Sunday 1 December 2013

RE: [wanabidii] Sera Ya Gesi

Jabir/Jesse

Tuendelee kujadili jambo hili kwa kina na tutoe muelekeo wa nini kifanyike. Tunatakiwa kumuunga mkono Dr. Mengi na hata kama kuna maslahi binafsi tuyaone na tuyafanyie kazi. Haya ndio mambo ya msingi ya kujadili katika jukwaa hili nayo ni umaskini na ni kitu gani kifanyike kupunguza umaskini wetu hasa kwa kutumia rasimali tulizokuwa nazo zikiwa ni gesi, madini, petroli, na nyinginezo.

Tunakaribisha Bongo za kuchemka kwenye jukwaa hili ziende kazini

Herment A. Mrema

> Date: Sun, 1 Dec 2013 01:42:51 -0800
> From: jabirgood@yahoo.com
> Subject: RE: [wanabidii] Sera Ya Gesi
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
> Jesse, mpeleke Yona taratibu. Tatizo lake huyu, hajaelewa maana ya hicho anachokipigia debe na ukweli wa kinachotakiwa kiwe. Ina maana Sera hajaisoma. haijuwi kamwe. Anajadili nini sasa kama hajaisoma? Tatizo kubwa.
>
> Ukishasikia Waziri wa Nishati anasema Wafanyabiashara wa Tz ni wababaishaji wasioweza kutegemewa kuwekeza kwenye uchimbaji gesi, ujuwe lipo tatizo kubwa vichwani mwa walio ktk CABINET. Lipo tatizo hata kwa Rais mwenyewe, mkuu wa Cabinet. Akishawishiwa nao kwa kumleta mtaalamu mwelekezi anasikiliza kila kitu. Anaingia mtegoni.
>
> Wote hawajuwi au wanadharau ukweli kwamba huko China, Uingereza, Ujerumani, Australia, Brazil, Italia na Ufaransa, na ziko nchi nyingi, wanaotoka kwenda kuwekeza Afrika, au Asia au Latini, wanapewa pesa za kuwawezesha kuwekeza. Wanakopeshwa, wanapata ruzuku. Wenzetu wameweka mifuko ya kusaidia raia wanaotoka kutafuta utajiri ugenini. Sisi tunafanya mzaha tu kudharau watu wetu.
>
> Ngoja Singapore hao wanakuja kuchimba gesi. Tutaona mambo.
>
> Wakubwa wetu wanaona wakimruhusu Mtanzania kupata sauti ktk uchimbaji gesi ataona siri zilizomo ktk biashara hii, atakataa kudanganywa na kulaghaiwa, atakataa kuhonga washenzi. Sasa wacha tuliwe na wageni wasioipenda nchi isipokuwa kwa pale wanapoona watapata manufaa wao.
>
> Kwa attitude hii ya wakubwa wa serikali yetu, tutaishia kunawa, kula watakula wageni.
> Ila ni wao wakubwa watakuja kujibu kwanini waliruhusu dhulma kwa watu wetu.
>
> Natoka.
>
> Jabir+
>
> --------------------------------------------
> On Sun, 12/1/13, Jesse Kwayu <jessekwayu@gmail.com> wrote:
>
> Subject: RE: [wanabidii] Sera Ya Gesi
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Sunday, December 1, 2013, 12:08 AM
>
> Yona suala hapa siyo kulima
> mboga, kujenga hoteli, kutandaza bomba na kila unachoweza
> kutaja. Hapa kinachogomba ni ownership ya gesi mzee. Nani
> anamiliki nini katika hazina hii. Kama hukumbuki ni kama
> madini tu. Nani anamiliki madini? Tangu mgodi wa kwanza
> mkubwa wa dhahabu ulipoanza miaka ya 90 nani anayemiliki
> nadhshabu hii je, yamevusha uchumi wetu kwa kiwango gani,
> umasikini wetu umepuguaje? Hivi wingi wa dhahabu katika nchi
> una uhusiano wowote na thamani ya sarafu ya nchi husika kwa
> maana hiyo uchumi? Hivi kidogo kidogo ndiyo nini hasa? Kwa
> nini sera iwe kidogo kidogo?  Si itamke tu juu ya nafasi ya
> wazawa. Kwa nini serikali nayo isiende kidogo kidogo kugawa
> vitalu vipya bila sera mpya bila sheria mpya. Tuache
> kupumbuzana kwa majibu mepesi kama ya Yona.
>
> On 1 Dec 2013 08:30,
> "Herment Mrema" <hmrema11@hotmail.com>
> wrote:
>
>
>
>
> Mr. Maro
>
> Samahani sana sio kuwa sikubalini na uliyosema lakini
> nilichotaka kuuliza ni JE SERA HII YA GESI INAWASHIRIKISHA
> WANANCHI WAZALENDO KUANZIA UTAFUTAJI, UCHIMBAJI,
> USAFIRISHAJI, UHIFADHI NA UUZAJI WA JUMLA?.
>
>
> Nisingependa mtaji ukuwa ni tatizo kwani tuna uwezo wa
> kukusanya mitaji kutoka kwa watanzania hata kwa kuandikisha
> kampuni kwa ajili hiyo na tukauza hisa kwa Watanzania.
> Ninaamini kuna watanzania watakuwa tayari kununua hisa na
> wakasubiri miaka 5 kabla ya kupata gawio na wakaridhika.
> Tungependa kuwa wabia kwenye kampuni hizi za wageni
>
>
> Kinachotakiwa ni Sera ambayo itawapa fursa sawa watanzania
> na wageni kama hatutaki ubaguzi.
>
> Ahsante
>
> Mrema
>
> Date: Sat, 30 Nov 2013 07:37:53 -0800
> Subject: Re: [wanabidii] Sera Ya Gesi
>
> From: oldmoshi@gmail.com
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
> Ndugu Mrema ,
>
> Nilikuwa maeneo ya kusini mwa Tanzania haswa
> maeneo ambayo bomba la gesi litapita au kutakapokuwa na
> shuguli haswa za mambo ya gesi .
> Nimefurahishwa kuona jinsi wananchi
> wanavyoshirikishwa japo kwa kiwango kidogo ila tunazidi
> kusonga mbele tutafika kidogo kidogo , haya mambo
> tusiharakishe sana , twendeni taratibu ili mradi ni wananchi
> wanaofaidika zaidi maana kwenye biashara nzima ya mambo ya
> gesi unahitajika utaalamu ambao sisi hatuna tunatakiwa
> kwenda kusomesha watu wetu kitu kitakachochukuwa miaka
> kadhaa , tujenge miundo mbinu ambayo ndio inajengwa sasa
> kama mahoteli , mabarabara , shule , hospitali na huduma
> nyingine mbalimbali ambazo sasa hivi zinajengwa ingawa
> kidogo kidogo ile hali ya vurugu ilichangia kutisha watu
> .
>
>
> Mimi ninachosema kila mtanzania anafursa ya
> kushiriki kwenye hili suala la gesi kama kuna madaktari
> wataweza kwenda kutoa huduma za kitabibu , kwa wakulima
> walime chakula kizuri na cha ubora watauza kwenye maviwanda
> na mahoteli yatakayojengwa , kwa watu wa IT kama sisi
> tufungue kampuni na kwenda kupata mafunzo zaidi
> yanayohusiana na gesi , kwa walimu vile vile watafundisha
> kila mtu atatumia utaalamu wake kulingana na kile
> alichojifunza au anachojua .
>
>
>
> 2013/11/29 Herment Mrema <hmrema11@hotmail.com>
>
>
>
>
>
> Ndugu Wanabidii,
>
> Nimemsoma Reginald Mengi akisemea kupitia gazeti la
> Mwananchi la leo kuhusu sera ya Gesi. Mimi binafsi ninakiri
> kuwa anachosema kuhusu ushirikishwaji wa wananchi kina
> maana. Je Sera ya Gesi iliyozinduliwa hivi karibuni ina
> manufaa kwa Wazalendo kama ndio kwa vipi kama sivyo kwa
> vipi? Je tunahitaji Sera mbadala ambayo itaeleza bayana
> kwamba wananchi watashiriki kwenye shughuli za gesi kuanzia
> utafutaji, na uchimbaji, usafirishaji, uhifadhi na uuzaji
> jumla?
>
>
>
> Naomba michango yenu ili tuweze kujenga hoja kwa Serikali
> yetu ambayo tunaamini ni sikivu.
>
> Ahsante
>
>
> Herment A. Mrema
>
>
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>  
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>  
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>
>
> --
> Find Jobs in
> Africa Jobs in AfricaInternational Job
> Opportunities International Job Opportunities
>
> Jobs in
> Kenya Jobs in Kenya

> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>  
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment