Thursday 26 December 2013

Re: [wanabidii] NINI CHANZO CHA CHUKI??

Nilimsikia mpatanishi wa mgogoro wa Burundi. Hayati Mwalimu Nyerere akisema "Tunataka Amani Burundi ambayo mama yake na baba yake ni HAKI". Mpoto au Saidi Mwema hana wa kumtii kama haki haitendeki. Wala haki sio shibe. Ukimpa mmoja dona kubwa na mwingine pilau umewagombanisha. Ukiwapa wote dona umewapatanisha. Viongozi wajikite hapo

----------
Sent from my Nokia Phone

------Original message------
From: Emma Kaaya <emmakaaya@gmail.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, December 26, 2013 1:17:39 AM GMT-0800
Subject: [wanabidii] NINI CHANZO CHA CHUKI??

Ukisikiliza redio mbalimbali hasa radio one, kuna matangazo ya IGP Mwema,
Alhad Mussa Salum, Mrisho Mpoto, wote wana ujumbe mmoja wa kuwasihi Watz
wasichukiane, wasibaguane bali wapendane.

Mimi hujiuliza sana, kwani nini chanzo cha hizo ziitwazo CHUKI ??

Mimi nawashauri, wasituambie maneno yao hayo, watuambie vyanzo vya hiyo
CHUKI kisha tujadiliane kama ni sahihi au la.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment