Thursday, 26 February 2015

Re: [wanabidii] SIO KASHFA NI SWALI TU. MBONA UKIRISTO MWEPESI HIVI?

Ndugu Paul Bernard,

Wazungu waliupata wapi Ukristo kabla ya kuuleta Afrika?

Davis

--------------------------------------------
On Wed, 2/25/15, 'Paul Bernard' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] SIO KASHFA NI SWALI TU. MBONA UKIRISTO MWEPESI HIVI?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, February 25, 2015, 7:18 PM

Je
wasingekuja Wazungu Africa,ukristo ungekuwepo? na kama
ukristo usingekuwepo maisha yasingeendelea?Je waarab
wasingekuja Africa uislam ungekuwepo na kama usingekuwepo
maisha yasingeliendelea?Mie napata
shida kuona wafrika maeneo mbali mbali wanapigana na kuuana
kwa misingi ya dini walizoletewa na
wageni."TAFAKARI-CHUKUA HATUA"

From: 'frank
patrick materu' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
To:
"wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>

Sent:
Wednesday, February 25, 2015 3:54 PM

Subject: Re:
[wanabidii] SIO KASHFA NI SWALI TU. MBONA UKIRISTO MWEPESI
HIVI?

Telesphor,Ukiona hao
ISIS, Islamic Jihad, Alkaeda, Alshabab, Boko Haram, na
makundi mengine kama hayo, yanatekeleza sawa sawa kile Allah
alichomwamuru Mtume wake na wafuasi wake kutekeleza na
ndivyo Korani inavyosema na ndiyo hali halisi ya dini hiyo
ilivyo kwa wale waishikao kikamilifu. Hiyo ndiyo Korani
inavyofundisha kutii amri za Allah na  kujihakikishia
kwenda mbinguni kwa fahamu zao. Kuua au kuuwawa kwa ajili ya
kueneza dini.Tofauti na Ukristo, Mungu wa Kikristo na Biblia
inavyosema. Kwenye Koran, hakuna neno UPENDO. Huwezi kumwita
Mungu baba. Ukitazama maisha ya Mohamed na wafuasi wake
walivyoeneza inani yao, na wanavyoeneza hata sasa, kwa
maelekezo ya Allah na maisha ya Yesu na wafuasi wake
walivyoeneza imani yao, na wanavyoeneza hata sasa, na
maelekezo ya Mungu kwenye Biblia, hapo ndipo utakapojua kuwa
Mungu wa kweli ni yupi. Haiwezekani Mungu wa Biblia akawa ni
yule yule wa Korani, na tofauti inakuja hapo. Ukweli ndio
huo.

From: Telesphor Magobe
<tmagobe@gmail.com>
To:
"wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>

Sent:
Wednesday, February 25, 2015 11:53 AM
Subject: Re:
[wanabidii] SIO KASHFA NI SWALI TU. MBONA UKIRISTO MWEPESI
HIVI?

Frank,
hata kama ni maoni yako una ushahidi gani kwamba
"Waislamu wengi wanaishi na kufanya kama Mtume
Muhammedi alivyoishi na kufanya na kama Korani inavyosema
wakati Wakristo wengi hawaishi na kufanya kama Bwana Yesu
alivyoishi na kufanya na kama Biblia inavyosema."
1. Hao wengi ni kwa idadi gani?
2. Umezungumza nao na wakakwambia
hivyo?
3. Unawafikiria tu na kudhani
ndivyo wanavyoishi?
4. Nao hao
"wengi" umechukulia tangu lini (miaka ambayo wewe
mwenyewe ulikuwa umezaliwa au hata kabla ya kuzaliwa)?

2015-02-25 11:20 GMT+03:00
'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

Naunga mkono maelezo ya Asanterabi. Kwa maoni
yangu swali la Juma Kongoro ni zuri sana na ni la ukweli.
Tatizo la kwanza ni kwamba wengi wetu hatuifahamu vizuri
Korani na hatuufahamu vizuri Uislamu.Unapojibu hoja wakati
ufahamu wako ni wa upande mmoja, unashindwa ku cross check
reliability.Kadhalika na Waislamu wengi hawaifahamu vizuri
Biblia na Ukristo. Tatizo la pili ni kwamba Waislamu wengi
wanaishi na kufanya kama Mtume Muhammed alivyoishi na
kufanya na kama Korani inavyosema wakati Wakristo wengi
hawaishi na kufanya kama Bwana Yesu alivyoishi na kufanya na
kama Biblia inavyosema.Mini ninaona
jambo la msingi hapa ni kuelezwa tofauti kati ya Uislamu na
Ukristo, Korani na Biblia, Muhammedi na Kristo na Allah na
Mungu. Biblia inatutaka kuwa tayari wakati wowote kumjibu
kila mtu atuulizaye kwa habari ya tumaini lililopo ndani
yetu, ila kwa upole na kwa hofu.
From: Neatness Msemo
<nmuzeh@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com

Sent: Tuesday, February
24, 2015 11:56 PM
Subject: Re:
[wanabidii] SIO KASHFA NI SWALI TU. MBONA UKIRISTO MWEPESI
HIVI?

mwacheni Juma
anataka kuwachora tu kwani ukweli anauelewa hapa anataka
malumbano na dhambi Biblia inasema tusishindane wala kujibu
maswali ya upuuzi yasiyo na elimu.
juzi alisema wachungaji walimkimbia mtu
mwenye ebola leo anasema hatusali kesho atakuja na lingine
mwacheni huyu ana masikio ya utafiti
kuna mengi tunapaswa kuwajibu na
kuwafundisha watu lakini juma yeye hana nia ya kweli bali
ubishi.Mungu wetu hasaidiwi kwani walokole ni akina nani au
mkristo ni nani soma biblia mwanafunzi wa Yesu ndiye mkristo
ndiye mlokole kama hujui kasome.hata Paulo mtume aliulizwa
je wataka kunifanya mkristo.
wapo
waislamu wanakula hadi nguruwe hawajui hata msikiti uko wapi
leo anasema mkristo hasali soma biblia kwanza na uwe mfuasi
wa Yesu ndipo utaielewa dini ya kikristo.
vinginevyo utajiuliza sana kwani
ukivuviwa nguvu ya Roho mtakatifu utabadilika tu Juma kwani
Biblia ni kitabu tofauti sana sio kama unavyothani
kina uwezo wa kufanya maajabu jaribu
kuingia uone
karibu sana nadhani uko
mbioni au sio karibu sana JUma ufanye utafiti halafu utaona
tofauti ya wakristo na hao unaosema wewe.ukigusa imani ya
mtu unakosea sana ingia ufanye utafiti kisha utioke umeiva
utawaeleza wasomaji wako ulichokutana nacho.vinginevyo
usirudierudie kugusa imani za watu Mungu atashughulika nawe
kwani naona unatamani sana karibu.Tunakuombea uje ujiunge

2015-02-24
22:46 GMT+03:00 Ernest Philemon <emmbaga@hotmail.com>:

Reuben. usitie neno
tena   Ngupula  amerahisisha uelewa kwa yeyote  kama 
ambavyo  KRISTO  alielekeza iwe hivyo  na Mkristo 
ndani  ya   amri  kumi .   binafsi  ingeniwia vigumu 
sana kuelezea ndugu hadi pointi hi  kua  pamoja yote .
msiogope !"   raha ya ukristo ni. msamaha....ukikosea
unafuta....dhambi zetu zinaandikwa kwa pensil." 
Nashukuru  kw a  wahubiri (  Maandishi) 
kama Ngupula)

NDIO SABABU
TUNAITWA WAKRISTtO.

Ernest

 Tue, 24 Feb 2015 20:38:42
+0300
Subject: Re: [wanabidii] SIO
KASHFA NI SWALI TU. MBONA UKIRISTO MWEPESI HIVI?
From: wanabidii@googlegroups.com
To: wanabidii@googlegroups.com
Ngupula;
Naomba nami niweke
kamchango ka imani yangu.
Kwamba Ukristo ni
maisha halisi zaidi ya kushinda kanisani.
Kongoro pepo ni zaidi ya ulivyouliza
swali,kanisa ni nyumba ya jumuiko la jumla la waumini,lkn
pepo inaanzia maisha ya nyumbani kwako na hasa upendo wako
kwa jirani yako.
Sio rahisi km unavyoamini
nyie,ingekua hivyo binafsi ningehamia kanisani.

Reuben

Sent from Huawei Mobile

'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

Ndugu Juma, ukristo
ni mgumu kuliko dini yeyote ile.....hebu chungulia haya
mambo machache tu....ukristo unasema.....ukimwangalia
mwanamke kwa kumtamani tu....umekwisha zini naye...ni dhambi
.. ukitaka kutoa sadaka yenye dhawabu basi ni lazima iwe
siri hata mkono wako wa kushoto usijue ulichokifanya.
..katika ukristo hakuna mizani ya mema na mabaya....bali
ukikosea moja umekosea yote.. ...haturuhusiwi visasi
sis....bali aliyekutendea mabaya bas we mtendee
mema.....raha ya ukristo ni. msamaha....ukikosea
unafuta....dhambi zetu zinaandikwa kwa pensil.. Ngupula.

mngonge franco <mngonge@gmail.com>
wrote:

Juma
Binafsi ninaamini
zaidi utekelezaji wa tunachokiamini kuliko kwenda mara
nyingi kwenye nyumba za ibada. Wakristu wanayo amri kuu
ambayo ni upendo, ukiwa na upendo huwezi kumfanyia mwenziyo
baya. Kusali/kuswali mara nyingi sawa, kufunga funga sawa
lakini swali la msingi ni je unawatendea mambo mema binadamu
wenziyo? Kesha unaswali/unasali, funga ramadhani/kwaresima
milele yote kama kufunga au kuswali kwako hakuendani na
matendo mema ni bure.

2015-02-24 17:28 GMT+03:00 Juma Kongoro
<jumakongoro@gmail.com>:
SIO KASHFA NI
SWALI TU. MBONA UKIRISTO MWEPESI HIVI?Mimi
ninavyojua ili upate kitu lazima ujitume sana tu.
Kwa mfano ili ufaulu mtihani wa shule lazima
usome sana, uhudhurie vipindi na usitegee vyenginevyo
utafeli. Vyuo vikuu watu wanakessha madarasani, wanakesha
matheater au vyumbani kutafuta first class au pass
Ili upate mazao. lazima ulime kwa bidii.watu
wanahamia mashambani, wengine wanaliwa na simba ili kupata
mazao mengi na bora
Ili upate uongozi kama ubunge lazima upige
kampeni kwa sana tena bila ya kulala.ujitume sana.
Kwa upande wa dini waislam wao wanaswali mara 5
kwa siku bila ya kukosa, hata ukiwa mgonjwa lazima usali,
wanafunga, wanatoa zaka na kila wakati unatakiwa usome
quran. yaani ujitume kwa sana ili uingie peponi.kwa mwanamke
lazima uvae hijab wakati wa baridi au Joto hio ni
lazima,yaani muislam dunia imekuwa kwake kama jela. hii yote
ni kufaulu maisha ya dunia ili kuipata pepo
Lkn kwa upande wa pili wa dini naona wao
wanasali j2 hadi j2 tena atakae.
Sioni
kwenda makanisani kila wakati wala majumbani siwaoni kusoma
biblia, yaani sioni jitihada hasa kutafuta PEPO. kidogo
wanaona walokole. Jee kweli biblia ndio inavyosema hivi kama
pepo ni rahisi rahisi?JEE NI KWELI
PEPO RAHISI RAHISI HIVI?hili sio kashfa ni swali
tu

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

For more options, visit wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

"In accepting the trusteeship of our
wildlife we solemnly declare that we will do everything in
our power to make sure that our children's
grand-children will be able to enjoy this rich and precious
inheritance."- Dr. Julius K. Nyerere

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment