Saturday, 19 August 2017

Re: [wanabidii] Re: TABIA HII YA LISU: SIKU MOJA ITALIAIBISHA TAIFA

Flan, baadhi yetu tunakosa 'critical thinking' (thinking about our own
thinking). Kwa sababu hiyo kuwa in authority inachukuliwa kama kuwa na
monopoly of truth and wisdom. Hili ndilo tatizo letu kubwa. Ndiyo
maana mkubwa akishasema kitu hata kama kina ukakasi kwa jinsi
alivyokisema au kwa namna kitakavyotafsiriwa na umma ataungwa mkono
kwa kila namna na yeyote atakayekosoa ataonekana si mzalendo na
halitakii mema taifa letu. Hapo ndipo tumeshafikia.

On 8/19/17, 'flano mambo' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
> Mi naona mtoa mada una ushabiki ambao ndo hasa utaliaibishi taifa infact
> tayari tunaaibika kwa sababu za watu wanafiki. Yaani unawafanya viongozi ni
> malaika? Au mtu akiwa raisi u PM au spika basi yu ana akili kubwa sana
> kuliko wengime wote kiasi kwamba maamuzi yake yote yatakua sahihi?
> Tabia yako inaliaibisha taifa mkuu. Jifunze kusema ukweli wakati wote
>
> Sent from Yahoo Mail on Android
>
> On Sat, 19 Aug 2017 at 12:15, 'Nickson ngajilo' via
> Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com> wrote: Bwana Elisha
> Muhingo,Nimemsikiliza Lisu kwenye Utube siona ubaya wake,Yeye anachosema
> kuwa makini serikali inapoingia mikataba na wakubwa wa Dunia.Sasa katika
> mikataba ya serikali na wakubwa hawa mara nyingi kunakuwa na mauzauza
> sana,kama ulimsikia Mheshimiwa Raisi wetu akihutubuia siku ile Ikulu alisema
> Marehemu Kigoda akiwa waziri wa madini aliingia mkataba na hawa wakubwa wa
> dunia sisi watanzania tukiambulia ZERO profit.Nafikiri kila mtu
> alisikia.Sasa Lissu kama mwana sheria ni lazima aongeree mikataba.
>
> --------------------------------------------
> On Thu, 8/17/17, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] Re: TABIA HII YA LISU: SIKU MOJA ITALIAIBISHA
> TAIFA
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>, "prudence
> karugendo" <prudencekarugendo@yahoo.com>, "hussein siyovelwa"
> <uhalisi@yahoo.co.uk>
> Cc: "stanley.nshange@nsn.com" <stanley.nshange@nsn.com>,
> "innokahwa@yahoo.com" <innokahwa@yahoo.com>, "akiobya@yahoo.com"
> <akiobya@yahoo.com>, "tkiobya@yahoo.com" <tkiobya@yahoo.com>,
> "hkahyoza@yahoo.com" <hkahyoza@yahoo.com>, "emmanuelelias2005@yahoo.com"
> <emmanuelelias2005@yahoo.com>, "repeatitagency@yahoo.com"
> <repeatitagency@yahoo.com>, "stanley.nshange@nokia.com"
> <stanley.nshange@nokia.com>, "tundu.lissu@gmail.com"
> <tundu.lissu@gmail.com>, "pkarugendo@yahoo.com" <pkarugendo@yahoo.com>,
> "mbowe2008@gmail.com" <mbowe2008@gmail.com>, "bilhuda2006@yahoo.co.uk"
> <bilhuda2006@yahoo.co.uk>, "davidkafulila@yahoo.com"
> <davidkafulila@yahoo.com>, "muddy.kiobya@gmail.com"
> <muddy.kiobya@gmail.com>, "emmanuelelisa46@yahoo.com"
> <emmanuelelisa46@yahoo.com>, "wilfredlwakatare@gmail.com"
> <wilfredlwakatare@gmail.com>
> Date: Thursday, August 17, 2017, 10:20 PM
>
>
>
>
>
>
>
> This message is eligible for Automatic Cleanup!
> (wanabidii@googlegroups.com)
> Add cleanup
> rule
>   | More info
>
>
>
>
>
> Nimemuelewa. Hujajichanganya.
> Soma tena mada ya msingi na coment yangu kwa karugendo. na
> alilomaanisha Kalugendo. nami ninalomaanisha. Vyote
> viangaliwe. Lisu si Mfalme kwa nilichosema? Kuna mwenye
> ubavu wa kumwambia nilichosema? Hawakioni kuwa anapotoka?
> Mbona yeye tu kama ni sahihi? Ni mfalme na hajavaa. Basi ni
> Makusudi Koku.
>
>
>
>   From: 'Lutgard
> Kokulinda Kagaruki' via Wanabidii
> <wanabidii@googlegroups.com>
>   To:
> "wanabidii@googlegroups.com"
> <wanabidii@googlegroups.com>; prudence karugendo
> <prudencekarugendo@yahoo.com>; hussein siyovelwa
> <uhalisi@yahoo.co.uk>
> Cc:
> "stanley.nshange@nsn.com"
> <stanley.nshange@nsn.com>;
> "innokahwa@yahoo.com" <innokahwa@yahoo.com>;
> "akiobya@yahoo.com" <akiobya@yahoo.com>;
> "tkiobya@yahoo.com" <tkiobya@yahoo.com>;
> "hkahyoza@yahoo.com" <hkahyoza@yahoo.com>;
> "emmanuelelias2005@yahoo.com"
> <emmanuelelias2005@yahoo.com>;
> "repeatitagency@yahoo.com"
> <repeatitagency@yahoo.com>;
> "stanley.nshange@nokia.com"
> <stanley.nshange@nokia.com>;
> "tundu.lissu@gmail.com"
> <tundu.lissu@gmail.com>;
> "pkarugendo@yahoo.com"
> <pkarugendo@yahoo.com>;
> "mbowe2008@gmail.com" <mbowe2008@gmail.com>;
> "bilhuda2006@yahoo.co.uk"
> <bilhuda2006@yahoo.co.uk>;
> "davidkafulila@yahoo.com"
> <davidkafulila@yahoo.com>;
> "muddy.kiobya@gmail.com"
> <muddy.kiobya@gmail.com>;
> "emmanuelelisa46@yahoo.com"
> <emmanuelelisa46@yahoo.com>;
> "wilfredlwakatare@gmail.com"
> <wilfredlwakatare@gmail.com>
>   Sent:
> Thursday, August 17, 2017 4:10 PM
>   Subject: Re:
> [wanabidii] Re: TABIA HII YA LISU: SIKU MOJA ITALIAIBISHA
> TAIFA
>
> Elisa,
> Ni
> makusudi au hujamwelewa Bwana Prudence? Au mimi ndo
> najichanganya?
> LKK
>
>
>
>
>
>
>
>
>     On Thursday, August
> 17, 2017 3:36 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
> <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
>
>   Naam ndugu kalugendo. makala hii
> ni mtoto anauambia umma kuwa Mfalme (in this case Lisu) yuko
> uchi. sasa anasidiwe asijiaibishe au kuliaibisha kundi
> linaoogopa kumwambia kuwa una\aibisha
>
>
>
> From: prudence
> karugendo <prudencekarugendo@yahoo.com>
>   To: hussein siyovelwa
> <uhalisi@yahoo.co.uk>; ELISA MUHINGO
> <elisamuhingo@yahoo.com>;
> "wanabidii@googlegroups.com"
> <wanabidii@googlegroups.com>
> Cc:
> "stanley.nshange@nsn.com"
> <stanley.nshange@nsn.com>;
> "innokahwa@yahoo.com" <innokahwa@yahoo.com>;
> "akiobya@yahoo.com" <akiobya@yahoo.com>;
> "tkiobya@yahoo.com" <tkiobya@yahoo.com>;
> "hkahyoza@yahoo.com" <hkahyoza@yahoo.com>;
> "emmanuelelias2005@yahoo.com"
> <emmanuelelias2005@yahoo.com>;
> "repeatitagency@yahoo.com"
> <repeatitagency@yahoo.com>;
> "stanley.nshange@nokia.com"
> <stanley.nshange@nokia.com>;
> "tundu.lissu@gmail.com"
> <tundu.lissu@gmail.com>;
> "pkarugendo@yahoo.com"
> <pkarugendo@yahoo.com>;
> "mbowe2008@gmail.com" <mbowe2008@gmail.com>;
> "bilhuda2006@yahoo.co.uk"
> <bilhuda2006@yahoo.co.uk>;
> "davidkafulila@yahoo.com"
> <davidkafulila@yahoo.com>;
> "muddy.kiobya@gmail.com"
> <muddy.kiobya@gmail.com>;
> "emmanuelelisa46@yahoo.com"
> <emmanuelelisa46@yahoo.com>;
> "wilfredlwakatare@gmail.com"
> <wilfredlwakatare@gmail.com>
>   Sent: Wednesday, August
> 16, 2017 6:08 PM
>   Subject: Re: TABIA HII
> YA LISU: SIKU MOJA ITALIAIBISHA TAIFA
>
>
> Ila msisahau kwamba wakati
> mfalme amevaa nguo aliyoambiwa haitaonekana tu kwa wenye
> dhambi, watu wote walibaki kumtazama mfalme akitembea uchi
> wa mnyama, wakabaki wakicheka kimoyomoyo, wakihofia
> kujulikana wamemuona mfalme akitembea uchi, kwahiyo
> wakaonekana wenye dhambi na kunyongwa, ni mtoto mdogo peke
> yake aliyesema mfalme yuko uchi!
>
>
>
>   From: hussein siyovelwa
> <uhalisi@yahoo.co.uk>
>   To: ELISA MUHINGO
> <elisamuhingo@yahoo.com>;
> "wanabidii@googlegroups.com"
> <wanabidii@googlegroups.com>; prudence karugendo
> <prudencekarugendo@yahoo.com>
> Cc:
> "stanley.nshange@nsn.com"
> <stanley.nshange@nsn.com>;
> "innokahwa@yahoo.com" <innokahwa@yahoo.com>;
> "akiobya@yahoo.com" <akiobya@yahoo.com>;
> "tkiobya@yahoo.com" <tkiobya@yahoo.com>;
> "hkahyoza@yahoo.com" <hkahyoza@yahoo.com>;
> "emmanuelelias2005@yahoo.com"
> <emmanuelelias2005@yahoo.com>;
> "repeatitagency@yahoo.com"
> <repeatitagency@yahoo.com>;
> "stanley.nshange@nokia.com"
> <stanley.nshange@nokia.com>;
> "tundu.lissu@gmail.com"
> <tundu.lissu@gmail.com>;
> "pkarugendo@yahoo.com"
> <pkarugendo@yahoo.com>;
> "mbowe2008@gmail.com" <mbowe2008@gmail.com>;
> "bilhuda2006@yahoo.co.uk"
> <bilhuda2006@yahoo.co.uk>;
> "davidkafulila@yahoo.com"
> <davidkafulila@yahoo.com>;
> "muddy.kiobya@gmail.com"
> <muddy.kiobya@gmail.com>;
> "emmanuelelisa46@yahoo.com"
> <emmanuelelisa46@yahoo.com>;
> "wilfredlwakatare@gmail.com"
> <wilfredlwakatare@gmail.com>
>   Sent: Wednesday, August
> 16, 2017 1:10 PM
>   Subject: Re: TABIA HII
> YA LISU: SIKU MOJA ITALIAIBISHA TAIFA
>
>
> Hongera, MR. MUHINGO  kwa
> makala yako nzuri kuhusu Tundu Lissu. Kwa bahati mbaya
> nilichelewa kuisoma. Tatizo la Lissu ni ujinga uliofunikwa
> blanketi la weledi. anapinga kuliko aliowakuta katika
> upinzani. Shida ni kwamba anapinga ili kuthibitisha uaminifu
> wake kwa wakuu wake na si kwa ajili ya maslahi ya nchi. MI
> NADHANI HATALIABISHA TAIFA ISIPOKUWA ATAJIABISHA MWENYEWE NA
> WANAOMSHABIKIA. mfano katika suala la makinikia
> alijidhihirisha mwenyewe kwamba uzalendo wake ni wa kutiliwa
> mashaka. NI JUKUMU LETU WAZALENDO KUMZOMEA KWA HOJA KILA
> ANAPOTOA UONGO WAKE ILI AJUE KWAMBA ANAJIDHARAULISHA.
>
>
>
>
>     On Monday, 24 July
> 2017, 23:14, ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
> wrote:
>
>
>
>
> Toka rais Magufuli alipoingia madarakani kumekuwa na
> sura mbili
> duniani.
>
> Nje
> mataifa mengi yanamuunga mkono. Baadhi ya wananchi
> wanatamani
> angekuwa rais wa nchi zao.
>
> Ndani
> ya nchi wananchi walio wengi wanamuunga mkono. Wanaanza
> kuona
> adha walizolalamikia zimepungua, au kuna matumaini kuwa
> mbele kuna matumaini.
>
> Makundi
> haya mawili ni sehemu ya sura moja. Yote yana sababu
> zinazofanana.
>
> Mataifa
> mengi hasa ya uchumi mdogo, yaani mataifa maskini
> wamechoshwa
> na Rushwa, ufisadi, wizi, ukosefu wa uwajibikaji
> nakadhalika. Viongozi walio
> wengi wamekuwa wakijilimbikiza mali na kwa kweli
> wakishaingia madarakani
> wanaanza kuishi kama wale walio katika mataifa tajiri huku
> wananchi wao
> wakiumia. Wanaumia kwa kubeba serikali kubwa na zenye
> marupurupu yasiyoneneka
> huku huduma za kijamii zikibaki chini na watawala
> wakisingizia hali mbaya ya
> umaskini.
>
>
>
> Tanzania
> hatukupona hilo. Nisamehewe kwa kutaja mifano ya karibu.
> Serikali ya awamu ya nne ilipoingia madarakani ilionekana
> kugawa vyeo si kwa
> manufaa ya wananchi bali waliopata vyeo. Tukumbushane
> mgawanyo wa Wizara ya
> mambo ya ndani kwa kuanzisha wizara ya usalama wa raia.
> Mpaka tulipopiga kelele
> kwa usikivu wa rais akazirudisha zikawa moja. Lakini
> tumeshuhudia mgawanyo wa
> wilaya na mikoa huku hayo hayaleti tija bali mzigo kwa
> walipa kodi.
> Tumeshuhudia utumbuaji wa mali ya umma kupitia misafara
> mirefu na safari za
> mara kwa mara za viongozi. Tumeshuhudia watu Fulani wakiwa
> na uhakika kwamba
> hawawezi kuguswa na vyombo vya dola. Tumeshuhudia kashfa
> zinatokea, uchunguzi
> unafanyika, inaonekana wazi kuwa Fulani na Fulani wana kesi
> ya kujibu lakini
> hawashtakiwi. Ikafika mahala wengine wakataka kugombea na
> kutaka kulitawala
> taifa. Ukweli tulifika mahala maneno ya kuchochea maasi
> yakaanza kutoka. Nakumbuka
> kusoma mahala mtu akitania (au akimaanisha) kuwa kama
> Mwamnyange akiingia ikulu
> atashangilia. Tulifika mahala pabaya. Ukweli tulifika mahala
> watu wakadhani
> uchaguzi hauwezi kutusaidia kutoka kwenye shida hizi. Hayo
> yakiwa hapa nchini
> ndivyo ilivyo kwenye mataifa yote yanayomshangilia na
> kumpongeza magufuli.
>
>
>
> Mataifa
> na mashirika yanayotufadhili katika miradi mbalimbali
> walifika
> mahala wakaamua kuacha kutusaidia. Ikawa viongozi watoke nje
> kubembeleza
> misaada. Wakawa wanakwenda nchi kumi wanaahidiwa sehemu
> mbili tu.
>
>
>
> Baada
> ya uchaguzi, 2015 na Dr. John Magufuli kushinda Tanzania na
> ulimwengu tulishuhudia mabadiliko. Mtu aweza kuandika mengi;
> lakini napenda
> kuyaandika kwa muhtasari:
>
> =
> Tumeshuhudia
> Serikali ikipunguza kwa kiasi kikubwa matumizi yasiyo ya
> lazima. Safari ziliachwa
> na sasa zinadhibitiwa. Vikao visivyo vya lazima havifanyiki
> na vinavyofanyika
> havitumii posho za ajabu au kutumia matumizi ya anasa huku
> tukiwa maskini.
>
> =
> Wizi wa ajabu
> umedhibitiwa. Wafanyakazi hewa wameondolewa na kama wamebaki
> basi ni kwa kiwango
> kidogo sana. Mikataba iliyokuwa inatuibia imerekebishwa na
> kwa kweli rais
> amethubutu kuifumua mikataba.
>
> =
> Mafisadi, wala
> rushwa, na waharibifu wa mali za umma vimedhibitiwa kwa
> kiwango kikubwa.
>
> =
> Biashara na
> matumizi ya madawa ya kulevya vimeshughulikiwa kwa kiwango
> cha hali ya juu na
> si muda mrefu kuna watu watakuja kujifunza Tanzania
> ilifanyaje katika vita hii.
>
> =
> Nidhamu imerejea. Nani
> angetegemea watu kama Singasinga wa IPTL angelala rupango?
> Nani angefikiri
> Manji angelala lockup? Wafanyakazi serikalini na ofisi za
> umma kwa ujumla sasa
> ukifika unahudumiwa kwa nidhamu sana. Kuna wanaosema watu
> hawako huru. Nani alitarajia
> watu waliokuwa wanaingia ofisini na kutoka, waache tabia
> hiyo kwa uhuru? Ni
> halali walazimishwe kufika kazini na kuifanya kwa ufanisi.
> Kama wanalazimika
> sawa. Si wanalazimika kwa mujibu wa mikataba tu? Lakini
> nidhamu imerudi.
>
>
>
> Kazi
> hii kubwa iliyofanywa na rais Magufuli imefanikiwa na kuonwa
> ndani na nje. Viongozi badala ya kusubiri rais aende kwao
> kuomba sasa wanakuja
> wenyewe na kuahidi misaada. Tumeshuhudia majuzi waziri mkuu
> wa India anaamua
> kujiunga na rais magufuli alipotembelea kibaha huku akiwa
> kwao. Akakatisha
> shughuli zake na kuhutubia mkutano wa magufuli kwa njia ya
> mtandao. Lini
> uliisikia hiyo. Tena anafanya hivyo kueleza shkrani zake na
> kuahidi kuisaidia Tanzania
> kuondokana na tatizo la maji..
>
> Kwa
> wale waliokuwa wanafaidika wanaona hakuna mtu mbaya kama
> Magufuli.
> Wako tayari kufanya lolote na hii ilitarajiwa. Wako tayari
> kutumia mbinu yoyote
> ili kumyumbisha au kuyumbisha umma wa Tanzania. Wako tayari
> kugharimia kwa
> namna yoyote ile ikiwa ni pamoja na kuangalia kati yetu kuna
> nani wanaoweza
> kulipwa wakafanya wanaloweza kufanya. Nitaeleza huko mbele
> lakini siamini kama
> Tundu Lisu, kwa mfano; hayuko kwenye Pay roll ya mtu
>
>
>
> Wakati
> hilo kundi hilo likiyaona anayoyafanya Magufuli kuna kundi
> la
> pili lililokataa si kuona tu anayofanya Magufuli bali haliko
> tayari kusikia
> ulimwengu unamsemaje. Kama watu wasio na akili wakati
> wengine wanamsifu wao
> wanakazana kuwaelimisha wengine kuwa Magufuli hafanyi
> chochote. Kuna mambo
> mengine kama unaona kitu Fulani na walio wengi wanaona
> kingine lazima utafute
> mkakati wa kuwaelimisha unachoona na namna bora ni kunyamaza
> kwanza. Hivi watu
> waliokandamizwa na hayo yote niliyoyataja wawezaje kusimama
> mbele za watu
> ukasema tunateseka kwa kukosa kibali cha kuandamana? Una
> akili kweli? Watu walikandamiza
> na rushwa na ufisadi, mzigo wa serikali kubwa, makusanyo
> makubwa ya kodi
> isiyoonekana inafanya nini. Sasa hayo yameondoka. Unasema
> hatuna kibali cha
> kuandamana. Kuandamana kudai nini? Mambo ya kufanya watu
> waandamane
> yameondolewa. Kwanza hata bila kupiga marufuku kuandamana
> utaandamana kupinga
> nini? Badala ya kwenda shambani kulima ili upitishe mazao
> kwenye barabara nzuri
> unataka utumie barabara nzuri kuandamana tena bila kudai
> chochote? Hii nayo
> inakutwa Tanzania tu.
>
>
>
> Angalau
> wengine wamejirudi. Wanasema Magufuli anafanya vizuri lakini
> ======. Angalau hao unaweza kupata cha kujadiliana nao
>
>
>
> Lakini
> tunaye mwenzetu Tundu Lisu. Sehemu ninayomfahamu ni
> mwanaharakati. Kwa kidogo nikijuacho anapenda kutetea haki.
> Hana historia ya
> kuhusika na Rushwa. Niliwahi kuambiwa kuwa kama angekuwa
> mtoa rushwa
> angeishakuwa mbunge zamani. Kwa sababu hiyo nilitokea
> kumpenda. Wakati CHADEMA
> Ikiwa na kiongozi (Dr. Slaa) kulikuwa na udhibiti. Mambo ya
> kipuuzi tunayoyaona
> sasa angekuwepo tusingeyaona. Wabunge wake walitamka mambo
> yaliyohaririwa kwa
> mantiki. Sasa hayupo ndipo tunashuhudia madhara yake.
>
> Tundu
> lisu, mbunge wa Singida anatamka mambo mpaka UNAULIZA kama
> huyu
> alilelewa na bibi yake au alilelewa msituni tu na nyani kwa
> hiyo utamaduni wa
> binadamu anajifunza kadri anavyowazoea binadamu. Ni kweli
> anamchukia Dr Magufuli.
> Huenda ana sababu. Huwezi kujua aliahidiwa nini kama chama
> chake kingeshinda. Anaweza
> kuumia kuliko wengine. Kuna matamshi anayatamka juu ya
> Magufuli ukiyapima
> unaona yako nje ya mlolongo wa siasa. Sipendi kutamka maneno
> yoyote anayoyasema
> ili kila anayetaka atafute. Lakini matamshi yake unaweza
> kujiuliza taaluma yake
> ina maadili ya kazi? Yeye ni Rais wa TLS. Hivi humo TLS
> ndivyo wanavyojibizana
> wakitofautiana? Au hawatofautiani? Watu wengi
> waliitahadhalisha TLS kuhusu Lisu
> kuchaguliwa kuwa rais wa taasisi hiyo. Kwa ushabiki sijui
> niuiteje wakamchagua.
> Bila shaka walidhani wanamkomesha aliyewatahadhalisha. Sasa
> tunajiuliza TLS ina
> Codes of Conduct? Zinaruhusu hayo tunayoyaona Lisu akifanya?
> Sasa nina uhakika
> kuwa TLS iko njia panda: Kuendelea kukubaliana na Lisu,
> heshima yake ikashuka
> machoni pa jamii au kuamua kujitenga na Lisu. Kama Codes of
> Conduct zinaruhusu
> hayo basi ndiyo hivyo. TLS inafutika. Inajifuta.
>
> Mwenendo
> huu wa Lisu usipodhibitiwa basi taifa litaingia pabaya. Mimi
> ninadhani hatutafika huko. Kama Serikali itashindwa, wapo
> wazalendo wa nchi hii
> watamdhibiti Tundu.
>
> Subiri
> kidogo.
>
>
>
> Elisa
> Muhingo
>
> 0767
> 187 507
>
> elisamuhingo@yahoo.com
>
>
>
> --
>
>
>
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment