Thursday, 26 February 2015

Re: [wanabidii] USAJILI MPYA WA PIKIPIKI

Tunashukuru kwa tangazo hili, lakini kuna mlolongo wa mambo ambayo hata usizangaliweza kufikiria utakutana nayo. Moja ambalo nikikutana nalo mimi binafsi ni kuhusu Motor Vehicle, ambayo hapo awali wakati ninanua pikipiki utalatibu wa kulipia ulikuwa umefutwa. Lakini cha kushangaza nikaambia nadaiwa tangia mwaka ilipoisha hadi sasa. Kwa kweli jambo hili halikunifurahisha kwa hakika, kwani kama wasingalifuta hiyo, si ningalikuwa nimelipia bila tatizo lolote. Kwa nini wanilimbikizie madeni ambayo sikuwa nautaratibu nayo? Hapa mimi binafsi naona sijatendewa haki kama raia ninayefanya mambo kwa utaratibu. Kwani kila kitu kiko sawa hasa kwa bima, kwani ninafahamu napaswa kukatia bima kila mwaka. Naomba mnisaidie kunielewesha vizuri kama kweli nastahili kulipia deni ambalo mimi sijalisababisha kwa hakika

2014-10-02 11:47 GMT+03:00 'kilao rajabu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Serikali imeamua kuanzisha usajili mpya wa namba za pikipiki (aina zote za pikipiki zenye magurudumu mawili na zaidi) ili kurahisisha usimamizi na utawala wa vyombo vya moto. Utaratibu mpya wa Usajili unaanza rasmi tarehe 1/10/2014. Mmiliki anapewa muda wa miezi sita kubadilisha usajili bila adhabu.

Usajili huu utahusu vyombo vya moto aina ya pikipiki vyenye magurudumu mawili au zaidi. Pikipiki  kwa ajili ya biashara zinatakiwa kubandikwa vibao vya namba ya rangi nyeupe na kwa ajili shughuli binafsi zitabandikwa vibao vya namba za rangi ya njano.

Usajili huu utafanyika katika ofisi zote za TRA   na mmiliki anatakiwa kwenda TRA na kadi halisi ya pikipiki na Tshs.10, 000/- kwa ajili ya kadi mpya.

Wito unatolewa kwa wamiliki wote wa pikipiki ikiwa ni pamoja na zile za magurudumu matatu au manne maarufu kwa jina la Bajaji, wafike katika ofisi za Mamlaka ya Mapato Tanzania kwa ajili ya kukamilisha usajili wa vyombo wanavyomiliki.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Theonest Evarist Bahemuka
BSc(Ed.) Hons, MSc(Chem.)

P.S: "In order to succeed, we must first believe that we can"

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment