Wednesday 11 December 2013

Re: Re: [wanabidii] SLAA ADHARIRISHWA KIGOMA KASKAZINI

JM,
Huyo jamaa aliyeandika hiyo kitu anafahamu fika hilo analoliekeza mgonge, ila kwa kuwa alitanguliza chuki ndio maana kaandika pumba namna hiyo.

Magiri.

Dau dogo huambaa mwambao, kubwa huenda kwenye kilindi.

On Dec 11, 2013 12:53 PM, "Johale Magere" <johale14@gmail.com> wrote:

Mngonge
Asante kwa ufafanuzi,afadhali angesema alowahi kuwa padre au Padre Padre Mtaafuu.Pia kusema mtu anaemuita Dr Slaa Padre ana lake bado pia unataka kuleta tafsiri nyingine kwani yawezekana mtoa taarifa hakutambuwa ukomo wa mtu kuitwa Padri kwa mujibu wa Kitabu kitukufu[Holly Bible]

Magere  J.

On Dec 11, 2013 12:36 PM, "mngonge" <mngonge@gmail.com> wrote:
Kwa wakatoliki padre ni mtumishi wa Mungu anayefanya kazi hiyo. Dr. Slaa tangu alipoacha kazi hiyo hawezi kujitambulisha kama padre tena. Yeyote anayemuita padre ana lake jambo au haelewi taratibu za ukatoliki. Vyeo vya upadri na usister havipo kama ualimu, udaktari, uengineer nk . Ukiacha kazi hiyo umeacha haiendelei. Anayemuita Slaa padre ana lake jambo. Jiulize ni lini umemsikia Slaa akijiita padre tangu alipoanza siasa na  kuamua kuoa? hakuna padre mwenye mke na hivyo kumuita padre kwa sasa ni kumudhihaki

2013/12/11 Paul Lawala <pasamila292000@gmail.com>
Anaitwa nani huyu mwandishi? nafikiri ameandika matamanio ya roho yake

2013/12/11 Johale Magere <johale14@gmail.com>

Magiri

Wewe ndo unaleta udini.kwani kwani  mtu kuwa padri au sheikh au mchungaji ni vibaya? Na bila shaka iko ni cheo tu na kinamstahili Mh Slaa kwani yeye pia ni kiongozi wa kiroho.kama anaivoitwa Maalim Seif,Mchungaji Petter Msigwa,Mchungaji Mtikila nk.sasa unatafsiri vipi udini kwa Dr Slaa kuitwa Padri?

Magere  J.

On Dec 11, 2013 9:52 AM, "Magiri paul" <kiganyi@gmail.com> wrote:

Hii mada ni ya uongo kwasababu imeandikwa kwa chuki na jazba ya hali ya juu.

Neno "Padri" limerudiwa mara nyingi na hii ni kwa sababu ya chuki tu, tena za kidini.

Magiri.

Dau dogo huambaa mwambao, kubwa huenda kwenye kilindi.

On Dec 10, 2013 9:46 PM, "Miruko" <rsmiruko@gmail.com> wrote:
Mnachangia mada ya uongo na kujiridhisha. Poleni.

hosea.ndaki@gmail.com wrote:

Mitaa anayopita ni kambi za akina kafulila na hao ndo aliowatimua cdm anatarajia nini? Sijajua lengo la ziara ni nini? Lakini anakopita ni kambi za nccr hivyo atarajie upinzani kiasi, labda kama angefuatana na akina kafulila na mkosamali. Hata jk alipokuwa huko alikuwa sambamba na kafulila na mambo yalikuwa poa. Lakini kitendo cha kuwaitia police wabeba mabango ni kijitafutia kupopolewa, ningekuwa mimi ningewaomba hayo mabango nikayasome vizuri. Sasa hii yakutupana lupango mh! Nashauri aende kufuta nyayo za kinana kuliko kukatiza mitaa ya mwandiga na kasangezi kwani hapatakuwa na tija yeyote. Hawa walinzi wa redguard na green guard yataleta fujo, hivi hao walinzi wakizidiwa nguvu na kutembezewa kichapo wataongeza nguvu na kulipa kisasi? Au ffu wataenda kuongeza nguvu? Mie naona police waachwe wafanye kazi yao. ---------- Sent from my Nokia phone ------Original message------ From: ukweli haki To: , Date: Tuesday, December 10, 2013 7:12:05 PM GMT+0300 Subject: [wanabidii] SLAA ADHARIRISHWA KIGOMA KASKAZINI BREAKING NEWS;- SLAA ADHARIRISHWA KIGOMA KASKAZINI JIONI HII. AKIMBIA MKUTANO Wakuu, Taarifa za uhakika kutoka kwa katibu wa JIMBO LA KIGOMA KASKAZINI CHADEMA ndugu RAMA RUAHA, ni kwamba Katibu mkuu wa CHADEMA Padri SLAA leo alikuwa afanye mikutano miwili katika vijiji viwili baada ya kukimbia NGOME KUU YA ZZK ''MWANDIGA'' na kukimbilia kuweka mikutano ifanyike kijiji cha NYARUBANDA na mwingine KIDAHWE. Taarifa kamili ni kama ifuatavyo (i). MKUTANO WA NYARUBANDA. - Itabidi PADRI SLAA aishukuru mvua iliyowatawanyisha wananchi wenye HASIRA walioanza kumshambulia SLAA kwa mabango, maneno makali na mawe, huku vijana wake wa REDBRIGED wakionyesha kuishiwa nguvu na kuomba msaada wa POLISI. SLAA anayejidai kichwa ngumu leo ameishukuru mvua hiyo iliyositiri AIBU YAKE YA KARNE YA KUPOPOLEWA NA MAYAI VIZA NA MAWE. (ii). MKUTANO WA KIDAHWE - Katika Hali ile ile ya WAHA WA KIGOMA kumchukia DOKTA SLAA kwa kuwafanya wendawazimu na kuwataka washerehekee MAZISHI YA KIJANA WAO, huku SLAA ILIMBIDI AINGIE MITINI. NDIO, SLAA AMESHINDWA KUTOKEA MKUTANONI KIDAHWE BAADA YA KUAMBIWA KUWA WANANCHI WA ENEO HILO WANA HASIRA NA CHUKI KUBWA DHIDI YAKE, VIONGOZI WA CHADEMA KIDAHWE WALIKATAA HATA KUMUWEKEA MEZA YA KUSIMAMA KUHUTUBIA, GARI LA M4C LILILOONGOZANA NA VIBARAKA WAKE LILIAMBULIA MATUSI MAKUBWA NA MAWE MFULULIZO KISHA KUPEWA TAHADHARI KUWA MLETENI SLAA AONE CHA MTEMA KUNI. KWA KIFUPI KABISA SLAA AMEUMBUKA KWA KUSHINDWA KUHUTUBIA JIMBONI KWA ZITTO KABWE, WENYEWE WANASEMA ''slaa hawezi kutuulia mwanetu halafu anakuja kutuimbia NGOMA za kikweo tucheze, sisi sio wapuuzi'' namuomba MOLEMO, BEN SAA NANE, TUMAINI MAKENE, WAITARA NA WENGINEO WOTE WAJE HAPA KUBISHA AMA KUTHIBITISHA TOFAUTI'' -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out. -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment