Tuesday, 3 February 2015

Re: [wanabidii] RAIS AJAYE ASIPOTOKA CCM, NCHI ITAYUMBA - KIKWETE

Lesian,
Waswahili wana usemi: tusiandikie mate na wino upo. Basi time will tell. Kama Lowassa ndilo chaguo la wengi then let it be. But I still believe Tanzania deserves better.
Nyerere aliongoza nchi baada ya miaka saba tu tangu TANU ilipoundwa, na kwa mantiki hii upinzani wa Tanzania umekomaa kiasi cha kuweza kuongoza, lakini kama
Watanzania wameridhika na CCM, who am I to say?
em

2015-02-03 5:29 GMT-05:00 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
acha na CCM hapa tusijadili chama kwani kwa vyama najua CCM lazima wataubeba URAIS, kwa inavyoonekana only can have  a right candidate kwa post ya URAIS na still wananchi wengi wa vijijini wana imani nayo nazungumza mr MUganda from reality , mimi nashinda na watu vijijini kila siku na nawasikia wakisema hvo nyie mlio ughaibuni na wengine wanashinda jijini Dar hawa ushahidi wa hawa  ndio maaana naomba nikupeni ukweli LOWASSA ni chaguo la wengi kwa sasa kwa ngazi ya URAIS kwa vyama vya upinzani wananchi wanasema mara slaa, vijana wanasema zitto wengine mh LIPUMBA wengine  Mbowe.
Sababu kubwa ya LOWASA ni maaamuzi bhaaaaaaaas

From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, February 2, 2015 2:31 PM

Subject: Re: [wanabidii] RAIS AJAYE ASIPOTOKA CCM, NCHI ITAYUMBA - KIKWETE

Hawa CCM wote ni waona mbali. Ndio maana nji inaenda shaghala baghala. Tunahitaji sasa uongozi usioona mbali ili waanze kushughulikia immediate problems.
em

Sent from my iPhone

On Feb 2, 2015, at 4:13 PM, "'lesian mollel' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Ni ukweli Mh Rais ameona mbali sana, vyama vya upinzani vyetu baado havijakomaaa kabisa hata migogoro yao within chama bado wanashindwa kusolve sembuse nchi? level ya vyama vyetu vya upinzani still according tu wananchi ni ubunge na udiwani uskukani wa white house still chapuo kubwa ni CCM japo nao wakikosea wamweke mtu asieuzika kiukweli tunaweza kuharibu nchi , only mtu anaeuzika ni bro EDO so hata Mh JK analifaham hili ni upepo kaupima kaona Bro EDO kasi yake ni ya kali kinyama inaelekea magogoni tuuuuuuuu, aingie atusaidie jamani. nchi hiii need  a strong man really , acheni siasa the only person ni huyu atakaetunusuru sipigi siasa hapa kama mtu atabisha aje nitembeee nae siku nzima tuhoji watanzania mia tu uone nani atapita
So tunaoitakia nchiii hiii mema tunaona EDO fit now

From: 'Abdul Karim' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, February 2, 2015 7:21 AM
Subject: Re: [wanabidii] RAIS AJAYE ASIPOTOKA CCM, NCHI ITAYUMBA - KIKWETE

Nchi iyumbe mara ngapi wakati mpaka sasa nchi inaenda kama lori la mkaa lililokata centre bolt!
 
From: 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, February 2, 2015 12:39 PM
Subject: Re: [wanabidii] RAIS AJAYE ASIPOTOKA CCM, NCHI ITAYUMBA - KIKWETE

Nchi itayumba???
Sasa imetulia???. Inaenda vizuri??? Hii kali kweli! Ninaamini nchi inaweza kuzama kabisa kama CCM itatoa rais atokanaye na mtandao. Uwezekano wa kupata Rais kutoka CCM ambaye anaweza kwa kuanzia akaunda serikali ndogo na kupunguza marupurupu ya wanasiasa ambayo ndiyo yamelifikisha taifa hapa ni mdogo. Uwezekano wa kumpata rais kutoka CCM ambaye hatatokana na fedha za ESRCOW ni mdogo sana. Uwezekano wa kupata rais kutoka CCM anayeweza kuwauliza watangulizi wake na familia zao waeleze walikopata mali hizo ni mdogo. Na hayo ndiyo yanaliyumbisha taifa tayari.
Basi tukae kwa namna mpya na kukubaliana namna ya kumpata rais. Kupitia kampeni hizi hatutampata tunayemtaka wa kulifaa taifa hili.
Elisa
--------------------------------------------
On Mon, 2/2/15, Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com> wrote:

Subject: [wanabidii] RAIS AJAYE ASIPOTOKA CCM, NCHI ITAYUMBA - KIKWETE
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, February 2, 2015, 10:39 AM

RAIS
AJAYE ASIPOTOKA CCM, NCHI ITAYUMBA - KIKWETE
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt Jakaya Kikwete
amewaagiza viongozi wa chama hicho kuhakikisha Chama cha Mapinduzi kinashinda
katika uchaguzi ujao unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba
mwaka huu.Dkt Kikwete ametoa agizo hilo katika
uwanja wa Majimaji mjini Songea ambapo zimefanyika sherehe
za maadhimisho ya miaka 38 ya chama hicho.Akimnukuu mwalimu Nyerere, amesema
kuwa Rais wa Tanzania anaweza kutoka chama chochote lakini
Rais bora ni lazima atoke CCM hivyo amewataka viongozi wa
chama hicho kuhakikisha wanafanya mikutano na kuwatembelea
wananchi ili kujua matatizo yao kama anavyofanya Katibu Mkuu
wa Chama hicho Abdulrahman Kinana.Aidha ameonya kuwa wana CCM
wanatakiwa kutambua kuwa endapo CCM haitashinda, nchi
itayumba na huenda CCM isibaki kama ilivyo, kwa hiyo ni
jukumu lao kuhakikisha CCM inaendelea kubaki madarakani kwa
kila jitihada.Amewataka wawe
makini wakati wa kuteua wagombea hususani katika nafasi ya
urais ili wapate mgombea mwenye uwezo wa kuendelea kujenga
umoja ndani ya chama na taifa kwa ujumla, na pia mwenye
uwezo wa kuongoza Tanzania na watanzania wakamkubali."Msifanye makosa katika kupata
mgombea, chagueni mgombea atakayekubalika na mwenye uwezo,
hata kama yupo lakini hajajitokeza, siyo vibaya kumshawishi
kama mimi nilivyoshawishiwa…" amesema Kikwete.Amewataka viongozi wa chama hicho
kuwashawishi wanachama wote kujiandikisha katika daftari la
kupiga Kura kwa mfumo wa BVR ili waweze kushiriki uchaguzi
huo wakiwa na vitambulisho vipya.Amesema "Kwa mahesabu yaliyopo CCM
ina wananchama zaidi ya Milion 6, tukiwaongeza na hao kama
milioni 2 hivi, itakuwa million 8, tayari tutakuwa na mtaji
wa Kura million 8 za kuanzia, na hao million 8 kila mmoja
ana mpenzi, akimshawishi mpenzi wake kuipigia CCM tutakuwa
na kura million 16, ambapo tutaweza kumshinda mtu
yoyote……"Ameongeza kuwa
"CCM ni chama cha kuongoza dola, siyo chama cha michezo
wala muziki, mambo ya muziki Kapten Komba anatosha, yupo na
Diamond pia, wanatosha hao, lakini sisi tuhakikishe CCM
inaendelea kuogoza dola"

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment