Wednesday 5 September 2012

Re: [wanabidii] ZOEZI LA KUANGAMIZA KUNGURU WEUSI JIJINI DAR ES SALAAM


Dear Mr. Abdalah and /or Matiko
Thanks for the announcement and specifically for the ministry's effort to manage the crows. I am presuming that you are referring to the Indian House crow (Corvus splendens). Will you please

1.      Confirm whether you are talking on SRC 1339 or DRC 3-chloro-p-toluidine hydrochloride, a poison developed for the management of Starlings (Sturnus vulgaris)?

 

2.      Are you also planning to extend the management of this species to other cities or municipalities like Moshi?

 

3.      Confirm the introduction to Tanzania

 

What I understand the intentional invasive bird species was introduced to Zanzibar in the early 1890s; and not during Mzee Rukasa's era as pointed out by Mr. Ruben.

It is currently spreading at a very fast rate into the inland and mountains; up to Kilimanjaro. Very unfortunately, not only that it is nuisance to people but it's killing some native bird's thus threatening bird diversity. Thus there is all reason to extend its populations to cover all regions so as to reduce its spreading.

Thanks

Prof TMC Tarimo

Ecologist and Vertebrate (Bird) pest Management Specialist


2012/9/3 Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>

TAARIFA KWA UMMA
ZOEZI LA KUANGAMIZA KUNGURU WEUSI JIJINI DAR ES SALAAM
Wizara ya Maliasili na Utalii imewataarifu wananchi waishio katika
jiji la Dar es Salaam kuchukua tahadhari wakati huu ambapo Wizara
inaendesha zoezi la kuwaua kunguru weusi jijini kwa kutumia sumu
tulivu iitwayo SRC 1339.

Ingawaje sumu hiyo haina madhara makubwa kwa binadamu, wananchi hasa
watoto, wametakiwa kutocheza na mizoga ya kunguru ambao watakuwa
wamekufa kutokana na sumu hiyo. Endapo mtu atakuwa ameishika mizoga
hiyo anatakiwa anawe kwa sabuni.

Aidha wananchi wametakiwa wasitupe mabaki ya chakula kiholela maana
kufanya hivyo ni kukaribisha kunguru katika sehemu husika.

Wizara, kwa kushirikiana na wananchi na wadau mbalimbali, ilianza
kuwaangamiza kunguru weusi jijini Dar es Salaam tangu mwezi Desemba
mwaka 2010 chini ya mradi maalum unaofadhiliwa na Serikali, kwa
kushirikiana na Balozi za Denmark na Finland, na Shirika la USAID la
Marekani.

Tangu mradi huo uanze mwaka 2010 jumla ya kunguru 750,000
wameshaangamizwa kwa njia ya mitego maalum na sumu. Hata hivyo ndege
hao bado wapo Dar es Salaam na wanaendelea kuleta kero jijini. Ndiyo
maana zoezi la sasa linafanyika kwa njia ya operesheni ili kunguru
wengi zaidi waweze kuuwawa. Tangu operesheni inayoendelea ianze tarehe
27 Agosti 2012 jumla ya kunguru 1,000 wameshaangamizwa.

Wananchi wametakiwa kutoa ushirikiano kwa kikosi kazi ambacho
kitahusika kuokota mizoga hiyo, kwa kuonyesha iliko. Pia wanatakiwa
kutoa taarifa pale watapogundua kuwa kuna idadi kubwa ya ndege hao
sehemu yoyote ili hatua za kuwangamiza ziweze kuchukuliwa.

Taarifa zipelekwe katika ofisi za Manispaa au kwa kupiga simu 0754
498957 (Wilaya ya Kinondoni), 0757 585 358 (Wilaya ya Ilala) na 0714
119200 (Wilaya ya Temeke).

[MWISHO]

George Matiko
MSEMAJI
WIZARA YA MALIASILI NA UTALII
1 Septemba 2012

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.



--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment