Friday 18 October 2013

Re: [wanabidii] Zitto Kabwe ana tatizo kujiona maarufu, anahitaji kuombewa

Kaka JUMA, mi bado sijaona tatizo la zitto katika hilo, yeye
kasimamia sheria iliyoptungwa na hao hao wanasiasa, kiukweli katika
vyama vya siasa bila kujali ni upinzani au la kuna ufisadi wa kutisha,
mlumbano mengi yanayotokea leo ni ruzuku na utumiaji wake, wangine
wamediriki hata kupeleka ruzuku katika majimbo ya mikoa fulani,

tumeona pia ruzuku ikitumika kwa safari za nje zisizo na mpangilio,
pia tumeona wengine wakikopeshana ruzuku pia kuna chama fulani kilimpa
bodgard wa mwenyekiti tenda za kuchapicha fulana, vyama zimekuwa
vikipata mamilion ya pesa lakini hata wanaishia kupanga majengo ya
ndugu, jamaa au ya viongozi wa chama kama ofisi, sasa sijui lini
zitakuwa ofisi na vitega uchumi vya chama.

ukifuatilia kwa makini ni ufisadi mtupu ndani ya vyama na ruzuku ndio
sabau kubwa malumbano, Tukumbuke NCCR, Mrema na Marando, Chadema
hatujasahau vuguvugu la chacha wangwe, Cuf yalitokea hayo kuna wakati
wanzibari walidai kama bara wanauliza ruzuku nao watoe wabunge wao,
TLP tumeona ya Mrema na Jaff, UDP Yalishatokea hayo.

Kimsingi Zitto yupo sahihi na anasimamia sheria tusirlete uvyama
katika mambo yenye maslahi na nchi,

Ikiwa hao makatibu wakuu wapo safi na mahesabu yao yana kaguliwa
kwanini wawe na khofu,

On 10/18/13, Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com> wrote:
> Juma.Mzuri
> I agree with you 100%
>
>
> 2013/10/18 Magora Hassan <magorah15@gmail.com>
>
>> Kimsingi Mr juma unadhihirisha kuwa wewe si mpingaji wa hoja bali ni mtu
>> uliojaa chuki binafsi dhidi ya zitto.umeenda mbali sana kulinganisha
>> hotuba
>> ya Dr slaa na sakata la mahesabu ya vyama vya siasa.umejuaje kama zitto
>> hajapenda jinsi Dr slaa alivokubalika USA? Fahamu kuwa Dr Slaa na zitto
>> ni
>> askari wa jeshi moja wanaopigana kwa sections tofauti dhidi ya adui
>> mmoja?
>> .kama hoja ni umaarufu basi hakuna mwanasiasa ambae angependa
>> kutojulikana kwa wananchi wake.isitoshe wewe sio msemaji wa watu wa
>> kigoma
>> kaskazini ambao walipiga kura ktk vipindi viwili tofauti na kumuona zitto
>> anafaa kuwa mwakilishi wao.naomba kuwasilisha
>>
>> Rgrds
>> Magora
>> On Oct 18, 2013 1:02 PM, "Juma Mzuri" <jumamzuri@gmail.com> wrote:
>>
>>> Zitto Kabwe katika sakata la ukaguzi na uwasilishaji wa fedha za Ruzuku
>>> kwa msajili wa vyama vya siasa nchini limeingia katika hatua nyingine
>>> kwa
>>> kuwa mkali kwamba kuambiwa anatafuta umaarufu, amesema yeye ni maarufu
>>> tayari na hakuna anayemzidi kwa umaarufu. "Suala la umaarufu sihitaji
>>> kwa
>>> kuwa tayari nimeshakuwa maarufu, hao wanaosema nina uhakika kabisa
>>> hakuna
>>> aliye maarufu kama mimi." Alisema Zitto.
>>>
>>> Aliwataka kama anayemzidi umaarufu kati ya wanaozungumzia kutetea vyama
>>> vyao, ajitokeze waende wote shule ya msingi waulizwe wanafunzi nani kati
>>> yao wanayemfahamu.
>>>
>>> Zitto anajiruhusu kubaki kijana asiyekomaa kwa busara na hekima
>>> Kauli hiyo hapo juu si ya kiongozi mwenye kutumia werevu kwa dhana
>>> muhimu
>>> za busara na hekima, bali ni kulazimisha umaarufu. Nadhani mwenye
>>> kukujengea utetezi wa umaarufu wako ni wananchi badala ya mwenyewe
>>> kukazana
>>> kunadi watu wakubali kwamba ni maarufu. Umaarufu haina maana ya
>>> kujulikana
>>> kwa kuonekana au kupiga kelele nyingi na mengineyo. Hata vijijini na
>>> kwengineko kwingi wapo wengi wanaofahamika sana hata kwa watoto wadogo
>>> si
>>> kwa umaafuru ila kwa jambo fulani, mfano kichaa atajulikana kwa kila
>>> mmoja,
>>> je huo ni umaarufu?
>>>
>>> Kuwashikisha adabu makatibu wakuu vya vyama
>>> Kauli yake ni kuhakikisha kuwatishia vifungo kwa kuwashikisha adabu
>>> makatibu wakuu vyama vya siasa si dhana ya ustaarabu katika utendaji
>>> kazi
>>> kufanya utandaji kwa vitisho, pamoja na kazi yake nzuri anaweza
>>> kutazamwa
>>> kama mtu nayetafuta kwa nguvu umaarufu kupitia nafasi yake ya uenyekiti
>>> bungeni. Kuna namna ya kulichukulia jambo hili kwa busara katika
>>> kutekeleza
>>> sheria hiyo lakini si kwa mabavu yote haya na vitisho hapo Zitto
>>> anaonyesha
>>> hali halisi alivyo.
>>> Soma Global publishers na magazeti ya leo
>>>
>>> Zitto hatari akiwa mkuu wa nchi
>>> Tabia aliyoonyesha Zitto iwapo awe kiongozi wa juu kuna kila dalili
>>> atakuwa na mfumo wa utawala wa kiimla yaana utawala wa kidikteta ni
>>> kuashiri kama mfumo wa kijeshi. Kwa jinsi anavyolichukulia jambo hili na
>>> kuwatisha viongozi wa vyama vya siasa na mbaya kabisa kutamka wazi bila
>>> aibu kwamba yeye ni maarufu na hakuna anayemzidi umaarufu kuliko hawa
>>> wanaotetea vyama vyao amechukulia jambo hili kama lake binafsi na kwa
>>> manafaa yake binafsi kujitafutia umaarufu. Kuwatisha kwamba atawatia
>>> kifungoni.
>>>
>>> Jimboni kwake hatujasikia ya pekee katika utendaji
>>> Zitto kabwe pengine anaonekana kama nilivyosema kwenye mada moja huko
>>> nyuma fundi mkubwa wa kuonyesha na kunyoosha kidole lakini utendaji
>>> hauwezi. Labda kama vyombo vya habari havishirikishwi au kuona
>>> anayofanya,
>>> lakini nimejaribu kufanya udadisi kupata anayofanya jimboni mwake
>>> sijafanikiwa kama itokeavyo kwa wabunge wengine mfano Filikunjombe
>>> anavyomwaga mavitus huko jimboni mwake. Zitto ni mpiga domo zaidi kuliko
>>> utendaji. Anapenda kujulikana kwa maneno kuliko utendaji.
>>>
>>> Huyu ndiye anayetaka kugombea urais, tumechoka na umaarufu wa watu,
>>> hatuko tayari kuendelea kuleweshwa kwa maneno na nguvu kujitafutia
>>> umaarufu, na pengine hili la vyama vya siasa asipoangalia anaweza
>>> kuaibika
>>> maana baadhi wameshaanza kuanika vithibitisho vya uwasilishaji na bado
>>> amevimbisha mishipa kwa lipi?
>>>
>>> Kuna kitu nyuma ya pazia
>>> Pengine umaarufu wa Katibu Mkuu wa Chadema aliopata huko ziarani
>>> Marekani
>>> linamwumiza hivyo anataka kutumia nafasi aliyo nayo kumshikisha adabu
>>> kwamba yeye ndiye maarufu zaidi?
>>>
>>>
>>> http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/540214-zitto-kabwe-ana-tatizo-kujiona-maarufu-anahitaji-kuombewa-apate-mtaalamu-wa-kisakolojia.html
>>>
>>> --
>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>> facts
>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>> you
>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>> Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>> Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>> an
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment