Thursday 27 September 2012

RE: [wanabidii] Matokeo ya Kuanguka kwa Elimu Tanzania

Huo ndio msimamo wangu pia. Ifike mahali tujitambue na tujithamini pamoja na tamaduni zetu. Tujifunze pia toka kwa wenzetu wa Afrika ya kusini wenye kutumia lugha zao 11 kama lugha za kiofisi na kibiashara kwa manufaa ya wananchi wao.  Kiingeleza kinatutenga na kinatunyima kujua taarifa muhimu. ‘Emancipate yourself from mental slavery’ by Bob Marley.  Kemea utumwa wa fikra. English sio elimu.

From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On Behalf Of Lutgard Kagaruki
Sent: Friday, September 28, 2012 7:53 AM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Matokeo ya Kuanguka kwa Elimu Tanzania

Pole sana Baika kwa mtazamo huo!! LKK

From: Sylvanus Kessy <frkessy@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Thursday, September 27, 2012 9:56 PM
Subject: Re: [wanabidii] Matokeo ya Kuanguka kwa Elimu Tanzania

Haya Bwana

lakini tumia lugha unayoweza kujieleza na kufikisha ujumbe kwa walengwa na ukaeleweka sawia!  

From: Baika Kahuta <baikak@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Thursday, September 27, 2012 4:11 PM
Subject: Re: [wanabidii] Matokeo ya Kuanguka kwa Elimu Tanzania

English sio elimu; ni lugha tu kama Kihaya, Kisukuma, Kiswahili n.k.

English imepewa kipaumbele kwa kuwa wenye lugha hiyo walitutawala na mpaka sasa bado wanatutawala kiutamaduni (lugha).

Bw. Mushi elimu yake ni nzuri sana, alitambua wajibu wake wa kuhamasisha wananchi ili wahesabiwe japo hakupata hata sent 5 toka serikali ya Magamba.

Mt. B;
Bukoba Municipal,

Tanzania - East Africa.

From: moses <mosesgasana@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Thursday, August 30, 2012 4:23 PM
Subject: Re: [wanabidii] Matokeo ya Kuanguka kwa Elimu Tanzania

Mi nampa hongera.Kwanza ni mtu confident! Haogopi kuchapia!!! Pia tukumbuke english sio lugha yake ya kwanza.Hivyo kajifunzafunza kiubishi tu mashuleni.Halafu haitumii sana ktk maongezi yake ya kila siku; ambayo ni njia ya kumjengea mtu uwezo ktk lugha.Bravoooooooooo nampa.
Moses
Mawazo Chanya Media
0713480670

Sent from my iPhone

On Aug 30, 2012, at 3:11 PM, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com> wrote:

> Wewe Augustine, sasa awaombe wengine wamwone hajui? Si afadhali
> achapie ili aonekane anajitahidi? Chairman amejitahidi sana - that's
> the best of him!
>
> On 8/30/12, mwassa jingi <mwassajingi@yahoo.com> wrote:
>> Hii ya Mushi ni kali. Kwa nini asingeandika kwa kiswahili au kuwaomba watu
>> wamsaidie kumwandikia kwa kimombo?
>>
>>
>>
>> ________________________________
>> From: Demetria Kalogosho <demetria.kalogosho@tgnp.org>
>> To: wanabidii@googlegroups.com; mabadilikotanzania@googlegroups.com
>> Sent: Thursday, August 30, 2012 11:20 AM
>> Subject: RE: [wanabidii] Matokeo ya Kuanguka kwa Elimu Tanzania
>>
>>
>>
>> Tumepanda na tumevuna
>>
>> From:wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On
>> Behalf Of Chambi
>> Chachage
>> Sent: Thursday, August 30, 2012 2:11 AM
>> To: wanabidii; mabadilikotanzania@googlegroups.com
>> Subject: [wanabidii] Matokeo ya Kuanguka kwa Elimu Tanzania
>>
>>
>> ----- Forwarded Message -----
>>> From: Mobhare Matinyi <mobhare@gmail.com>
>>> To: Chambi Chachage <chambi78@yahoo.com>
>>> Sent: Wednesday, August 29, 2012 8:16 AM
>>> Subject: Matokeo ya Kuanguka kwa Elimu Tanzania
>>>
>>> Hii ni barua iliyoandikwa na Ofisi ya Serikali ya Mtaa wa Oysterbay
>>> kama ilivyo bila kupunguza wala kuongeza kitu, ikiwa na makosa yake
>>> hivyo hivyo bila hata kurekebisha nafasi kati ya maneno:
>>>
>>> Tarehe 25/08/2012
>>>
>>> TO
>>> THE ALL RESIDANCE AND
>>> RENTER AT APARTMENT,HOTEL
>>> AND OTHERS
>>>
>>>
>>> REF: CENSER COUNTING PEOPLE 26 AUG 2012
>>>
>>> Refer the above mentioned Subject.
>>>
>>> Remember the Government of Republic Union of Tanzania announce on
>>> 26.08.2012 is the day of counting people [censer] for all living
>>> visitors in Tanzania. This is legal order for Beural Statistics No: 1
>>> of 2002.
>>>
>>> Because for this day any people who sleep at your House, Hotel, or
>>> residence apartment on 26.08.2012 he or she must be accountable in
>>> this censer. Also all people must answer this Question from the Censer
>>> Officer.
>>>
>>> ORDER
>>> If your refuse to be countable or stop censer Officer to do the job of
>>> counting people from 26.08.2012and 7 days more its is criminal
>>> case,then you will be charged in the court and fine with sentenced in
>>> prison for 6 month. Then please give all assistance Censer Officer
>>> what he or she need.
>>>
>>> Thanks in advance,
>>>
>>> Peter J. Mushi,
>>> Chairman,
>>> Local Government.
>>>
>>> SOURCE: Attachment.
>>>
>>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
>> Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
>> Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
>> Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
>> Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment