Tuesday 29 October 2013

Re: [wanabidii] Samsoni mwigamba

Pamoja na kwamba CDM haijatoa ushahidi wa wazi unaojitosheleza kuhusu usaliti wa Mwigamba lakini dalili hizo zipo. Lisemwalo lipo kama halipo linakuja. Tumeyashuhudia matendo mengi yafanywayo na CCM kuvisambaratisha vyama vya upinzani ikiwemo CDM. Swala la kununua au kupandikiza baadhi ya watu ndani ya CDM lipo na wapo wengi ambao hawajagundulika ndani ya CDM. Si rahisi kwa CDM kupandikiza watu ndani ya CCM lakini kwa CCM ni rahisi kupandikiza watu namna hiyo. Inavyokaribia uchaguzi mkuu tutayashuhudia mengi ya namna hiyo. Hawa watu wanaokubali kutumika kuviua vyama vya upinzani wajue arobaini yao ipo na ninawashauri watafute namna nyingine ya kujipatia pato.

Mbona hata Mwangosi na Ulimboka walihisiwa wanatumiwa na CDM? Watanzania tuwe macho sana na siasa hizi za maji taka, kama CCM inataka kukubalika kwa wapiga kura ijirekebishe kwa kudhibiti ufisadi, rushwa na uhuni wa aina zote unaotufanya maskini wa mali na fikra. Ijikite kutoa huduma bora kwa watanzania badala ya wanachama wake kuwa na uroho wa kujilimbikizia mali na madaraka ya milele. Mbinu zote fanyeni lakini mjue kama matatizo ya watu yatabaki vile vile hata vyama vyote vya siasa vikifa bado mtapambana na wananchi hao hao wakiandamana na kuleta ghasia kwa ajili ya kudai haki zao

2013/10/30 Fidelis Francis <fidel80.francis@gmail.com>

Kama mnaona CHADEMA kuna udikteta kwa nini msihame mhamie vyama vingine kama CCM, TLP, PPT, CHAUSTA, CUF na kwingineko! kubaki kulia lia haisaidii.

2013/10/29 Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com>
Mike,

Sasa utalijibu swali langu ama unasahihishia Kiswahili tu basi?

Courage

2013/10/29 Mike Zunzu <mikezunzu@yahoo.co.uk>
Maurice,
Natambua hapa siyo darasani, hata mimi nilikuwa na tatizo kama lako hadi hapo juzi mtu mmoja alipojitolea kunisaidia, siyo "swala" bali ni "suala", swala ni nyama.

On Tuesday, 29 October 2013, 9:24, Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com> wrote:
Naomba ufafanuzi.

Ebu niulize; huyu Samson Mwigamba alifanya kosa gani ?  Nimejaribu kulielewa hili swala lakini mpaka hii sasa bado nashindwa kujua kwamba alitenda kosa gani mpaka katimuliwa kutoka Chadema.

Natanguliza shukran.

Courage

2013/10/29 flano mambo <flein47@yahoo.com>
hawa wenzetu kazi yao ni kuatack individuals sio system, huo umekua utamaduni wao muda mrefu

On Monday, October 28, 2013 9:12 PM, Zephaniah Mugittu <zephymugittu@yahoo.co.uk> wrote:
Tofauti zao ndio uimara wao tena mi natamani itokeee mingi tu migogoro kama hii ndani ya CDM ni kipimo na tanuru tosha kuchuja na kusafisha chama... Baada ya wasaliti nyie kutwa je chama kiliyumba??? wacheni mchezo wenu nyieeee bwana kama mtu akiteleza lazima apewwe utamu wake.

CHAMA KINAJIJENGA HAYO LAZIMA YATOKE NA YANAYATEGEMEA SANA TU KWANI BADO YAJA ZAIDI PIA HAYATISHI KIIIVYO. NCHI HAIWEZI KUWA NA CHAMA KINACHOKUA KWA KASI KUUUUBWAAA HALAFU KIKOSE MATATIZO KAMA HAYA...

Regards,
Mugittu, Zephaniah,
Cell: +255 784 769 481
Fax2Email: 0736605633
Skype: Zephaniah N.N. Mugittu
 
No matter how high one is talented , business acumen still a necessity
"Poverty is a result of attitude ..."
 
On Monday, 28 October 2013, 19:13, Bollen n <gaudencia.ngetti@yahoo.com> wrote:
Ni wazi kuwa Chadema hakiwezi kuwa tumaini la Watanzania maana ingekuwa ni tukio la kwanza lkn inavyoonekana kwa Chadema back ni "zidumu fikra za mwenyeti Mbowe". Mwigamba kaa nao chonjo wasije wakaku-Pandambili. Kimbia uokoe nafsi yako nyumba hiyo inaungua.
From: mchangehabibu
Sent: 28/10/2013 18:48
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] Samsoni mwigamba

Wakubwa.
Natanguliza pole dhati kabisa kwako mpiganaji mwigamba.

Nakupa pole kwa kuwa nawe umeingizwa kwenye kundi la wasaliti.
Kwenye chadema msaliti ni yule anayeweza kusimamia kweli na haki bila kujali reaction ya slaa Na mbowe,
CHACHA ZAKAYO WANGWE kabla hajafariki aliitwa msaliti na kwmba anatumiwa na ccm sisi tulipewa mpaka pesa tutoe tamko kumlaani(tamko alilotoa marehemu Kikoti aliyekuwa mwenyekiti wa chadema temeke kipindi cha uhai wake) japo matamko yote hayo yaliandaliwa Na mnyika na slaa.

Alipokufa hakuitwa tena msaliti, akageuka gafla na kuitwa kamanda, hata Tanzania daima nalo liliandika makala za kumsifia.

Akaja zitto kabwe naye akaitwa msaliti, na kwamba anatumika na ccm. Ni bahati tu zitto amejiwekea mizizi mikubwa sana kwa wananchi ndio maana mpaka Leo anaendelea kuwa mwanasiasa mwenye nguvu na mwenye kuaminiwa sana.

Marehemu Philip magadula shelembi aliyekuwa mwenyekiti was chadema mkoa w shinyanga naye aliitwa msaliti mpaka umauti unamkuta.

Mimi niliyekuwa nikiitwa  kamanda kipindi hicho nikaja kugeuzwa kuwa msaliti namba moja baada ya wangwe Na zitto.

Mwampamba akawa msaliti Na shonza naye akawa msaliti.

Leo umeongezeka mwigamba kwenye kundi la wasaliti.

Pole sana naamini hautakuwa wa mwisho. Bado watatokea wengine wasaliti zaidi na zaidi.

Habib Mchange
Futian District,
Shenzen, GuangDong
China.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment