Kitu kimpja nataka kiwe wazi. Anayeandamana ana tatizo gani. Mtu haamki na kusema nataka kuandamana. makaburu walikuwa wanawanyanasa wenzetu ndiyo maana maandamano yakaandaliwa ili kupinga sera za ubaguzi. Kwa trump pia walioandamana walikuwa na sababu. Haya ya kwetu yalitaka kuondoa tatizo gani???
hatuanzii hapo: Tuanaanzia nyuma kuwa watanzania walikuwa na shida itokanayo na viongozi kupuuza mambo yanayowatesa watanzania. Rushwa; Ufisadi; Uzembe kazini etc. Sasa serikali imeingia madarakani na inaonyesha kuyashughulikia matatizo hayo. Mtu anaanza kupinga juhudi hizo kwa visingizio visivyoonekana. Wanasema wanaotuhumiwa wasisimamishwe kazi ili kuchunguzwa bali wasubiri wahukumiwe kwanza. Hilo ndilo ninamaanisha kuwa watu hawatokei na kuandamana kwa sababu wana haki ya kuandamana.
--------------------------------------------
On Sun, 12/25/16, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Rwakatare na dakika 45 za ITV: Upinzani kumbe unaishi Tanzania?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, December 25, 2016, 9:21 PM
Elisa,Nilipokuwa mwanafunzi chuo kikuu
tulikuwa tukiandamana kupinga utawala dhalimu wa Makaburu
Afrika kusini na Wareno katika nchi za
Kiafrika.Maandamano hayo yalipangwa. Tulikuwa na
viongozi waliotuagiza tuandamane, tukutane mahali fulani na
saa ngapi ili tufanye maandamano yetu.Kuna
maandamano spontaneous kama hayo yaliyofanyika baada ya
Trump kutangazwa mshinndi, au maandamano ya kusherehekea
ushindi wa timufulani katika mji fulani, na kuna
maandamano yanayopangwa, kama yale ya 1963 pale Martin
Luther King jr. alipotoa ile hotuba yake muhimu I have a
Dream.Point ni kwamba maandamano ni maandamano tu
either spontaneous au yaliyopangwa na viongozi wa vyama.
Yote ni maandamano na katika nchi huru yote
huruhusiwa.em
2016-12-25 11:48 GMT-05:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Muganda!
The why and when zinapangwa na common sence.
Wamarekani waliandamana kwa sababu wanapinga sera za Trump.
Wamarekani walioandamana ndio waliompigia Hilary kura
akamzidi Trump kwa kura milioni 2.5 lakini mfumo wao
ukampitisha trump kupitia Electoral collage votes.
Wamarekani waliandamana wala hawakuagizwa na Hilary
aliyeshinda.
Maandamano yaliyosiuiwa Tanzania ni yale ambayo ukiwauliza
wanaoyapanga wanasema mambo yasiyowagusa wananchi wa
Tanzania. Bunge Live! Kwa nini bunge liendelee wakati baadhi
wamegoma! Etc. Wanagoma baada ya uchaguzi na wakati imeanza
kuyafanyia kazi matatizo muhimu kam a rushwa, ufisadi uzembe
kazini nakadhalika.
Maandamano ya marekani yalisukumwa na wananchi lakini haya
ya kwetu hayakuwa na agenda na ualitaka kwuwatumia watu wa
namna 'fulani' ambamo ungekosa uwakilishi wa
interest za wananchi
------------------------------ --------------
On Sat, 12/24/16, Emmanuel
Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Rwakatare na dakika 45 za ITV:
Upinzani kumbe unaishi Tanzania?
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, December 24, 2016, 7:46 PM
Nani ana
mamlaka ya kupanga the why and when ya maandamano?
Kuandamana ni kupetition the government. Wamarekani
waliandamana aliposhinda Trump hawakusubiri waambiwe
when.
It was spontaneous.em
2016-12-24 8:34 GMT-05:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
The point
isnt maandamano but why and when. Kuna neno kwenye
biblia
linasema kila jambo na wakati wake. Mtu ukifanya jambo
wakati usio wake unakuwa umekosea. Kosa kama ni nuisant
unaachwa kama ni destructive unadhibitiwa
------------------------------ --------------
On Tue, 12/20/16, Emmanuel
Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Rwakatare na dakika 45 za
ITV:
Upinzani kumbe unaishi Tanzania?
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, December 20, 2016, 9:12 PM
What is
wrong with maandamano, if I may ask.em
2016-12-20 13:01 GMT-05:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Najua
nimechelewa kuleta mada hii humu lakini haiepukiki
kuletwa
kwa mjadala kwa kila anayeziangalia kwa umakini siasa
za
Tanzania. Si wote waliisoma kwenye Facebook yangu.
Yapata wiki tatu hivi zilizopita katika kipindi cha
dakika
45 kinachorushwa na ITV kulikuwa na mgeni mmoja.
Mgeni
huyo
ni Ndugu Wilfred Rwakatare, Mbunge wa jiji Tarajiwa
la
Bukoba (kwa sasa ni manispaa lakini ndoto yake ya
2005
ni
kulikuza kuwa jiji). Rwakatare ni Waziri kivuli wa
wizara
inayohusika na ardhi na nyuma.
Katika kipindi hicho alifufua matumaini yangu kuwa
upinzani
ungali unaishi Tanzania na ni kwa sababu watu wenye
mawazo
kama yake hawapati nafasi za mbele katika taasisi
walizomo.
Katika kipindi hicho Rwakatare anamsifu waziri Lukuvi
lakini
anaikosoa serikali kwa kutotoa fedha zilizoahidiwa
kwenye
bajeti za wizara.
Akijibu swali kuwa kama yeye (Rwakatare) angekuwa
waziri
angefanya nini kuhusiana na migogoro ya viwanja
katika
mazingira ya sasa, anajibu swali kwa kusema: angetoka
nje
ya
Dar Es salaam na kutafuta maeneo Kibaha. Angewachukua
wananchi wanaotaka viwanja kutoka Dar Es Salaam na
kuwaonyesha maeneo hayo na kuwataka waeleze mahitaji
yao
ya
viwanja. Watu hao wanaombwa kutoa fedha za kupima
viwanja
na
kila mtu anapimiwa eneo analotaka. Kwa sababu tayari
maafisa
ardhi wapo, garama za upimaji zinastahili kuwa ndogo.
Na
kwa
sababu wanaohitaji viwanja wanagarimia basi serikali
haitahitaji kutoa fedha nyingi. Anaendelea Rwakatare
kuwa
angehakikisha serikali inapanua mradi wa mabasi ya
mwendo
kasi na reli kutoa huduma mpaka huko na kuhakikisha
inachukua dakika 40 kutoka maeneo mapya mpaka Dar Es
Salaam.
Hii ingeondoa msongamano wa watu Dar Es salaam.
Ukichunguza usemi huu unaona sera mbadala ya tatizo
la
viwanja na usafiri Dar Es Salaam. Unaona jinsi
ambavyo
viwanja vinaweza kupatikana kirahisi kwa sababu mara
zote
serikali inasema haina fedha za kupima viwanja huku
watu
wakitumia fedha nyingi kununua viwanja hivyo.
Hapa mimi nataka kuongelea "sera mbadala". Naweza
kusema
toka Dr. Slaa ameondoka upinzani, vyama vyetu vya
upinzani
havielezi sera mbadala kwa matatizo ya wananchi bali
vinapiga kelele ya kutetea uhuru wake wa kufanya fujo
na
kuchelewesha maendeleo ya wananchi. Utasikia wakitaka
bunge
live. Ili mwananchi aondokewe na tatizo gani kati ya
kero
alizo nazo? Wanataka bunge lisiendelee na vikao kwa
sababu
wao wametoka nje kupinga Speaker kuwakumbusha kanuni.
Wanataka waruhusiwe kuandamana wakati wengine
wanakazana
kuzalisha. Maandamano yanakuja kusaidiaje kuongeza
uwajibikaji serikalini; au kudhibiti rushwa na
ufisadi
mambo
ambayo hasa ndiyo kero za wananchi wanaowawakilisha?
Wapinzani wakafikia hatua ya kusahau kuwa
wanawakilisha
wananchi na kero zao wanaanza kutetea haki zao za
kucheza
michezo ya kuigiza barabarani na kwa hiyo huduma kwa
wananchi zisimame. Imefika mahala wengine wakaona
upinzani
ni kama mchezo wa watoto kwa hiyo wanapodhibitiwa ni
halali
ili watu wazima waendelee na mambo ya ,maendeleo. Ile
hali
ya watanzania kuunga mkono hoja za upinzani
zilielekea
kusahaulika.
Lakini kama taasisi hizi zikiweza kujiambia ukweli na
kuwapa
vipaza sauti akina Rwakatare huenda na serikali na
chama
tawala vikazidi kuwa macho. Vyama hivi vinahitaji
kuachana
na watu waliojichokea au kushindwa kazi, na viwape
watu
wenye mwelekeo wa kujua wananchi wanataka nini. Haina
maana
yoyote kumchukua mtu aliyeshindwa na kuharibu
unamleta
mbele
za watu na kutarajia mwishoni mwa 2017 au 2020
atauongoza
upinzani eti kwa sababu mchawi fulani kabashiri
hivyo.
Kuna
mambo mengine hayahitaji kukubali kudanganyana.
Kinyume
chake ni kuuimarisha mfumo wa chama kimoja ndani ya
vyama
vingi vya siasa kama Botswana.
Elisa Muhingo
0767 187 507
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings,
and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are
subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings,
and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed

for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to

googlegroups.com Utapata Email ya

googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment