Sunday 15 December 2013

Re: [wanabidii] TOFAUTI KUBWA KATI YA MANDELA NA NYERERE KWA ULIMWENGU ILIKUWA NINI?

Very interesting views, lakini maswali ya kujiuliza kwanza ni je tofauti ni kitu gani na umaarufu ni nini? Indicators za umaarufu ni zipi. Binafsi namfananisha Nyerere kama mtu aliyesoma degree za masters nne au zaidi na mzee Madiba namfananishana mtu aliyesomea fani Fulani hadi uprofesa. Kimsingi unaweza kusema mwenye degree nyingi tofauti ndiye msomi zaidi lakini wasomi wenyewe wanaweza kusema profesa ndiye zaidi. kwa sababu kajikita kwenye kaeneo Fulani kiukamilifu

Madiba alishughulika na ukombozi wa nchi yake kwa sababu ndo lilikuwa jambo la kuanza nalo na pia isingewezekana kwake kushughulikia uhuru wa afrika nzima kabla ya hilo. Lakini pia tujiulize ni je Nyerere na Madiba walikuwa wanashughulikia maadui wenye nguvu sawa? na wakiwa na fursa zilizofanana? ukimuangalia madiba alivyostruggle kusoma peke yake itakutosha kuona ni namna gani hawa watu hawakuwa na fursa tunazoweza kutufanya kuwaweka kwenye viwango sawia.

2013/12/15 <hosea.ndaki@gmail.com>
Kiwasila, kanumba ni maarufu kuliko mvungi hapana shaka, ndo mtanzania aliyeua soko la filamu za kinaigeria na kufanya filamu za kibongo zikamate chaka, angekuwepo mkataba wake na hollywood ungezifanya filamu za bongo kichukue nafasi ya filamu za kihindi. Kumbuka hata marekani akina vandame na schwazineger ni maarufu kuliko hata viongozi wao wa kisiasa. Kazi za kanumba ziligusa wananchi wa kawaida, tizama filamu ya twin sisters.

 ----------
Sent from my Nokia phone

------Original message------
From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, December 15, 2013 4:19:55 AM UTC
Subject: Re: [wanabidii] TOFAUTI KUBWA KATI YA MANDELA NA NYERERE KWA ULIMWENGU ILIKUWA NINI?

-Mzee Nyerere Baba wa taifa alikubali kambi za wapigania uhuru kuwa Tanzania-mfano za S.Africa ANC kuwa Bagamoyo-Magambani, Morogoropia bila ya shaka na maeneo mengine; Waliomuondoa Idd Amin- Binaisa, Museveni walikuwa TZ kuandaa mapambano; DRC-kupambana na wakoloni mambo leo wenye kubeba ufalme -Mobutu Sese Seko- Mzee Marehemu Kabila na Mwanae walikuwa Bongoland kuandaa kukomboa nchi wakafanikiwa; kambi ya wapigania Uhuru Zimbabwe na Msumbiji, Angola zilikuwa Bongoland. Nachingwea ilikuwa na Farm 7 au kambi 7 -KJT, JWTZ, pamoja na wapigania Uhuru wa Msumbiji, Angola mafunzo na maandalizi mazuri.

-Hakubagua mtu-ukiwa Musona airport umeona ndege ya Rais ipo pale unakimbilia unapata lift.

-Nyumbani kwake ndugu na jamaa wakijaa ndani kuomba misaada na wakati wa chakula anao mezani kibao hata wafike 30-50 anakula nao hapo Butiama. Huwezi kutofautisha nyumba ya Rais wa nchi na mtu wa kawaida. Jioni au asubuhi akiwepo Butiama haachi kulima shambani. Kutunza kitambi kikubwa fashion ya wakati huo ya viongozi haikuwa tija kwake-jembe, kazi, kilimo cha kuna na kupona.

-Alijenga uzalendo wa raia na wasomi kupenda nchi yao-aliweka mafunzo ya lazima ya kijeshi kukawa na shule za sekondari za kijeshi, vyuo vya ualimu vya kijeshi, mafunzo ya mgambo, young pioneers, na lazima kila amalizae sekondari, High school aende jeshi 6 months -1 year kujenga ukakamavu, utayari kugombania na kulinda nchi na kujenga uzalendo. Aliyemaliza std 7 kama akina Mzee Small-JKT miaka 2 na anajifunza ufundi huko wa kilimo na kumila kwa trekta au plough, kushona viatu, kufuga mifugo etc. kambi za JKT zilikuwa zikizalisha mali pia Magereza yalikuwa ya kilimo na ufundi mkubwa sio kubweteka kusubiri serikali iwalishe wafungwa. Mfungwa akitoka jela-alikuwa ana ujuzi. Elimu ya kujitegemea mashuleni kujua ufundi, mashamba ya kilimo ya shule kwa ajili ya kupata uji na fedha ambayo kwa sasa yamefisadiwa. Kama hukupitia JKT hupati kipaumbele cha kuingia Chuo Kikuu UDSM au kupata ajira. Walioingia directly kutoka high school labda ni wale wa sayansi na
 udaktari.

-Usawa kwa wanawake na wanaume katika kwenda JKT, Mishahara kwa elimu na cheo cha aina moja kuliko Ulaya wanakodai wana demokrasia lakini mwanamke anapata mshahara mdogo kwa sababu ya kuwa mwanamke. hii yeye aliikataa mara alipofanikisha TZ kupata Uhuru

-Hakubagua rangi ya mtu. Aliingiza wahindi, waarabu, wazungu ktk baraza lake na mawaziri na vyeo vya juu mbali mbali. Alikana ubaguzi wa visiwa (ZNZ vs Tanzania Bara) na alionya ubaguzi huu utakuwa sawa na kula nyama ya mtu, ukianza utaendelea na sasa ndio tumefika hapo alipoonyea.

On Saturday, 14 December 2013, 21:20, ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com> wrote:

Wakati najiuliza Bahati ana maana gani kusema Zimbabwe ni huru kuliko mataifa yote Africa, nakubaliana naye katika kusema Nyerere aliupigania uhuru wa mataifa mengi na Mandela aliipigania uhuru wa Africa Kusini.
Nimekuwa nikijiuliza namna bora ya kuwapima Nyerere na Mandela nikafikia mahala nikawaza kuwa labda inategemea hisia za mtu na nani anasema nini.
Ukiona msururu wa viongozi wa mataifa waliokusanyika SA kutokana na kifo cha Mandela utafikiri kuwa mandela ni maarufu kuliko Nyerere. Lakini ukianza kuyahorodhesha matendo ya Nyerere unajiuliza uwapimeje.
Nyerere:
1. Aliwaongoza watanzania kupigania uhuru bila kumwaga damu na ilichukua muda mfupi kuupata.
2. Alijitolea kutumia raslimali za Tanzania kuyakomboa mataifa yaliyoizunguka Tanzania.
3. Aliweza kwa mafanikio kushirikiana na Karume kuunda muungano wa Mataifa mawili na akaweza kuliongoza taifa hili kutengeneza muungano wa kipekee Afrika.
4. Ni mmoja kati ya viongozi walioweza kutoka madarakani licha ya uwezekano wa kuweza kug'ang'ania madarakani Wa kwanza alikuwa Leopord Sengoo wa Senegal).
5. Aliongoza tume ya South-South Commission na kama ripoti yake ingefanyowa kazi ukweli mataifa yetu yangeweza kuendelea na kuheshimiwa.
6. Katika umri tete wa Taifa la Tanganyika/Tanzania aliwagomea wajerumani na waIngereza kiasi cha kuwaamuru mabalozi wa nchi hizo kuondoka.
7. Ongeza mengine.
 
Mandela:
1. Alifungwa Gerezani na kukataa msamaha wa makaburu ulioambatana na masharti yanayopingana na dhamira yake.
2. Alipoupata uongozi wa taifa lake hakulazimisha kuendelea kuwa kiongozi ila aliongoza kipindi kimoja.
3. Aliwaongoza waAfrika ya Kusini kusameheana na kuponyesha makovu ya ubaguzi wa Afrika ya Kusini uliokuwa na makovu makubwa sana.
4. Aliweza kuumaliza mgogoro wa Burundi kwa kipindi kifupi-(Hapa kuna mawili, Njia aliyotumia ilitofautiana na ya mtangulizi wake kwa sababu wakati Nyerere alitaka makubaliano ya pande zote Mandela aliwabambikiza makubaliano.
5. Ongeza mengine.
 
Nafikiri tukipitia utaratibu huu basi uamuzi wa kuwapima utakuwa sahihi.
Tukipitia hisia za waombolezaji unaweza kufikiri kuwa Kanumba alikuwa maarufu kuliko Mvungi maana rambi rambi za Serikali kwa Kanumba zilikuwa mamilioni ya hela wakati kwa kanumba sikumbuki zilikuwa ngapi ila ni kiduchu. Umaarufu wa wawili hao ukiangaliwa kwa vigezo hivyo si sahihi. (Huu ni mfano hai ila ni mfano tu naomba usitumiwe kubadili mjadala.
Elisa

From: denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, December 14, 2013 8:21 PM
Subject: Re: [wanabidii] TOFAUTI KUBWA KATI YA MANDELA NA NYERERE KWA ULIMWENGU ILIKUWA NINI?

Duh..
On Dec 14, 2013 4:54 PM, "richard bahati" <ribahati@gmail.com> wrote:

Nchi pekee ya Africa ambayo ina uhuru wa ukweli ni Zimbabwe tu. Baada ya miaka 5 au 10 ijayo, Zimbabwe itakuwa nchi tajiri kuliko zote Duniani. Zimbabwe ndoyo nchi pekee Afrika inayomiliki ardhi yake kwa asilimia 100. Nyerere was greater than Mandela. Far greater. Nyerere fought for Africa not for Tanzania alone. Mandela gave South Africans only a political freedom in the hope that they would fight for their economical freedom which they have greatly failed. I predict turmoil in S.A now because people have lost hopes of what they have struggled for such a long time. Making Mandela bigger than himself is just another media fallacy to blackmail Africans to forget their original course of struggle.  Until Africans own the major means of production/land... "not yet uhuru"
>
>
>
>
>On Sat, Dec 14, 2013 at 6:03 PM, <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:
>
>Kleinson, mandela pamoja na kukaa jela miaka 23 alikaa ikulu miaka mitano tu na uchumi wa sa uliimarika zaidi, wakwetu sijui alipigania uhuru muda gani lakini isingelikuwa kutaitiwa na world bank angefia ikulu, achilia kukoroga uchumi na kukebehi wazungu. Mie naamini jk angekaa miaka mitano na kumwachia paul bomani bob makani na amil jamal tungekuwa mbali mno.
>>
>>
>> ----------
>>Sent from my Nokia phone
>>
>>------Original message------
>>
>>From: <dekleinson@gmail.com>
>>To: <wanabidii@googlegroups.com>
>>Date: Saturday, December 14, 2013 6:25:57 AM GMT+0000
>>Subject: Re: [wanabidii] TOFAUTI KUBWA KATI YA MANDELA NA NYERERE KWA ULIMWENGU ILIKUWA NINI?
>>
>>On my side,
>>Nyerere deserve much respect than Madiba. Mwalimu alijishirikisha katika asilimia kubwa ya harakati za ukombozi wa bara hili! May be Madiba anaheshimika kwa sababu alijitoa sana kwa SA!
>>
>>Ukifanya analysis ya kazi za hawa watu 2 utagundua ya Mandela ili-cover sehem ndogo ila nzito kwa kikundi kidogo cha watu, hali ya Mwalimu ilikuwa na coverage kubwa ila kibinafsi haikumsumbua to that extent.
>>
>>Tukizungumzia ukombozi wa Africa then Mwalimu anastahili kushushiwa bendera!!! Leo wa-Africa tukiamua
 kuwaenzi legends wetu am sure jina
 la Nyerere litakuwa juu ya Madiba! Tena sijui tunasubiri nini??
>>Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.
>>
>>--
>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>---
>>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>>To unsubscribe from this group and stop
 receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>--
>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.
>>---
>>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
 consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
 consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment