Muganda! The why and when zinapangwa na common sence.
Wamarekani waliandamana kwa sababu wanapinga sera za Trump. Wamarekani walioandamana ndio waliompigia Hilary kura akamzidi Trump kwa kura milioni 2.5 lakini mfumo wao ukampitisha trump kupitia Electoral collage votes.
Wamarekani waliandamana wala hawakuagizwa na Hilary aliyeshinda.
Maandamano yaliyosiuiwa Tanzania ni yale ambayo ukiwauliza wanaoyapanga wanasema mambo yasiyowagusa wananchi wa Tanzania. Bunge Live! Kwa nini bunge liendelee wakati baadhi wamegoma! Etc. Wanagoma baada ya uchaguzi na wakati imeanza kuyafanyia kazi matatizo muhimu kam a rushwa, ufisadi uzembe kazini nakadhalika.
Maandamano ya marekani yalisukumwa na wananchi lakini haya ya kwetu hayakuwa na agenda na ualitaka kwuwatumia watu wa namna 'fulani' ambamo ungekosa uwakilishi wa interest za wananchi
--------------------------------------------
On Sat, 12/24/16, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Rwakatare na dakika 45 za ITV: Upinzani kumbe unaishi Tanzania?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, December 24, 2016, 7:46 PM
Nani ana
mamlaka ya kupanga the why and when ya maandamano?
Kuandamana ni kupetition the government. Wamarekani
waliandamana aliposhinda Trump hawakusubiri waambiwe when.
It was spontaneous.em
2016-12-24 8:34 GMT-05:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
The point
isnt maandamano but why and when. Kuna neno kwenye biblia
linasema kila jambo na wakati wake. Mtu ukifanya jambo
wakati usio wake unakuwa umekosea. Kosa kama ni nuisant
unaachwa kama ni destructive unadhibitiwa
------------------------------ --------------
On Tue, 12/20/16, Emmanuel
Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Rwakatare na dakika 45 za ITV:
Upinzani kumbe unaishi Tanzania?
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, December 20, 2016, 9:12 PM
What is
wrong with maandamano, if I may ask.em
2016-12-20 13:01 GMT-05:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Najua
nimechelewa kuleta mada hii humu lakini haiepukiki
kuletwa
kwa mjadala kwa kila anayeziangalia kwa umakini siasa
za
Tanzania. Si wote waliisoma kwenye Facebook yangu.
Yapata wiki tatu hivi zilizopita katika kipindi cha
dakika
45 kinachorushwa na ITV kulikuwa na mgeni mmoja. Mgeni
huyo
ni Ndugu Wilfred Rwakatare, Mbunge wa jiji Tarajiwa la
Bukoba (kwa sasa ni manispaa lakini ndoto yake ya 2005
ni
kulikuza kuwa jiji). Rwakatare ni Waziri kivuli wa
wizara
inayohusika na ardhi na nyuma.
Katika kipindi hicho alifufua matumaini yangu kuwa
upinzani
ungali unaishi Tanzania na ni kwa sababu watu wenye
mawazo
kama yake hawapati nafasi za mbele katika taasisi
walizomo.
Katika kipindi hicho Rwakatare anamsifu waziri Lukuvi
lakini
anaikosoa serikali kwa kutotoa fedha zilizoahidiwa
kwenye
bajeti za wizara.
Akijibu swali kuwa kama yeye (Rwakatare) angekuwa
waziri
angefanya nini kuhusiana na migogoro ya viwanja katika
mazingira ya sasa, anajibu swali kwa kusema: angetoka nje
ya
Dar Es salaam na kutafuta maeneo Kibaha. Angewachukua
wananchi wanaotaka viwanja kutoka Dar Es Salaam na
kuwaonyesha maeneo hayo na kuwataka waeleze mahitaji yao
ya
viwanja. Watu hao wanaombwa kutoa fedha za kupima viwanja
na
kila mtu anapimiwa eneo analotaka. Kwa sababu tayari
maafisa
ardhi wapo, garama za upimaji zinastahili kuwa ndogo. Na
kwa
sababu wanaohitaji viwanja wanagarimia basi serikali
haitahitaji kutoa fedha nyingi. Anaendelea Rwakatare
kuwa
angehakikisha serikali inapanua mradi wa mabasi ya
mwendo
kasi na reli kutoa huduma mpaka huko na kuhakikisha
inachukua dakika 40 kutoka maeneo mapya mpaka Dar Es
Salaam.
Hii ingeondoa msongamano wa watu Dar Es salaam.
Ukichunguza usemi huu unaona sera mbadala ya tatizo la
viwanja na usafiri Dar Es Salaam. Unaona jinsi ambavyo
viwanja vinaweza kupatikana kirahisi kwa sababu mara
zote
serikali inasema haina fedha za kupima viwanja huku
watu
wakitumia fedha nyingi kununua viwanja hivyo.
Hapa mimi nataka kuongelea "sera mbadala". Naweza
kusema
toka Dr. Slaa ameondoka upinzani, vyama vyetu vya
upinzani
havielezi sera mbadala kwa matatizo ya wananchi bali
vinapiga kelele ya kutetea uhuru wake wa kufanya fujo
na
kuchelewesha maendeleo ya wananchi. Utasikia wakitaka
bunge
live. Ili mwananchi aondokewe na tatizo gani kati ya
kero
alizo nazo? Wanataka bunge lisiendelee na vikao kwa
sababu
wao wametoka nje kupinga Speaker kuwakumbusha kanuni.
Wanataka waruhusiwe kuandamana wakati wengine
wanakazana
kuzalisha. Maandamano yanakuja kusaidiaje kuongeza
uwajibikaji serikalini; au kudhibiti rushwa na ufisadi
mambo
ambayo hasa ndiyo kero za wananchi wanaowawakilisha?
Wapinzani wakafikia hatua ya kusahau kuwa wanawakilisha
wananchi na kero zao wanaanza kutetea haki zao za
kucheza
michezo ya kuigiza barabarani na kwa hiyo huduma kwa
wananchi zisimame. Imefika mahala wengine wakaona
upinzani
ni kama mchezo wa watoto kwa hiyo wanapodhibitiwa ni
halali
ili watu wazima waendelee na mambo ya ,maendeleo. Ile
hali
ya watanzania kuunga mkono hoja za upinzani zilielekea
kusahaulika.
Lakini kama taasisi hizi zikiweza kujiambia ukweli na
kuwapa
vipaza sauti akina Rwakatare huenda na serikali na
chama
tawala vikazidi kuwa macho. Vyama hivi vinahitaji
kuachana
na watu waliojichokea au kushindwa kazi, na viwape watu
wenye mwelekeo wa kujua wananchi wanataka nini. Haina
maana
yoyote kumchukua mtu aliyeshindwa na kuharibu unamleta
mbele
za watu na kutarajia mwishoni mwa 2017 au 2020
atauongoza
upinzani eti kwa sababu mchawi fulani kabashiri hivyo.
Kuna
mambo mengine hayahitaji kukubali kudanganyana. Kinyume
chake ni kuuimarisha mfumo wa chama kimoja ndani ya
vyama
vingi vya siasa kama Botswana.
Elisa Muhingo
0767 187 507
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings,
and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com Utapata Email ya

googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment