Tuesday 18 September 2012

Re: [wanabidii] FFU wa Ngoma Africa band watimulisha Vumbi ! AFRIKA-MESSE, Bremen

mmetisha. ninawahitaji kwa ajili ya kipindi hapa  hot mix ya eatv

2012/9/18 Msema Kweli <msemakweli2007@yahoo.com>
FFU wa Ngoma Africa band watimulisha Vumbi ! AFRIKA-MESSE, Bremen

Kikosi kazi cha Ngoma Africa band iliyozoeleka kwa katibia zake za
kupagawisha washabiki wa muziki ughaibuni, Jumamosi ya 15.9.2012
kilifanya kweli katika maonyesho makubwa ya biashara ya Afrika-Messe,
mjini Bremen,kule Ujerumani,bendi hiyo maarufu ilipanda jukwaani na 
kufanikiwa kuziteka nyoyo za washabiki kwa mara nyingine tena
kwa kuwadatisha akili na muziki wenye raha kamili.
CD za bendi hiyo zimekamata nafasi ya juu katika vituo mbali mbali vya
Redio ndani na nje ya Ughaibuni,baadhi ya vituo vya radio zikiwamo
Redio maarufu nchi Ujeruamani Radio Funkhaus Europa na Radio 
Mult-Kult ndizo zinarusha kwa fujo nyimbo za Ngoma Africa band,
inayoongozwa na kamanda Ras Makunja wa FFU.
Unaweza kuwasikiliza pia katika kambi yao at

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment