Friday 20 December 2013

Re: [wanabidii] Kurudi kwa Edward Lowassa

Tanzania yetu tumejaaliwa hazina ya Viongozi bora na waadilifu lakini kutokana na kuogelea kwenye bwawa la mafisadi tumekuwa vipofu wa kuwaona walio waadilifu na kuishia kuona hao hao mafisadi ndio watakaotusaidia. Naomba kuuliza hao wanaompigia debe Lowasa waniambie tangu alipojiuzulu kwa kashfa ya Richmond ni kitu gani alichokifanya kuwathibitishia watanzania kuwa amebadilika? Na wanao uhakika gani kuwa atakaporudi hataendelea kumalizia alipoachia? Naombeni elimu ndugu zangu kwani sijakiona chochote alichokifanya zaidi ya kupanda kwenye majukwaa na kuhubiri mahubiri ambao yeye mwenyewe sio muumini wa hayo? Sijaona alichokifanya zaidi ya kuzunguka Tz nzima akimwaga mahela ambayo hajaweza kuwaambia kayapata vipi? Naombeni tuache ushabiki Tanzania ni yetu sote msijigawie mkajiona kama ni yenu na wengine wote ni mbumbumbu

Fatma
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: Augustino Chengula <achengula@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Fri, 20 Dec 2013 21:53:56 +0100
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Kurudi kwa Edward Lowassa

Akipewa Samweli Sita nadhani mambo yanaweza kwenda vema

2013/12/20 ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
Anaweza kurudi kweli. Linaweza kuwa janga lingine. Atawadanganya wasioelewa hadi 2015 ili apate urais na baada ya hapo sura yake halisi ionekane.
Wapo wabunge wengi wanaoweza kuwa wanafaa. Tuanze na Anna Tibaijuka, Harison Mwakyembe, Benard Membe. nikomee hapo/. Orodha ya wanaoweza ni kubwa.

Sent: Friday, December 20, 2013 8:01 PM

Subject: [wanabidii] Kurudi kwa Edward Lowassa

Na MM Mwanakijiji

Dalili zote zinaoonesha kuwa kilio cha wabunge kutaka Pinda ajiuzulu na hivyo Baraza la Mawaziri livunjike lina dalili moja kubwa; Lowassa's comeback. Sidhani kama kuna mwanasiasa mwingine yeyote ambaye anaweza kupata kuungwa mkono na wabunge wa CCM kama Lowassa. Kurudi kwake itakuwa ni kupata second chance na kujipanga vilivyo kwa ajili ya 2015. Kama siyo Lowassa ni mbunge gani mwingine wa CCM kutoka majimbo ya kuchaguliwa anayeweza kupata support na heshima ya kuwa Waziri Mkuu? Haitakuwa mara ya kwanza kwa Waziri Mkuu kurudia kiti chake mara ya pili. 

Yetu macho.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

To all the questions of your life YOU are the  most possible answer. To all the problems of your life YOU are the best solution. Trust yourself

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment