Nanyaro.
Hivi jengo hilo si lina geti na red breged ndo walinzi, pili si asubuhi, anyway kwahili liko kwenye uwezo wako, ila waambie wanaarusha ukweli usijaribu kuwagombanisha na jeshi la police.
On 5 Dec 2013 21:08, "Ephata Nanyaro" <nanyaro04@gmail.com> wrote:
-- UrioJitahidi kuwa mkweli japo kidogo,jaribio la kuchoma ofisi sio dogo,kumbuka kama moto ungeshika kama ilivyokusudiwa ingekuwa balaa si tu kwa CHADEMA bali hata kwa majirani,ni bahati nzuri umeme ulikuwa umeisha (luku imeisha) ndio maana hakukuwa na shoti ya umeme--2013/12/5 Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>Hahah si mchezo
On Dec 5, 2013 8:55 PM, "Ephata Nanyaro" <nanyaro04@gmail.com> wrote:----2013/12/5 Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>Nanyaro mtuwekee picha mara taratibu za kipolisi zikimalizika
On Dec 5, 2013 7:58 PM, "Ephata Nanyaro" <nanyaro04@gmail.com> wrote:--UCHUNGUZI KUHUSU JARIBIO OVU LA KUCHOMA MOTO OFISI ZA CHADEMA ARUSHA
Jana 3/12/2013 jaribio baya lilifanyika dhidi ya kuchoma ofisi ya CHADEMA ya Kanda ya Kaskazini na Mkoa wa Arusha .
Hata hivyo Jeshi la Polisi lilifika kwa ajili ya uchunguzi wa awali na Chama kilielekeza Kitengo chake cha Usalama na Ulinzi kuanza kufuatilia jambo hilo kwa kina ili kubaini wahalifu wa jaribio hilo baya . Taarifa ambazo tumepokea mpaka sasa ni taarifa muhimu ambazo tunahamini zitaisadia Jeshi la Polisi katika uchunguzi wake.
Tumepeleka majina ya Watu ambao taarifa zetu za kina zinaonyesha wanahusika na tukio hili takribani wasiozidi watano na ni imani yetu kuwa Jeshi la Polisi litachukuwa hatua muhimu katika uchunguzi wao huku Chama tukiwa tiyari kabisa kutoa ushirikiano wa dhati katika uchunguzi wa kina na wakitaalaamu ambao utaweza kuthibitisha udadisi wetu na uchunguzi wetu ili kuponya Taifa letu .
Hata hivyo Chadema kinalitaka Jeshi la Polisi kutokufanya Siasa katika jambo hili kwani ni muhimu wakaelewa kwamba kupuuza uchunguzi wa jambo hili ni hatari kwa Mkoa wa Arusha na mustakabali wa Amani ya Taifa letu . Chama katika utafiti wake kimebaini kuwa miongoni mwa washukiwa katika tukio hili wamekuwa ni Vijana ambao wamekuwa wakifanya kazi na Polisi katika jitihada za kuhujumu Chadema na hivyo kunaleta mashaka makubwa juu ya uchunguzi wa jambo hili kama utafanyika kwa ufasaha na weledi wa hali ya juu kwa majina ambayo Chama imemkabidhi Kamanda wa Polisi Mkoa .
Hata hivyo katika uchunguzi wake Chadema inasikitishwa sana na kitendo cha Serikali kumpatia mmoja wa washukiwa umiliki wa silaha aina ya bastola wakati Mtu huyo akiwa na rekodi ya kuwa na kichaa cha mara kwa mara .
Chadema Kanda ya Kaskazini inawataka Wanachama wake na wafuasi watulie kimya bila kutafakari aina yeyote ya kisasi kwa jaribu hili baya ili kutoa fursa njema kwa Viongozi wao na Jeshi la Polisi ili kuwabaini Watu hawa waliotaka kuteketeza Ofisi ya Chama kwa moto . Lakini pia Chadema inamshukuru sana na kumpongeza mmiliki wa nyumba hiyo kwa kutambua majaribu ambayo tumepitia wakati huu kwa kukubali kurekebisha nyumba ambayo ni ofisi yetu kwa gharama zake mwenyewe kama sehemu ya kuheshimu jitihada za kushinda hofu na woga unaotaka kupandikizwa miongoni mwa jamii yetu .
NANYARO E.J.
Mwenyekiti Wilaya
4/12/2013--2013/12/5 Ephata Nanyaro <nanyaro04@gmail.com>
ElisaHakuna sayansi hapa bali siasa za majitaka,bahati mbaya polisi wetu hawa wamedanganya wameshindwa kufanya kazi hii kwa weledi,ofisi imetobolewa,mchomaji akachoma kwa juu,sote tumeona,polisi wameona,ila wamekana UKWELI dalili za kuukana ukweli huu kwa maslahi wanayojua wao zilionekana mapema--2013/12/5 ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
Huu ni upelelezi wakisayansi.Nawapongeza. Waendelee. Jenifa ana msaada mkubwa sana katika hiliFrom: Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, December 5, 2013 11:27 AM
Subject: [wanabidii] Taarifa ya Polisi kuhusu tukio la kuchomwa moto kwa ofisi za CHADEMA Arusha Mjini
--JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MAMBO YA NDANI
JESHI LA POLISI TANZANIA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA OFISI YA KAMANDA WA POLISI MKOA WA ARUSHA: TAARIFA YA AJALI YA MOTO KATIKA OFISI ZA CHADEMA
Ndugu wanahabari, mnamo tarehe 03/12/2013 muda wa saa 5:00 asubuhi, polisi mkoani hapa tulipokea taarifa juu ya kuchomwa moto kwa jengo ambalo lina ofisi za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) zilizopo mtaa wa Ngarenaro, Halmashauri ya jiji la Arusha.
Mara baada ya taarifa hiyo askari walikwenda katika eneo la tukio na kukuta moto umezimika. Jengo hilo ambalo lina uzio mrefu wa matofali na geti moja la mbele lina ofisi tatu za chama hicho ambazo ni ofisi za wilaya, mkoa na Kanda ya Kaskazini ambazo zinatumia bafu na choo kimoja.
Aidha uchunguzi uliofanywa na polisi kwa kushirikiana na idara ya zimamoto imegundua mambo yafuatayo:-
Kufuatia tukio hilo jeshi la polisi bado linaendelea kuwahoji mlinzi wa ofisi hizo Kitumbwizi s/o Bahati pamoja na Katibu muhtasi Jenifer d/o Mwasha, huku upelelezi zaidi juu ya tukio hilo ukiendelea.
Asanteni kwa kunisikiliza.
IMETOLEWA NA KAIMU KAMANDA WA POLISI MKOA WA ARUSHA,
KAMISHNA MSAIDIZI WA POLISI (ACP) JAPHET LUSINGU
TAREHE 04/12/2013.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
--

0 comments:
Post a Comment