Wednesday 11 December 2013

Re: [wanabidii] MHE FREEMAN MBOWE APIGWA DONGO BUNGENI

Hii kweli ya mwaka. wabunge wa CCM wanasifia serikali na jinsi ilivyoelta maendeleo mwishowe wanaungana na wapiznani kuwa hakuna lolote liliofanywa na serikali hiki sikivu.
em

2013/12/11 Fidelis Francis <fidel80.francis@gmail.com>
NIRAHA SANA KUMSIKILIZA MBUNGE WA CCM:

"Mheshimiwa Spika, naona upinzani wamefikia pabaya, wanaikashifu serikali sikivu ya CCM. Chama kimefanya mengi sana, maendeleo makubwa tumepata, shule za msingi, sekondari na vyuo viko vingi leo, barabara za lami, umeme nchi nzima mpaka vijijini, lakini CHADEMA wanakebehi. Naipongeza sana serikali ya chama cha Mapinduzi. Mheshimiwa Spika, nikiendelea mbele naomba nielezee kwa kifupi matatizo ya jimbo langu. Kule hatuna shule ya sekondari katika kata sita, maji ni ndoto, tunategemea mvua. Shule zilizopo hazina ubora wala walimu wa kutosha. Rais alikuja sasa ni miaka sita akatuahidi umeme lakini mpaka leo hakuna lolote. Barabara ni mbovu hazipitiki. Nauliza ni lini serikali híi (ya CCM) ITATUSIKIA NA KUTULETEA MAENDELEO?"
(Makofi) kwa! Kwa! Kwa!

On Wed, Dec 11, 2013 at 10:05 PM, ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com> wrote:
Kuna uhusiano gani kati ya matamshi ya mbunge na mbowe? Mbunge amesema kuwa mtu fulani Mkubwa alimgeuza mbunge fulani asiendelee na safari ---------. Mbunge huyo alikuwa akiongelea wabunge waliochukua posho na wasifanye safari.
Hebu yahusishe na Mbowe tuyajadili

From: Yona Fares Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Tuesday, December 10, 2013 7:35 PM
Subject: [wanabidii] MHE FREEMAN MBOWE APIGWA DONGO BUNGENI

MWENYEKITI WA CHADEMA MHE FREEMAN MBOWE APIGWA DONGO BUNGENI KUHUSIANA NA SUALA LA WABUNGE WA VITI MAALUMU KUCHUKUWA HELA MARA MBILI WANAPOKUWA KWENYE SAFARI ZA KIKAZI NA JUZI ALIVYOLAZIMISHA MBUNGE MMOJA ARUDI NCHINI KWA KULE KINACHOELEZWA KWAMBA NI WIVU WA KIMAPENZI 
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment