Friday 20 December 2013

Re: [wanabidii] Taarifa ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania kuhusu tukio la ndege ya Ethiopia

Hii ni mpya kidogo kwa rubani kuchanganya viwanja.

Ina maana rubani wa alishindwa kutofautisha kiwanja cha KIA na cha Arusha? Mbona hata direction ya runways za hivi viwanja ni tofauti kabisa...achilia mbalia design na ukubwa wa viwanja?

Zaidi sana geographical coordinates za viwanja  ambazo  ndizo wanazitumia katika ku-locate wanapotaka kutua ziko 57km apart kati ya viwanja hivi viwili na huu ni umbali mkubwa sana kufanya kosa la kiufundi kama hilo.
Nadhani kutatoka report ya uchunguzi ya kitaalamu zaidi na itaweka wazi zaidi ukweli ywa tukio hili.

Niliona jana shirika la Ethiopian Airways ilitoa kauli moja kali na kusema kuwa habari zozote zinazoelezwa kuhusu kilichotokea ni za uongo ila hawakuuelezea ukweli huu.

MM

On Fri, Dec 20, 2013 at 1:16 PM, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:
Picture

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment