Sunday 15 December 2013

Re: [wanabidii] Hongera Rais Jakaya Kikwete kwa hotuba nzuri mazishi ya Mandela

Nafikiri ilikuwa ni hotuba yenye muktadha wa kuelezea historia kutokana na shughuli ya siku husika. Hata mtoa hotuba alitanabaisha hivyo kama alivyoelezea siku ya kumbukumbu ya uhuru wa Tanganyika. Kwa ufahamu wangu hadithi ni maelezo ya kweli ama ya kutunga ambayo hutolewa mambo yaliyopita ama yalivyokuwa nyakati fulani. Maelezo haya hutolewa kwa mtu mmoja ama kundi. Hotuba kwa upande mwingine mi maelezo ambayo hutolewa kwa kadamnasi ama hadhara fulani bila kujali nyakati kutokana na kwamba yanaweza kugusia mambo yaliyopita, yaliyopo ama yajayo.

On Dec 15, 2013 4:45 PM, <dekleinson@gmail.com> wrote:
Bariki and Nico,
Basi mkubaliane muiite Hotuba-hadithi au Hadithi-hotuba kulingana na mshereheshaji alivyomwitia, kama alisema aje kutoa hotuba basi muiite Hotuba hadithi!!!
Najua lazima atakuja mtu atuletee maana ya haya maneno mawili kutoka kamusi. And then upeo wenu uanze kufunguka sasa.
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment