Friday 20 December 2013

Re: [wanabidii] Kurudi kwa Edward Lowassa

Anaweza kurudi kweli. Linaweza kuwa janga lingine. Atawadanganya wasioelewa hadi 2015 ili apate urais na baada ya hapo sura yake halisi ionekane.
Wapo wabunge wengi wanaoweza kuwa wanafaa. Tuanze na Anna Tibaijuka, Harison Mwakyembe, Benard Membe. nikomee hapo/. Orodha ya wanaoweza ni kubwa.

From: Pauline Mengi <paulinemengi@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, December 20, 2013 8:01 PM
Subject: [wanabidii] Kurudi kwa Edward Lowassa

Na MM Mwanakijiji

Dalili zote zinaoonesha kuwa kilio cha wabunge kutaka Pinda ajiuzulu na hivyo Baraza la Mawaziri livunjike lina dalili moja kubwa; Lowassa's comeback. Sidhani kama kuna mwanasiasa mwingine yeyote ambaye anaweza kupata kuungwa mkono na wabunge wa CCM kama Lowassa. Kurudi kwake itakuwa ni kupata second chance na kujipanga vilivyo kwa ajili ya 2015. Kama siyo Lowassa ni mbunge gani mwingine wa CCM kutoka majimbo ya kuchaguliwa anayeweza kupata support na heshima ya kuwa Waziri Mkuu? Haitakuwa mara ya kwanza kwa Waziri Mkuu kurudia kiti chake mara ya pili. 

Yetu macho.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.


0 comments:

Post a Comment