Thursday 19 December 2013

Re: [wanabidii] MESEJI YA MHESHIMIWA FREEMAN MBOWE KWA WATANZANIA

chama cha upinzani kinapokua na mambo sawa na kila chama tawala kinapoteza sifa, matumizi mambaya ya resources za wananchi mmmmm...zito anapingana na hawa jamaa hapa na ndio maana hawamnpendi namisimamo yake maskiniiiii,anyway mungu atamwinua tu
hawa ni mafisadi sawa na hao wanaopigiwa kelele ktk chama tawala iweje wasione aibu kuja kuhubiria wasichotendaaaaaaaa...hapa kuna kazi.

On Wednesday, December 18, 2013 11:56 AM, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
----- Forwarded Message -----

Boxbe This message is eligible for Automatic Cleanup! (emuganda@gmail.com) Add cleanup rule | More info
Magere,
Ngoja nikusaidie ndugu yangu. Mwigulu ni kada wa CCM. Hata mwenyekiti wake anamuaminia sana kwa mchango wake ndani ya chama. Mwigulu na vikaragosi wake wamelianzisha hili suala la Mbowe na kulisambaza kwenye magazeti.Kwa mantiki hiyo CCM inahusika sana tu.
em

2013/12/18 Johale Magere <johale14@gmail.com>
Sasa katika hili CCM inaingiaje ? Hakuna jambo baya kama kunywa maji ya bendera ya chama fulani.unakuwa mpofu wa akili na kila siku utatafuta mchawi wakati wewe mwenyewe hujitambuwi.mwacheni Mh Mbowe ale bata,ruzuku inatosha kabisa.
Magere  J.
On Dec 18, 2013 7:58 PM, "MABADILIKO CHADEMA" <mabadilikochadema@gmail.com> wrote:
MESEJI YA MBOWE HII HAPA.
------------------------------------------------------
''bwana kabunju, 

salaam. 

Rejea Mazungumzo yangu kuhusu Mhe.Joyce Mukya (MB) ambaye yuko safarini.

Nitashukuru akibadilishiwa booking yake aweze kuondoka New York Tarehe 1 Dec siku ya Jumaapili kurejea Dubai na Kuunganisha Dar Tar 3 Dec. 

Mbowe,KUB.

Cc.
Mhe.Joyce Mukya''

--------------------------------------------------------

DAH. HII NI FEDHEHA YA AINA YAKE, na haya ndio yanayoitwa matumizi mabaya ya Madaraka, sijui kwanini Tunaoa ikiwa hatuwaheshimu na kuwajali wake zetu mbele ya jamii. pole sana mh. mbowe. tutaendelea kuambizana ukweli tu.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment