Saturday 28 February 2015

[wanabidii] Mnada wa Nyumba iliyopo Tegeta Plot 400 Block C

Wanabidii na wananchi kwa ujumla

Mnatangaziwa kuwa nyumba nzuri sana ya ghorofa moja ambayo ina vyumba vinne self contained, sitting room mbili moja ya chini ya pili ya juu ya kisasa kabisa imejengwa kwenye plot yenye ukubwa wa square meter 1824 yenye lease ya 99 years tangu 1996 itauzwa kwa mnada wa hadhara tarehe 7/3/2015 saa nne asubuhi - Wote mnakaribishwa na bei unapanga mwenyewe

Kuifikia; ukiwa barabara ya Bagamoyo Road ukifika Mbuyuni ingia barabara ya Bahaari Beach nenda nayo mpaka umepita chuo cha maafisa wa Jeshi, utakuta barabara ya Simba (Simba Road) ingia kushoto mpaka utakuta barabara ya Twiga (Twiga Road) ingia kulia ni nyumba ya pili kutoka mwisho upande wako wa Kushoto.

Numba inaangalia na nyumba za usalama wa taifa.

Kwa taarifa zaidi

Wasiliana na

Hem Consultants, Auctioneers and General Brokers

Tel : 0752-110290 - 0715-301494 

0 comments:

Post a Comment