Wednesday 11 December 2013

Re: [wanabidii] Dk.Magufuli amng'oa Pinda

Ibara ya 51 (2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, toleo la 2005 (kama ilivyofanyiwa marejeo mara kadhaa) inaeleza pamoja na mambo mengine kwamba;-
"....Rais atamteua Mbunge wa KUCHAGULIWA KUTOKA KATIKA JIMBO LA UCHAGUZI anayetokana na chama cha siasa chenye wabunge wengi zaidi bungeni......."

On Dec 12, 2013 2:57 PM, "mobini sarya" <mobinsons@yahoo.com> wrote:
wanabidii

Hatmaye tanzania imefanikiwa kumpata, waziri mkuu mwanamke,baada ya Dk.Asha Migiro kuteuliwa kumrithi Pinda.

taarifa ambazo zimekariri chanzo kimoja zinasema Pinda aliomba mwenyewe apumzishwe hasa baada ya sakata la wenye malori kushindwa kupatiwa uvumbuzi na waziri wa ujenzi Dk.Magufuli.

baraza jipya la mawaziri linatarajiwa kuvunjwa na kuundwa baada ya siku kuu za mwisho wa Mwaka,

ewe msomaji itunze taarifa hadi itoke kuchapwa kwa sekritari na kusainiwa

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment