Wednesday 30 October 2013

Re: [wanabidii] CCM ILIIMARIKA ZAIDI KWA NYERERE KUNGATUKA

Huo ni woga tu na kutokujiamini ukithani kila anayehoji kitu haswa kinachohusiana na CHADEMA au Vyama vingine vya upinzani ni CCM au ana lengo la Kuharibu mambo ndani ya vyama hivyo .

Tuwape uhuru watu haswa walio nje ya vyama hivi kuhoji na kuuliza kisha wapewe majibu yanayoridhisha kama nyie mnavyohoji utendaji wa serikali na watendaji wake kwa mfano .

2013/10/30 Reginald Miruko <rsmiruko@gmail.com>
Mbowe amekuwa kizuizi cha kuiua Chadema, Angalia wanaoshadadia aondoke ni CCM, mashabiki wa CCM na vibaraka wa CCM. Tafakari.

RSM

2013/10/30 Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com>
Nilivyoelewa hoja hii, uchaguzi unapaswa kufanyika mwaka huu.
Kwani Mbowe amekuwa Mwenyekiti kwa muda gani?
Au amekwishatangaza azma ya kuwa Mwenyekiti milele?
Mbona wasi wasi?

Date: Wed, 30 Oct 2013 08:23:49 +0300
Subject: Re:Re: [wanabidii] CCM ILIIMARIKA ZAIDI KWA NYERERE KUNGATUKA
From: magorah15@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Ivi inamaana chadema bila ya mbowe kuwa mwenyekiti  itakufa? Kwanini kila inapozuka hoja ya mbowe kuachia kijiti inakuwa issue ?

Rgrds
Magora
On Oct 30, 2013 8:19 AM, "Jesse Kwayu" <jessekwayu@gmail.com> wrote:

Kwa nyongeza tu tangu mwaka 1977 CCM imekuwa na wenyeviti wanne tu. Yaani Nyerere, Mwinyi, Mkapa na sasa Kikwete. Ni miongo inakimbilia minne. Lakini CCM hiyohiyo inayotokana na Tanu na Afro Shiraz imekaa madarakani miaka 52 sasa tangu uhuru wenyeviti ni hao hao wanne. Nauliza tena nini hoja ya Yona?

On 29 Oct 2013 18:11, "Miruko" <rsmiruko@gmail.com> wrote:
Bora upofu wa macho kuliko upofu wa akili.
rsm

Jesse Kwayu <jessekwayu@gmail.com> wrote:

Kama umesahau Chadema tangu kuasisiwa mwaka 1993 imekuwa na wenyeviti watatu. Mtei, Makani na sasa Mbowe. Cuf vivyo Mapalala, Nsobi na sasa Lipumba. Sasa hoja yako ni nini hasa?

On 29 Oct 2013 15:38, "Yona Maro" <oldmoshi@gmail.com> wrote:
Ukimwona nyerere na uzuri wake wote aliacha nafasi ya mwenyekiti wa CCM , Mwinyi pia aliacha nafasi hiyo , Karume kule zanzibar aliacha , kikwete nae muda wake unayoyoma na ndio maana ya uongozi - sasa wengine wakiulizwa kuhusu kuacha vijiti wenzao wanakuwa mbogo , tukubali kwamba mabadiliko yanaanzia ndani mwetu haswa ndani ya vyama .

Kwa miaka zaidi ya 20 toka kuanzishwa kwa vyama vingi tumeona ndani ya CCM vikao vikifanyika watu wanabadilishana uongozi wanatoka hawa wanaingia hawa kwanini hili linashindikana ndani ya vyama vya upinzani ambavyo vina mpango wa kuchukuwa madaraka ya kuongoza taifa ?

Mwalimu nyerere alingatuka toka CCM akafuatia mwinyi nae akamwachia mkapa kwenye uchaguzi wa vyama vingi lakini chama hakijawahi kufa na hakijawahi kuogopa kufanya mabadiliko ndani ya chama 

--
Find Jobs in Africa Jobs in Africa
International Job Opportunities International Job Opportunities
Jobs in Kenya Jobs in Kenya

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment