Monday 3 September 2012

Re: [wanabidii] ZOEZI LA KUANGAMIZA KUNGURU WEUSI JIJINI DAR ES SALAAM

Kunguru wamenipa kero sana. Nitapiga simu kwa wahusika ili waje hapa kwetu kulishughulikia mara moja. Ni pamoja na kupiga marufuku majalala yanayowekwa karibu na mazingira ya makazi au kazi, maana majalala ni nyumbani kwao kunguru. Hapa kwetu wamekuwa wengi sana kwa kuwa kuna watu wameamua kuanzisha mradi wa takataka. Badala ya gari la taka kupita kwenye sehemu zao wao wameamua kuweka jalala mahali ambapo ni rahisi kwao lakini ni gharama kwa tunaoishi maeneo haya. Kunguru, harufu mbaya, mitaro kuziba wakati wa mvua na kadhalika.

2012/9/4 Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com>

Watanganyika tuna mambo, hata hili zoezi nalo mnalihoji? Kitu kipi mnapenda? Kunguru ni ndege ambaye anatakiwa kuangamizwa kabisa kwa sababu ni kero sana. Nadhani aliyewaleta nchini alikuwa na mtindio wa ubongo.

On Sep 3, 2012 8:32 PM, "Abraham Akyoo" <aaakyoo@gmail.com> wrote:

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment