Saturday 24 December 2016

Re: [wanabidii] Rwakatare na dakika 45 za ITV: Upinzani kumbe unaishi Tanzania?

The point isnt maandamano but why and when. Kuna neno kwenye biblia linasema kila jambo na wakati wake. Mtu ukifanya jambo wakati usio wake unakuwa umekosea. Kosa kama ni nuisant unaachwa kama ni destructive unadhibitiwa
--------------------------------------------
On Tue, 12/20/16, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Rwakatare na dakika 45 za ITV: Upinzani kumbe unaishi Tanzania?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, December 20, 2016, 9:12 PM

What is
wrong with maandamano, if I may ask.em
2016-12-20 13:01 GMT-05:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Najua
nimechelewa kuleta mada hii humu lakini haiepukiki kuletwa
kwa mjadala kwa kila anayeziangalia kwa umakini siasa za
Tanzania. Si wote waliisoma kwenye Facebook yangu.

Yapata wiki tatu hivi zilizopita katika kipindi cha dakika
45 kinachorushwa na ITV kulikuwa na mgeni mmoja. Mgeni huyo
ni Ndugu Wilfred Rwakatare, Mbunge wa jiji Tarajiwa la
Bukoba (kwa sasa ni manispaa lakini ndoto yake ya 2005 ni
kulikuza kuwa jiji). Rwakatare ni Waziri kivuli wa wizara
inayohusika na ardhi na nyuma.

Katika kipindi hicho alifufua matumaini yangu kuwa upinzani
ungali unaishi Tanzania na ni kwa sababu watu wenye mawazo
kama yake hawapati nafasi za mbele katika taasisi
walizomo.

Katika kipindi hicho Rwakatare anamsifu waziri Lukuvi lakini
anaikosoa serikali kwa kutotoa fedha zilizoahidiwa kwenye
bajeti za wizara.

Akijibu swali kuwa kama yeye (Rwakatare) angekuwa waziri
angefanya nini kuhusiana na migogoro ya viwanja katika
mazingira ya sasa, anajibu swali kwa kusema: angetoka nje ya
Dar Es salaam na kutafuta maeneo Kibaha. Angewachukua
wananchi wanaotaka viwanja kutoka Dar Es Salaam na
kuwaonyesha maeneo hayo na kuwataka waeleze mahitaji yao ya
viwanja. Watu hao wanaombwa kutoa fedha za kupima viwanja na
kila mtu anapimiwa eneo analotaka. Kwa sababu tayari maafisa
ardhi wapo, garama za upimaji zinastahili kuwa ndogo. Na kwa
sababu wanaohitaji viwanja wanagarimia basi serikali
haitahitaji kutoa fedha nyingi. Anaendelea Rwakatare kuwa
angehakikisha serikali inapanua mradi wa mabasi ya mwendo
kasi na reli kutoa huduma mpaka huko na kuhakikisha
inachukua dakika 40 kutoka maeneo mapya mpaka Dar Es Salaam.
Hii ingeondoa msongamano wa watu Dar Es salaam.

Ukichunguza usemi huu unaona sera mbadala ya tatizo la
viwanja na usafiri Dar Es Salaam. Unaona jinsi ambavyo
viwanja vinaweza kupatikana kirahisi kwa sababu mara zote
serikali inasema haina fedha za kupima viwanja huku watu
wakitumia fedha nyingi kununua viwanja hivyo.

Hapa mimi nataka kuongelea "sera mbadala". Naweza kusema
toka Dr. Slaa ameondoka upinzani, vyama vyetu vya upinzani
havielezi sera mbadala kwa matatizo ya wananchi bali
vinapiga kelele ya kutetea uhuru wake wa kufanya fujo na
kuchelewesha maendeleo ya wananchi. Utasikia wakitaka bunge
live. Ili mwananchi aondokewe na tatizo gani kati ya kero
alizo nazo? Wanataka bunge lisiendelee na vikao kwa sababu
wao wametoka nje kupinga Speaker kuwakumbusha kanuni.
Wanataka waruhusiwe kuandamana wakati wengine wanakazana
kuzalisha. Maandamano yanakuja kusaidiaje kuongeza
uwajibikaji serikalini; au kudhibiti rushwa na ufisadi mambo
ambayo hasa ndiyo kero za wananchi wanaowawakilisha?
Wapinzani wakafikia hatua ya kusahau kuwa wanawakilisha
wananchi na kero zao wanaanza kutetea haki zao za kucheza
michezo ya kuigiza barabarani na kwa hiyo huduma kwa
wananchi zisimame. Imefika mahala wengine wakaona upinzani
ni kama mchezo wa watoto kwa hiyo wanapodhibitiwa ni halali
ili watu wazima waendelee na mambo ya ,maendeleo. Ile hali
ya watanzania kuunga mkono hoja za upinzani zilielekea
kusahaulika.

Lakini kama taasisi hizi zikiweza kujiambia ukweli na kuwapa
vipaza sauti akina Rwakatare huenda na serikali na chama
tawala vikazidi kuwa macho. Vyama hivi vinahitaji kuachana
na watu waliojichokea au kushindwa kazi, na viwape watu
wenye mwelekeo wa kujua wananchi wanataka nini. Haina maana
yoyote kumchukua mtu aliyeshindwa na kuharibu unamleta mbele
za watu na kutarajia mwishoni mwa 2017 au 2020 atauongoza
upinzani eti kwa sababu mchawi fulani kabashiri hivyo. Kuna
mambo mengine hayahitaji kukubali kudanganyana. Kinyume
chake ni kuuimarisha mfumo wa chama kimoja ndani ya vyama
vingi vya siasa kama Botswana.



Elisa Muhingo

0767 187 507



 --



 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



  



 Kujiondoa Tuma Email kwenda



 wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com  Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma



  



 Disclaimer:



 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.



 ---



 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.



 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.



 For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma



Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.






--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment