Sunday 1 December 2013

RE: [wanabidii] CHADEMA MKOA WA GEITA WAMUUNGA MKONO ZITTO

Hongera chadema kwani hiatus mlizo chukua ni sahihi na wakati muafaka sote tunakumbuka mwaka 84wakati mlm nyerere na cc walivyochukua hatukali dhidi ya jumbe kwa kuwa na mkakati wa siri kuhusu muungano,alitoka Dom na kuishia kigamboni akiacha uraisi,makamu mwenyekiti nk.now yeyote njema hufanywa kwa taratibu sahihi sio kutengeneza mikakati ya siri na mitandao.hiyo mitandao na mikakati ya siri wajiunge na chama cha magamba ambacho wote tunajua hakiwezi kichukua maamuzi magumu kama alivyo fanya mwenyekiti wao mwaka 84.

Sent from my Sony Xperia™ smartphone

Francis Kasili <Francis.Kasili@nmbtz.com> wrote:

MA-CCM yamepata likizo sasa, tehe tehe tehe.

Regards

F.Kasili

Mob: 0784850583 or 0755850583

Always darkness will never comprehend light

From: wanabidii@googlegroups.com [wanabidii@googlegroups.com] on behalf of Dr. Hamisi A. Kigwangalla [hkigwangalla@gmail.com]
Sent: Friday, November 29, 2013 11:10 AM
To: wanabidii
Subject: Re: [wanabidii] CHADEMA MKOA WA GEITA WAMUUNGA MKONO ZITTO

hadithi mmezianzisha wenyewe, leo mnaanza kuhangaika kuteteana...tumieni busara 'msianike chupi kwenye hadhara'

2013/11/28 embegu <embegu@hotmail.com>
Abdallah,
Wote? Akina nani?

Sent from Samsung tablet

-------- Original message --------
From: Matthew Mdidi
Date:28/11/2013 18:17 (GMT+07:00)
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] CHADEMA MKOA WA GEITA WAMUUNGA MKONO ZITTO

Mwenyezi Mungu hamfichi mnafiki, huu ndio wakati mzuri wa kuwafahamu wanachama wa ZZK na wanachama wa Chadema!

Sent: Thursday, November 28, 2013 2:03 PM

Subject: RE: [wanabidii] CHADEMA MKOA WA GEITA WAMUUNGA MKONO ZITTO

Tatizo hapa na katika mivurugano yoote halitoki ndani ya chadema na badala yake vinatoke nje kwa magamba, Je! mmesahau statement ya wasira kuwa haitafika 2015 CDM itakuwa imevunjika. yote yanayotokea yalishapangwa na chama cha magamba na sasa ni wakati wao wa kutekeleza. wengi wanaoshabikia yanayotokea CDM hawajitambui hata kidogo na si ajabu njaa ndizo zinazowasumbua hata wakaacha kufikiri sawawa na kuwaachia wengine kuwashikiria akili zao. hata kama kuna kinara wa kupinga katika hili jukwaa kwa gharama za magamba ni lazima ukubali iko siku watu wa aina hii wataja juta kwa tabia hizi ambazo kwanza ni za kitambo tu kwani muda wote ukweli hauwezi kushindwa na uongo. Ninachoona hapa ni talalila kibaooo, eti ukanda, udini na mabavu ndani ya CDM vitu ambavyo ukichunguza utakuta hakuna ukweli wowote na badala yake ni mapandikizi yapingayo demokrasia kwa minajili tu ya matumbo yao. Ni lazima mfahamu fika kuwa! TZ bila chama imara cha upinzani mmekwisha maana hakuna mwenye utashi wa kweli kutoka kwa watala anayetaka kuruhusu alichonacho kigawanywe kwa wengine, na hii itaendelea kuwatafuna hata kuwamaliza huku foreigners wakifaidi rasilimali kwa gharama ya bure.
 
Always darkness will never comprehend light

From: wanabidii@googlegroups.com [wanabidii@googlegroups.com] on behalf of mngonge [mngonge@gmail.com]
Sent: Thursday, November 28, 2013 12:17 PM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] CHADEMA MKOA WA GEITA WAMUUNGA MKONO ZITTO

upuuzi mtupu, title mbona haiendani na contents? Inaonekana ni maoni ya mtu mmoja halafu kichwa cha habari kinasema CHADEMA MKOA WA GEITA. Kama ni kikao alichoitisha yeye basi angetwambia kilifanyika lini na resolutions zake zilikuwa nini siyo haya ya njaa njaa

2013/11/28 Jeremiah Kibwengo <jerrykibwe@gmail.com>
Abdallah haya inaonekana wazi kuwa ni maoni yako Binafsi, sio ya Wana Geita. Tujaribu kuwa werevu, tusipende kuwa wanafiki na wapenda kukoroga majungu hovyo hovyo. Kwanini Watanzania tumekuwa hivi? 

2013/11/27 Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
NIkiwa kama Katibu wa CHadema, Mkoa wa Geita nasema na wenzangu pia wote ndani ya mkoa wetu tutakuwa nyuma ya Mhe. Zito Zuberi Kabwe.

Nyakati za uonezi, manung'uniko na kubaguliwa sababu tuu za ueneo, ukanda, udini na kuchaguliana marafiki zimekwisha. 

Tundu Lissu badala ya kujibu hoja kwa hoja yeye anaenda kurudia hadithi zile zile?

Kwanini Tundu Lisu hakujibu Tuhuma za Mzee Arf kuwa ameachia umakamu kwa sababu ya kuchaguliwa viongozi na mtei na pia kuchaguliwa marafiki?

Kwa nini Tundu Lisu hakujibu shutuma za Mabilioni ya USwisi kuwa hata Mwenyekiti wetu Bwana Mbowe yumo nae...Rejenin taarifa mbali mbali mojawapo ni Gazeti la Kiingereza la The African katika makala iliyoandikwa na Prince Bagenda, la tarehe 25 November 2013 akitumia maneno haya....

"....The Parliamentary caucuses might join hands to clip Zitto's wings. In the same manner the communication reported between CCM and CHADEMA over the Swiss banks are said to include CCM, government officials and leader of the Opposition party (Mbowe)..."

Wakati wa watanzania kujua kuwa Mbowe anamiliki mabilioni huku Uswis Umefika na wakati wowote Zitoo atayatoa majina hayo na A?c Zao... na hili ndilo jambo la pili kumfukuza Zito Chamani likianza lile la kuogopa Zito kushinda Uenyekiti wa Chama. SIsi Tulijua Uchaguzi wa Chadema kamwe usingefanyika Zito angeendelea kuwa Mwanachama wa Chadema. Kamwe Uchaguzi Usingefanyika.! Bahati Mbaya watu wenye akili kama Lisu wamekubali kutumikishwa na Mjinga mjinga kama Mwenye kiti wetu. 

Huu ni wakati wa kueleza Ukweli na liwalo na liwe lakini Maslahi ya Nchi yetu kwanza DAima.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

*************************************************************************************** *************************************************************************************** This e-mail and any attachments are proprietary to NMB PLC. Any unauthorized use or interception is illegal. The views and opinions expressed are those of the sender, unless clearly stated as being those of NMB PLC. This e-mail is only addressed to the addressee and NMB PLC shall not be responsible for any further publication of the contents of this e-mail. If this e-mail is not addressed to you, you may not copy, distribute or disclose the contents to anyone nor act on its contents. If you received this in error, please inform the sender and delete this e-mail from your computer.

"Vision is the ability to see the invisible!"
Hamisi A. Kigwangalla, MD, MPH, MBA
P.O.Box 22499,
Dar es salaam.
Tanzania.
Phone No: +255 754 636963
                +255 782 636963
website: www.peercorpstrust.org or www.hamisikigwangalla.com
Email: hamisi.kigwangalla@peercorpstrust.org or info@hamisikigwangalla.com
Skype ID: hkigwangalla
Blog: blog.hamisikigwangalla.com 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
*************************************************************************************** *************************************************************************************** This e-mail and any attachments are proprietary to NMB PLC. Any unauthorized use or interception is illegal. The views and opinions expressed are those of the sender, unless clearly stated as being those of NMB PLC. This e-mail is only addressed to the addressee and NMB PLC shall not be responsible for any further publication of the contents of this e-mail. If this e-mail is not addressed to you, you may not copy, distribute or disclose the contents to anyone nor act on its contents. If you received this in error, please inform the sender and delete this e-mail from your computer.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment