwa mkweli japo kidogo,jaribio la kuchoma ofisi sio dogo,kumbuka kama moto ungeshika kama ilivyokusudiwa ingekuwa balaa si tu kwa CHADEMA bali hata kwa majirani,ni bahati nzuri umeme ulikuwa umeisha (luku imeisha) ndio maana hakukuwa na shoti ya umeme

2013/12/5 Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>

Hahah si mchezo

On Dec 5, 2013 8:55 PM, "Ephata Nanyaro" <nanyaro04@gmail.com> wrote:

2013/12/5 Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>

Nanyaro mtuwekee picha mara taratibu za kipolisi zikimalizika

On Dec 5, 2013 7:58 PM, "Ephata Nanyaro" <nanyaro04@gmail.com> wrote:

UCHUNGUZI KUHUSU JARIBIO OVU LA KUCHOMA MOTO OFISI ZA CHADEMA ARUSHA

Jana 3/12/2013 jaribio baya lilifanyika dhidi ya kuchoma ofisi ya CHADEMA ya Kanda ya Kaskazini na Mkoa wa Arusha .
Hata hivyo Jeshi la Polisi lilifika kwa ajili ya uchunguzi wa awali na Chama kilielekeza Kitengo chake cha Usalama na Ulinzi kuanza kufuatilia jambo hilo kwa kina ili kubaini wahalifu wa jaribio hilo baya . Taarifa ambazo tumepokea mpaka sasa ni taarifa muhimu ambazo tunahamini zitaisadia Jeshi la Polisi katika uchunguzi wake.
Tumepeleka majina ya Watu ambao taarifa zetu za kina zinaonyesha wanahusika na tukio hili takribani wasiozidi watano na ni imani yetu kuwa Jeshi la Polisi litachukuwa hatua muhimu katika uchunguzi wao huku Chama tukiwa tiyari kabisa kutoa ushirikiano wa dhati katika uchunguzi wa kina na wakitaalaamu ambao utaweza kuthibitisha udadisi wetu na uchunguzi wetu ili kuponya Taifa letu .
Hata hivyo Chadema kinalitaka Jeshi la Polisi kutokufanya Siasa katika jambo hili kwani ni muhimu wakaelewa kwamba kupuuza uchunguzi wa jambo hili ni hatari kwa Mkoa wa Arusha na mustakabali wa Amani ya Taifa letu . Chama katika utafiti wake kimebaini kuwa miongoni mwa washukiwa katika tukio hili wamekuwa ni Vijana ambao wamekuwa wakifanya kazi na Polisi katika jitihada za kuhujumu Chadema na hivyo kunaleta mashaka makubwa juu ya uchunguzi wa jambo hili kama utafanyika kwa ufasaha na weledi wa hali ya juu kwa majina ambayo Chama imemkabidhi Kamanda wa Polisi Mkoa .
Hata hivyo katika uchunguzi wake Chadema inasikitishwa sana na kitendo cha Serikali kumpatia mmoja wa washukiwa umiliki wa silaha aina ya bastola wakati Mtu huyo akiwa na rekodi ya kuwa na kichaa cha mara kwa mara .
Chadema Kanda ya Kaskazini inawataka Wanachama wake na wafuasi watulie kimya bila kutafakari aina yeyote ya kisasi kwa jaribu hili baya ili kutoa fursa njema kwa Viongozi wao na Jeshi la Polisi ili kuwabaini Watu hawa waliotaka kuteketeza Ofisi ya Chama kwa moto . Lakini pia Chadema inamshukuru sana na kumpongeza mmiliki wa nyumba hiyo kwa kutambua majaribu ambayo tumepitia wakati huu kwa kukubali kurekebisha nyumba ambayo ni ofisi yetu kwa gharama zake mwenyewe kama sehemu ya kuheshimu jitihada za kushinda hofu na woga unaotaka kupandikizwa miongoni mwa jamii yetu .

NANYARO E.J.
Mwenyekiti Wilaya
4/12/2013

2013/12/5 Ephata Nanyaro <nanyaro04@gmail.com>
Elisa
Hakuna sayansi hapa bali siasa za majitaka,bahati mbaya polisi wetu hawa wamedanganya wameshindwa kufanya kazi hii kwa weledi,ofisi imetobolewa,mchomaji akachoma kwa juu,sote tumeona,polisi wameona,ila wamekana UKWELI dalili za kuukana ukweli huu kwa maslahi wanayojua wao zilionekana mapema

2013/12/5 ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
Huu ni upelelezi wakisayansi.
Nawapongeza. Waendelee. Jenifa ana msaada mkubwa sana katika hili

From: Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, December 5, 2013 11:27 AM
Subject: [wanabidii] Taarifa ya Polisi kuhusu tukio la kuchomwa moto kwa ofisi za CHADEMA Arusha Mjini

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MAMBO YA NDANI

JESHI LA POLISI TANZANIA
                                                                            
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA OFISI YA KAMANDA WA POLISI MKOA WA ARUSHA: TAARIFA YA AJALI YA MOTO KATIKA OFISI ZA CHADEMA

Ndugu wanahabari, mnamo tarehe 03/12/2013 muda wa saa 5:00 asubuhi, polisi mkoani hapa tulipokea taarifa juu ya kuchomwa moto kwa jengo ambalo lina ofisi za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) zilizopo mtaa wa Ngarenaro, Halmashauri ya jiji la Arusha.

Mara baada ya taarifa hiyo askari walikwenda katika eneo la tukio na kukuta moto umezimika. Jengo hilo ambalo lina uzio mrefu wa matofali na geti moja la mbele lina ofisi tatu za chama hicho ambazo ni ofisi za wilaya, mkoa na Kanda ya Kaskazini ambazo zinatumia bafu na choo kimoja.

Aidha uchunguzi uliofanywa na polisi kwa kushirikiana na idara ya zimamoto imegundua mambo yafuatayo:-

  • Kwanza, ofisi hizo zinalindwa na walinzi wa chama hicho "red brigades" na siku ya tukio mlinzi aliyekuwa zamu alikuwa Kitumbwizi s/o Bahati (42) mkazi wa Olasiti ambaye aliingia kazini tarehe 02/12/2013 muda wa saa 12:00 jioni na kutoka tarehe 03/12/2013 muda wa saa 12:00 asubuhi. Aidha ofisi hizo zina katibu muhtasi mmoja aitwaye Jenifer d/o Mwasha (25) mkazi wa Sombetini ambaye uwa anaingia kazini saa 1:30 asubuhi kila siku lakini siku ya tukio aliingia saa 4:00 asubuhi.

  • Pili, uchunguzi umeendelea kubaini kuwa, hakuna mahali palipovunjwa kutoka kwenye uzio wa ofisi hizo kuruhusu mtu/watu kuingia ndani.

  • Tatu, mlango wa nyuma wa ofisi hizo katika veranda kuligundulika tundu katika dari kuelekea bafuni tundu lenye upana wa futi moja na nusu kwa nusu (11/2x1/2) ambalo ni dogo kiasi cha kutowezesha mtu kupenya kuingia ndani ya ofisi hizo.

  • Nne, ndani ya bafu kulipatikana majivu na kwenye sakafu na juu ya sinki yakiwa makavu bila maji maji yoyote.

  • Tano, kuta zote za bafu na choo hazikuwa zimeungua.

  • Sita, eneo lililoungua kwenye dari ni 3/4 (robo tatu mita) lenye upana wa mita 1 kwa urefu wa mita 3.

  • Saba, eneo ambalo moto ulionekana umewaka, mbao katika dari zilionekana kuungua upande wa chini na upande wa juu wa mbao na ceiling board hazijaungua kuomyesha moto ulianzia chini.

  • Nane, kumepatikana kipande cha chuma kilichokuwa na karatasi zilizoungua pamoja na tochi ndani ya dari eneo ambalo moto ulikuwa ukiwaka lakini vitu hivyo havikuonyesha dalili za kuungua au kushika moto, na inaonyesha vimewekwa baada ya moto kuzimwa.

  • Tisa, kuna uwezekano mkubwa moto huo ulizimwa kwa kutumia hewa chafu/co2.

Kufuatia tukio hilo jeshi la polisi bado linaendelea kuwahoji mlinzi wa ofisi hizo Kitumbwizi s/o Bahati pamoja na Katibu muhtasi Jenifer d/o Mwasha, huku upelelezi zaidi juu ya tukio hilo ukiendelea. 

Asanteni kwa kunisikiliza.

IMETOLEWA NA KAIMU KAMANDA WA POLISI MKOA WA ARUSHA,
KAMISHNA MSAIDIZI WA POLISI (ACP) JAPHET LUSINGU
TAREHE 04/12/2013.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Ephata Nanyaro
P.o.box 15359
Arusha
+255 754 834152
Skype.nanyaro.ephata

"truth shall set you free"

0 comments:

Post a Comment