Tuesday 25 September 2012

[wanabidii] Lugha Sanifu

Nduguzanguni,

Nina swali natafuta usaidizi. maneno mawili naomba nifafanuliwe:

Mteule na mgombea.

Tuseme tuna uchaguzi wa urais na kila chama has a candidate: CCM,
Chadema and CUF. Je do we call these candidates wateule or wagombea?

Mteule ni yule aliyechaguliwa na raia wote kwenye uchaguzi mkuu au ni
yule aliyechaguliwa na wana vyama wa vyama vyao?

Tafadhali.

Natanguliza shukrani.

Courage,
Oduor Maurice

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment