Friday 6 December 2013

Re: Re: [wanabidii] Taarifa ya Polisi kuhusu tukio la kuchomwa moto kwa ofisi za CHADEMA Arusha Mjini

Elisa Muhingo
Ukiacha uongo urudiwe rudiwe watu wanaweza kufikiri ndio ukweli


2013/12/6 ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
Ni vizuri kabisa Matamshi ya viongozi wa CHADEMA kipindi hiki yakafanyiwa mahesabu la sivyo itakosa heshima mbele za watu. Kila kitu kikiwa politicised watakiua Chama. Fika mahala muonyeshe mnavyohitaji ushirikiano na taasisi nyingine mkidhaminiwa kuliongoza taifa la sivyo hamtajaribiwa. Niliwahi kusema humu kuwa tunataka Chadema itakayounda serikali ambayo Zitto na Lema tutahakikishiwa kuwa hawatakuwa mawaziri. Nakumbusha tu

----------
Sent from my Nokia Phone

------Original message------
From: Rehema Kikwete <rehemaki@gmail.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, December 6, 2013 2:29:06 AM GMT-0800
Subject: Re: [wanabidii] Taarifa ya Polisi kuhusu tukio la kuchomwa moto kwa ofisi za CHADEMA Arusha Mjini

Haya yote yaliyoandikwa hapa ni utetezi wa kijinga sana jamani mtaniwia
radhi kusema hivyo. Lema ni tatizo kubwa sana CHADEMA. Lema alishasema hilo
majuzi akiudanganya umma kuwa waliounguza ofisi ni vijana wa polisi ilihali
tunajua ni hila zake na wenzie. Katibu hapa anaandika bila kujua anasukumwa
na Lema kufanya jambo ambalo hata yeye katibu mwenyewe haafikiani naye.

Tujiize walivyokubaliana kuwa na mkutano huo ugomvi wa meya haukuwepo?
Pinda alitoa statement yake iliyopotoshwa jana au juzi? Ushahidi wa wazi
upo na nawashauri CCM Arusha kufanya utafiti kuhusu matangazo yaliyotolewa
kama hamna njama za Lema humo.

Nani asiyejua vijana wanaopendekezwa na Lema kuwa ni mamluki wake ili
mahakamani wajibu kama watakavyoelekezwa na Lema ? sasa baada ya dili
kushindikana wanatafuta kisingizio! Hahahaa heko polisi arusha.

Ni wakati muafaka wa wana chadema na wananchi kwa ujumla kutathmini upya
misimamo ya watu binafsi kushikilia misimamo ya chama. Nasema hivi maana
yapo mashinikizo mengi ya kibinafsi kama hili la Lema na wengine wengi
ambayo yanaimarisha chama kwa watu ila kwa kura ni sifuri.

Mwisho namshauri Msajili aendelee na mkutano wake maana vya siasa si
chadema pekee. Na ni kawaida yao chadema kugomea mambo ya amani last minute
hata aliouitisha Mh. Mbatia waliugomea kisa eti serikali imechangia
gharama, kama hawajui kazi ya serikali. Chama hiki kinapoteza muelekeo
kikichukua nchi utashangaa Lema anasema nyonga vyama vingine vyote.

Kila la kheri msajili.

On Friday, December 6, 2013 9:57:27 AM UTC+3, paul lawala wrote:
>
> Lembu
>
> Huyu Youth Development ni kijana anayejulikana?labda ndiyo maana anapeta
>
>
> 2013/12/5 Ephata Nanyaro <nany...@gmail.com <javascript:>>
>
>> Urio
>>
>>
>>
>> 2013/12/5 Youth Development Network Tz <ydnetwo...@gmail.com<javascript:>
>> >
>>
>> > Nanyaro.
>> > Hivi jengo hilo si lina geti na red breged ndo walinzi, pili si asubuhi,
>> > anyway kwahili liko kwenye uwezo wako, ila waambie wanaarusha ukweli
>> > usijaribu kuwagombanisha na jeshi la police.
>> > On 5 Dec 2013 21:08, "Ephata Nanyaro" <nany...@gmail.com <javascript:>>
>> wrote:
>> >
>> >> Urio
>> >> Jitahidi kuwa mkweli japo kidogo,jaribio la kuchoma ofisi sio
>> >> dogo,kumbuka kama moto ungeshika kama ilivyokusudiwa ingekuwa balaa si
>> tu
>> >> kwa CHADEMA bali hata kwa majirani,ni bahati nzuri umeme ulikuwa
>> umeisha
>> >> (luku imeisha) ndio maana hakukuwa na shoti ya umeme
>> >>
>> >>
>> >> 2013/12/5 Bariki Mwasaga <bmwa...@gmail.com <javascript:>>
>> >>
>> >>> Hahah si mchezo
>> >>> On Dec 5, 2013 8:55 PM, "Ephata Nanyaro" <nany...@gmail.com<javascript:>>
>> wrote:
>> >>>
>> >>>>
>> >>>>
>> >>>> 2013/12/5 Bariki Mwasaga <bmwa...@gmail.com <javascript:>>
>> >>>>
>> >>>>> Nanyaro mtuwekee picha mara taratibu za kipolisi zikimalizika
>> >>>>> On Dec 5, 2013 7:58 PM, "Ephata Nanyaro" <nany...@gmail.com<javascript:>>
>> wrote:
>> >>>>>
>> >>>>>> UCHUNGUZI KUHUSU JARIBIO OVU LA KUCHOMA MOTO OFISI ZA CHADEMA
>> ARUSHA
>> >>>>>>  Jana 3/12/2013 jaribio baya lilifanyika dhidi ya kuchoma ofisi ya
>> >>>>>> CHADEMA ya Kanda ya Kaskazini na Mkoa wa Arusha .
>> >>>>>> Hata hivyo Jeshi la Polisi lilifika kwa ajili ya uchunguzi wa awali
>> >>>>>> na Chama kilielekeza Kitengo chake cha Usalama na Ulinzi kuanza
>> kufuatilia
>> >>>>>> jambo hilo kwa kina ili kubaini wahalifu wa jaribio hilo baya .
>> Taarifa
>> >>>>>> ambazo tumepokea mpaka sasa ni taarifa muhimu ambazo tunahamini
>> zitaisadia
>> >>>>>> Jeshi la Polisi katika uchunguzi wake.
>> >>>>>> Tumepeleka majina ya Watu ambao taarifa zetu za kina zinaonyesha
>> >>>>>> wanahusika na tukio hili takribani wasiozidi watano na ni imani
>> yetu kuwa
>> >>>>>> Jeshi la Polisi litachukuwa hatua muhimu katika uchunguzi wao huku
>> Chama
>> >>>>>> tukiwa tiyari kabisa kutoa ushirikiano wa dhati katika uchunguzi
>> wa kina na
>> >>>>>> wakitaalaamu ambao utaweza kuthibitisha udadisi wetu na uchunguzi
>> wetu ili
>> >>>>>> kuponya Taifa letu .
>> >>>>>> Hata hivyo Chadema kinalitaka Jeshi la Polisi kutokufanya Siasa
>> >>>>>> katika jambo hili kwani ni muhimu wakaelewa kwamba kupuuza
>> uchunguzi wa
>> >>>>>> jambo hili ni hatari kwa Mkoa wa Arusha na mustakabali wa Amani ya
>> Taifa
>> >>>>>> letu . Chama katika utafiti wake kimebaini kuwa miongoni mwa
>> washukiwa
>> >>>>>> katika tukio hili wamekuwa ni Vijana ambao wamekuwa wakifanya kazi
>> na
>> >>>>>> Polisi katika jitihada za kuhujumu Chadema na hivyo kunaleta
>> mashaka
>> >>>>>> makubwa juu ya uchunguzi wa jambo hili kama utafanyika kwa ufasaha
>> na
>> >>>>>> weledi wa hali ya juu kwa majina ambayo Chama imemkabidhi Kamanda
>> wa Polisi
>> >>>>>> Mkoa .
>> >>>>>> Hata hivyo katika uchunguzi wake Chadema inasikitishwa sana na
>> >>>>>> kitendo cha Serikali kumpatia mmoja wa washukiwa umiliki wa silaha
>> aina ya
>> >>>>>> bastola wakati Mtu huyo akiwa na rekodi ya kuwa na kichaa cha mara
>> kwa mara
>> >>>>>> .
>> >>>>>> Chadema Kanda ya Kaskazini inawataka Wanachama wake na wafuasi
>> >>>>>> watulie kimya bila kutafakari aina yeyote ya kisasi kwa jaribu
>> hili baya
>> >>>>>> ili kutoa fursa njema kwa Viongozi wao na Jeshi la Polisi ili
>> kuwabaini
>> >>>>>> Watu hawa waliotaka kuteketeza Ofisi ya Chama kwa moto . Lakini
>> pia Chadema
>> >>>>>> inamshukuru sana na kumpongeza mmiliki wa nyumba hiyo kwa kutambua
>> majaribu
>> >>>>>> ambayo tumepitia wakati huu kwa kukubali kurekebisha nyumba ambayo
>> ni ofisi
>> >>>>>> yetu kwa gharama zake mwenyewe kama sehemu ya kuheshimu jitihada za
>> >>>>>> kushinda hofu na woga unaotaka kupandikizwa miongoni mwa jamii
>> yetu .
>> >>>>>>
>> >>>>>> NANYARO E.J.
>> >>>>>> Mwenyekiti Wilaya
>> >>>>>> 4/12/2013
>> >>>>>>
>> >>>>>>
>> >>>>>> 2013/12/5 Ephata Nanyaro <nany...@gmail.com <javascript:>>
>> >>>>>>
>> >>>>>>> Elisa
>> >>>>>>> Hakuna sayansi hapa bali siasa za majitaka,bahati mbaya polisi
>> wetu
>> >>>>>>> hawa wamedanganya wameshindwa kufanya kazi hii kwa weledi,ofisi
>> >>>>>>> imetobolewa,mchomaji akachoma kwa juu,sote tumeona,polisi
>> wameona,ila
>> >>>>>>> wamekana UKWELI dalili za kuukana ukweli huu kwa maslahi
>> wanayojua wao
>> >>>>>>> zilionekana mapema
>> >>>>>>>
>> >>>>>>>
>> >>>>>>> 2013/12/5 ELISA MUHINGO <elisam...@yahoo.com <javascript:>>
>> >>>>>>>
>> >>>>>>>> Huu ni upelelezi wakisayansi.
>> >>>>>>>> Nawapongeza. Waendelee. Jenifa ana msaada mkubwa sana katika hili
>> >>>>>>>>
>> >>>>>>>>   *From:* Abdalah Hamis <hami...@gmail.com <javascript:>>
>> >>>>>>>> *To:* wana...@googlegroups.com <javascript:>
>> >>>>>>>> *Sent:* Thursday, December 5, 2013 11:27 AM
>> >>>>>>>> *Subject:* [wanabidii] Taarifa ya Polisi kuhusu tukio la kuchomwa
>> >>>>>>>> moto kwa ofisi za CHADEMA Arusha Mjini
>> >>>>>>>>
>> >>>>>>>>  JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
>> >>>>>>>>
>> >>>>>>>> WIZARA YA MAMBO YA NDANI
>> >>>>>>>>
>> >>>>>>>> JESHI LA POLISI TANZANIA
>> >>>>>>>>
>> >>>>>>>>
>> >>>>>>>> *TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA OFISI YA KAMANDA WA POLISI
>> >>>>>>>> MKOA WA ARUSHA: TAARIFA YA AJALI YA MOTO KATIKA OFISI ZA CHADEMA*
>> >>>>>>>>
>> >>>>>>>> Ndugu wanahabari, mnamo tarehe 03/12/2013 muda wa saa 5:00
>> asubuhi,
>> >>>>>>>> polisi mkoani hapa tulipokea taarifa juu ya kuchomwa moto kwa
>> jengo ambalo
>> >>>>>>>> lina ofisi za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
>> zilizopo mtaa wa
>> >>>>>>>> Ngarenaro, Halmashauri ya jiji la Arusha.
>> >>>>>>>>
>> >>>>>>>> Mara baada ya taarifa hiyo askari walikwenda katika eneo la tukio
>> >>>>>>>> na kukuta moto umezimika. Jengo hilo ambalo lina uzio mrefu wa
>> matofali na
>> >>>>>>>> geti moja la mbele lina ofisi tatu za chama hicho ambazo ni
>> ofisi za
>> >>>>>>>> wilaya, mkoa na Kanda ya Kaskazini ambazo zinatumia bafu na choo
>> kimoja.
>> >>>>>>>>
>> >>>>>>>> Aidha uchunguzi uliofanywa na polisi kwa kushirikiana na idara ya
>> >>>>>>>> zimamoto imegundua mambo yafuatayo:-
>> >>>>>>>>
>> >>>>>>>>
>> >>>>>>>>    - Kwanza, ofisi hizo zinalindwa na walinzi wa chama hicho "red
>> >>>>>>>>    brigades" na siku ya tukio mlinzi aliyekuwa zamu alikuwa
>> Kitumbwizi s/o
>> >>>>>>>>    Bahati (42) mkazi wa Olasiti ambaye aliingia kazini tarehe
>> 02/12/2013 muda
>> >>>>>>>>    wa saa 12:00 jioni na kutoka tarehe 03/12/2013 muda wa saa
>> 12:00 asubuhi.
>> >>>>>>>>    Aidha ofisi hizo zina katibu muhtasi mmoja aitwaye Jenifer
>> d/o Mwasha (25)
>> >>>>>>>>    mkazi wa Sombetini ambaye uwa anaingia kazini saa 1:30
>> asubuhi kila siku
>> >>>>>>>>    lakini siku ya tukio aliingia saa 4:00 asubuhi.
>> >>>>>>>>
>> >>>>>>>>    - Pili, uchunguzi umeendelea kubaini kuwa, hakuna mahali
>> >>>>>>>>    palipovunjwa kutoka kwenye uzio wa ofisi hizo kuruhusu
>> mtu/watu kuingia
>> >>>>>>>>    ndani.
>> >>>>>>>>
>> >>>>>>>>    - Tatu, mlango wa nyuma wa ofisi hizo katika veranda
>> >>>>>>>>    kuligundulika tundu katika dari kuelekea bafuni tundu lenye
>> upana wa futi
>> >>>>>>>>    moja na nusu kwa nusu (11/2x1/2) ambalo ni dogo kiasi cha
>> kutowezesha mtu
>> >>>>>>>>    kupenya kuingia ndani ya ofisi hizo.
>> >>>>>>>>
>> >>>>>>>>    - Nne, ndani ya bafu kulipatikana majivu na kwenye sakafu na
>> >>>>>>>>    juu ya sinki yakiwa makavu bila maji maji yoyote.
>> >>>>>>>>
>> >>>>>>>>    - Tano, kuta zote za bafu na choo hazikuwa zimeungua.
>> >>>>>>>>    - Sita, eneo lililoungua kwenye dari ni 3/4 (robo tatu mita)
>> >>>>>>>>    lenye upana wa mita 1 kwa urefu wa mita 3.
>> >>>>>>>>    - Saba, eneo ambalo moto ulionekana umewaka, mbao katika dari
>> >>>>>>>>    zilionekana kuungua upande wa chini na upande wa juu wa mbao
>> na ceiling
>> >>>>>>>>    board hazijaungua kuomyesha moto ulianzia chini.
>> >>>>>>>>    - Nane, kumepatikana kipande cha chuma kilichokuwa na karatasi
>> >>>>>>>>    zilizoungua pamoja na tochi ndani ya dari eneo ambalo moto
>> ulikuwa ukiwaka
>> >>>>>>>>    lakini vitu hivyo havikuonyesha dalili za kuungua au kushika
>> moto, na
>> >>>>>>>>    inaonyesha vimewekwa baada ya moto kuzimwa.
>> >>>>>>>>    - Tisa, kuna uwezekano mkubwa moto huo ulizimwa kwa kutumia
>> >>>>>>>>    hewa chafu/co2.
>> >>>>>>>>
>> >>>>>>>>
>> >>>>>>>> Kufuatia tukio hilo jeshi la polisi bado linaendelea kuwahoji
>> >>>>>>>> mlinzi wa ofisi hizo Kitumbwizi s/o Bahati pamoja na Katibu
>> muhtasi Jenifer
>> >>>>>>>> d/o Mwasha, huku upelelezi zaidi juu ya tukio hilo ukiendelea.
>> >>>>>>>>
>> >>>>>>>> Asanteni kwa kunisikiliza.
>> >>>>>>>>
>> >>>>>>>> IMETOLEWA NA KAIMU KAMANDA WA POLISI MKOA WA ARUSHA,
>> >>>>>>>> KAMISHNA MSAIDIZI WA POLISI (ACP) JAPHET LUSINGU
>> >>>>>>>> TAREHE 04/12/2013.
>> >>>>>>>>
>> >>>>>>>> --
>> >>>>>>>> Send Emails to wana...@googlegroups.com <javascript:>
>> >>>>>>>>
>> >>>>>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> >>>>>>>> wanabidii+...@googlegroups.com <javascript:> Utapata Email ya
>> >>>>>>>> kudhibitisha ukishatuma
>> >>>>>>>>
>> >>>>>>>> Disclaimer:
>> >>>>>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for
>> >>>>>>>> any legal consequences of his or her postings, and hence
>> statements and
>> >>>>>>>> facts must be presented responsibly. Your continued membership
>> signifies
>> >>>>>>>> that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our
>> Rules and
>> >>>>>>>> Guidelines.
>> >>>>>>>> ---
>> >>>>>>>> You received this message because you are subscribed to the
>> Google
>> >>>>>>>> Groups "Wanabidii" group.
>> >>>>>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it,
>> >>>>>>>> send an email to wanabidii+...@googlegroups.com <javascript:>.
>> >>>>>>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out
>> .
>> >>>>>>>>
>> >>>>>>>>
>> >>>>>>>>  --
>> >>>>>>>> Send Emails to wana...@googlegroups.com <javascript:>
>> >>>>>>>>
>> >>>>>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> >>>>>>>> wanabidii+...@googlegroups.com <javascript:> Utapata Email ya
>> >>>>>>>> kudhibitisha ukishatuma
>> >>>>>>>>
>> >>>>>>>> Disclaimer:
>> >>>>>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for
>> >>>>>>>> any legal consequences of his or her postings, and hence
>> statements and
>> >>>>>>>> facts must be presented responsibly. Your continued membership
>> signifies
>> >>>>>>>> that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our
>> Rules and
>> >>>>>>>> Guidelines.
>> >>>>>>>> ---
>> >>>>>>>> You received this message because you are subscribed to the
>> Google
>> >>>>>>>> Groups "Wanabidii" group.
>> >>>>>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it,
>> >>>>>>>> send an email to wanabidii+...@googlegroups.com <javascript:>.
>> >>>>>>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out
>> .
>> >>>>>>>>
>> >>>>>>>
>> >>>>>>>
>> >>>>>>>
>> >>>>>>> --
>> >>>>>>> Ephata Nanyaro
>> >>>>>>> P.o.box 15359
>> >>>>>>> Arusha
>> >>>>>>> +255 754 834152
>> >>>>>>> Skype.nanyaro.ephata
>> >>>>>>>
>> >>>>>>> "truth shall set you free"
>> >>>>>>>
>> >>>>>>
>> >>>>>>
>> >>>>>>
>> >>>>>> --
>> >>>>>> Ephata Nanyaro
>> >>>>>> P.o.box 15359
>> >>>>>> Arusha
>> >>>>>> +255 754 834152
>> >>>>>> Skype.nanyaro.ephata
>> >>>>>>
>> >>>>>> "truth shall set you free"
>> >>>>>>
>> >>>>>> --
>> >>>>>> Send Emails to wana...@googlegroups.com <javascript:>
>> >>>>>>
>> >>>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> >>>>>> wanabidii+...@googlegroups.com <javascript:> Utapata Email ya
>> kudhibitisha
>> >>>>>> ukishatuma
>> >>>>>>
>> >>>>>> Disclaimer:
>> >>>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for
>> any
>> >>>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements
>> and facts
>> >>>>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies
>> that you
>> >>>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>> Guidelines.
>> >>>>>> ---
>> >>>>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>> >>>>>> Groups "Wanabidii" group.
>> >>>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it,
>> >>>>>> send an email to wanabidii+...@googlegroups.com <javascript:>.
>> >>>>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>> >>>>>>
>> >>>>>  --
>> >>>>> Send Emails to wana...@googlegroups.com <javascript:>
>> >>>>>
>> >>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> >>>>> wanabidii+...@googlegroups.com <javascript:> Utapata Email ya
>> kudhibitisha
>> >>>>> ukishatuma
>> >>>>>
>> >>>>> Disclaimer:
>> >>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> >>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>> facts
>> >>>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies
>> that you
>> >>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>> Guidelines.
>> >>>>> ---
>> >>>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>> >>>>> Groups "Wanabidii" group.
>> >>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it,
>> send
>> >>>>> an email to wanabidii+...@googlegroups.com <javascript:>.
>> >>>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>> >>>>>
>> >>>>
>> >>>>
>> >>>>
>> >>>> --
>> >>>> Ephata Nanyaro
>> >>>> P.o.box 15359
>> >>>> Arusha
>> >>>> +255 754 834152
>> >>>> Skype.nanyaro.ephata
>> >>>>
>> >>>> "truth shall set you free"
>> >>>>
>> >>>> --
>> >>>> Send Emails to wana...@googlegroups.com <javascript:>
>> >>>>
>> >>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> >>>> wanabidii+...@googlegroups.com <javascript:> Utapata Email ya
>> kudhibitisha
>> >>>> ukishatuma
>> >>>>
>> >>>> Disclaimer:
>> >>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> >>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>> facts
>> >>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies
>> that you
>> >>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>> Guidelines.
>> >>>> ---
>> >>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>> >>>> Groups "Wanabidii" group.
>> >>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it,
>> send
>> >>>> an email to wanabidii+...@googlegroups.com <javascript:>.
>> >>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>> >>>>
>> >>>  --
>> >>> Send Emails to wana...@googlegroups.com <javascript:>
>> >>>
>> >>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> >>> wanabidii+...@googlegroups.com <javascript:> Utapata Email ya
>> kudhibitisha
>> >>> ukishatuma
>> >>>
>> >>> Disclaimer:
>> >>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> >>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>> facts
>> >>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies
>> that you
>> >>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>> Guidelines.
>> >>> ---
>> >>> You received this message because you are subscribed to the Google
>> >>> Groups "Wanabidii" group.
>> >>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>> >>> an email to wanabidii+...@googlegroups.com <javascript:>.
>> >>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>> >>>
>> >>
>> >>
>> >>
>> >> --
>> >> Ephata Nanyaro
>> >> P.o.box 15359
>> >> Arusha
>> >> +255 754 834152
>> >> Skype.nanyaro.ephata
>> >>
>> >> "truth shall set you free"
>> >>
>> >> --
>> >> Send Emails to wana...@googlegroups.com <javascript:>
>> >>
>> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> >> wanabidii+...@googlegroups.com <javascript:> Utapata Email ya
>> kudhibitisha
>> >> ukishatuma
>> >>
>> >> Disclaimer:
>> >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> >> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>> facts
>> >> must be presented responsibly. Your continued membership signifies
>> that you
>> >> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>> Guidelines.
>> >> ---
>> >> You received this message because you are subscribed to the Google
>> Groups
>> >> "Wanabidii" group.
>> >> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>> an
>> >> email to wanabidii+...@googlegroups.com <javascript:>.
>> >> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>> >>
>> >  --
>> > Send Emails to wana...@googlegroups.com <javascript:>
>> >
>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> > wanabidii+...@googlegroups.com <javascript:> Utapata Email ya
>> kudhibitisha
>> > ukishatuma
>> >
>> > Disclaimer:
>> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> must be
>> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree
>> > to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> > ---
>> > You received this message because you are subscribed to the Google
>> Groups
>> > "Wanabidii" group.
>> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>> an
>> > email to wanabidii+...@googlegroups.com <javascript:>.
>> > For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>> >
>>
>>
>>
>> --
>> Ephata Nanyaro
>> P.o.box 15359
>> Arusha
>> +255 754 834152
>> Skype.nanyaro.ephata
>>
>> "truth shall set you free"
>>
>> --
>> Send Emails to wana...@googlegroups.com <javascript:>
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+...@googlegroups.com <javascript:>  Utapata Email ya
>> kudhibitisha ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+...@googlegroups.com <javascript:>.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.



--
Ephata Nanyaro
P.o.box 15359
Arusha
+255 754 834152
Skype.nanyaro.ephata

"truth shall set you free"

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment