Tuesday, 3 February 2015

Re: [wanabidii] NI PROFESSA LIPUMBA AU NI PROFESA LIPUMBAFU?

Mollel;
Huyu chalii anaangalia leo tu,future kwake sio jambo la msingi,wala hawezi kuwa mama kama Muganda alivyosema,mana sijui ni familia ya aina gani itatoka kwenye malezi yake,definetely watakuwa panya wa barabarani.
Yona tuambie na hapo inakaaje?wewe ndio moderator hapa lkn hutimizi wajibu wako,kama ni mashitaka unalo la kujibu kwa Prof Lipumba kwa kuruhusu taka kuingia Public.
 
Reuben

On Tuesday, February 3, 2015 2:21 AM, 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Duuuuuuh, kaazi kweli kweli, huyu dada sasa anakoelekea siko kabisa anahitaji watu wampe ushaur kutowakashfu viongozi wa kisiasa namna hiii, sijaipenda hiii heading kabisa infact sikutaka kusoma ndani kuna nini hii  heading tu imenifanya niandike hivi....aaache kutukana bana,. atoe hoja zake kwa lugha za kiuandishi zenye staha na hata msomaji asione kama umebias,mmmmmm    lawyer wetu huyo, hiii ndio Tanzania bana na hawa ndio viongozi wetu wajao ambao wanasimama taasisi za umma na kula mpunga wa umma hadi kulewa, huu ni ulevi kabisaaaaaa, hv Lipumba anaeitwa na dada kakatabazi kua ni LUPUMBAFU akikamata nchi huyu dada atakimbilia nchi gani.....ila mmmm, anyway mungu amsaidie apate busara

From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, February 3, 2015 2:01 AM
Subject: Re: [wanabidii] NI PROFESSA LIPUMBA AU NI PROFESA LIPUMBAFU?

Yaani huyu mama hajaacha tu. Amazing!
em

2015-02-03 4:53 GMT-05:00 'godfred mbanyi' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

Hili ni tatizo la malezi na makuzi! Huna adabu hata chembe!

--------------------------------------------
On Tue, 2/3/15, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] NI PROFESSA LIPUMBA AU NI PROFESA LIPUMBAFU?
 To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
 Date: Tuesday, February 3, 2015, 11:22 AM

 I'm
 sick after reading this rubbish!

 2015-02-03 11:19 GMT+03:00
 'Happiness Katabazi' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
 NI
 PROFESSA LIPUMBA AU NI PROFESA LIPUMBAFU?

 Na Happiness Katabazi

 JUMAPILI iliyopita Mwenyekiti wa Taifa wa Chama ya Wananchi
 (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba akizungumza  na waandishi wa
 Habari mambo  mengi likiwemo tukio la Polisi Kuzuia
 maandamano ya CUF Januari 27 na kuwapiga bila Sababu na
 kuwaibia baadhi ya vitu vyao.

 Profesa Lipumba alisema pia anafanya jitihada ya kuonana 
 na Rais Jakaya Kikwete kumweleza tukio hilo na kwamba
 Serikali na CCM inakata kuvuruga amani na haihehimu 
 maridhiano yaliyofanyika  mwaka 2001, vinginevyo hali
 itakuwa  katika uchaguzi mkuu  mwaka huu.

 Itakumbukwa Kuwa Januari 29 Mwaka huu, Waziri wa Mambo ya
 Ndani, Mathias Chikawe alitoa tamko la serikali kuhusu tukio
 la Januaria 27 Mwaka huu,ambapo pamoja na mambo mengine
 alimtaka mtu yoyote mwenye malalamiko kuhusu ukiukwaji wa
 Sheria za nchi, Nguvu nyingi na Polisi awasilishe malalamiko
 hayo Kwenye Dawati la uchunguzi na kwamba Dawati Hilo
 itayapokea na kuyafanyia kazi na kwamba Taasisi husika
 zitafanya uchunguzi Kama uenda Nguvu zaidi zilitumiwa na
 Polisi bila Sababu za Msingi.

 Cha ajabu watu Wengi Wanaolaani tukio lile wameshindwa
 kufika Katika Dawati la uchunguzi kutoa malalamiko Yao
 likiwemo dai la jeshi la polosi limejivika  ukada wa CCM
 wameishia kutumia vyombo Vya Habari, katika mitandao ya
 kijamii Kulalamika na kutukana kitendo ambacho haisaidii
 kukomesha matukio Kama hayo wanayo dai Jeshi la Polisi
 linatumia Nguvu nyingi bila Sababu za Msingi.

 Februali Mosi Mwaka huu, Professa Lipumba alipokuwa
 Akizungumza na waandishi    alisema anafanya jitihada za
 kumuona Rais Kikwete ili imfikishie kilio chao.

 Kwa Madai hayo ya Lipumba ,Nimuulize Lipumba amesahau kuwa
 Kikwete Kuwa ni Mwenyekiti wa CCM Taifa na pia ni Amiri
 Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama na aliwahi Kuwa
 Ofisa wa Jeshi la Wananchi(JWTZ)?

 Lipumba kadai Polisi imejivika  Joho la Ukada wa CCM.Sasa
 Lipumba yeye ni CUF haoni Kama akienda kumweleza Hilo Rais
 Kikwete ni sawa anafanyakazi ya 'kumvalisha Mbu
 miwani' au Kesi ya Nyani anampelekea Ngedere?

 Halafu Lipumba anaenda kumweleza nini Rais Kikwete Kuwa yeye
 na wafuasi wake walijeruhiwa na Polisi ili iweje? Kwani
 Kikwete ni Daktari au nesi wa kuwatibia majeraha
 waliyoyapata kutokana na vipigo' Mpini ' wa Askari
 Polosi?

 Tufanye Lipumba Hana Imani na Jeshi la Polisi kwa hiyo hata
 akienda kutoa malalamiko yake Katika Dawati la uchunguzi
 dhidi ya Polisi wale hayatafanyiwa  kazi.

 Kwa nini Lipumba anashindwa Kufungua Kesi ya Madai ya fidia
 dhidi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi, Mwanasheria Mkuu wa
 Serikali ya kuomba Mahakama itoe amri kwa wadaiwa Hao ili
 iwalipe fidia iliyotokana na madhara ya vipigo Vya
 Polisi?

 Ibara 107 A(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
 ya Mwaka 1977, inasema Mahakama ni Chombo pekee cha kutoa
 haki na Ndio maana Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), Biswalo
 Mganga, Januari 28 Mwaka huu, amemfungulia Lipumba Kesi ya
 jinai Na.25 / 2015, Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu
 Dar es Salaam.

 Kwa nini Lipumba anashindwa kutumia haki hiyo ya Kikatiba
 kupata haki yake anayodhani anastahili kuipata? Vyombo Vya
 Habari, mikutano ya adhara ,kukutana na Kikwete
 haitakusaidia kupata hiyo haki yako ya Kikatiba ya
 kuandamana, kupewa fidia ya kujeruhiwa na Hasara iliyoupata
 CUF kwaajili ya kuandaa maandamano na mkutano wa adhara wa
 Januari 27 Mwaka huu.

 Zaidi zaidi Mbele ya Jamii ya watu wenye akili timamu na
 waliotazama video ya Januari 27 Mwaka huu, ambao Katika
 video hiyo Ulipokuwa ukihojiwa  na polisi  wewe Mwenyewe
 (Lipumba) kwa Mdomo wako ulikiri Mbele ya Polisi wale na
 ulisema yafutatayo ;

 ' Barua   ya Jeshi la Polisi ya Kuzuia maandamano ya
 CUF mliipata  saa 12 Kabla  ya CUF kuanza maandamano na
 kwamba wewe na wafuasi wako siku hiyo ya Januari 27 mwaka
 huu, mlikuwa mkitembea kwa miguu huku mkiwa Wengi toka Ofisi
 za CUF- Temeke kwenda eneo la Mkutano ili Muende
 kuahirisha  mkutano ule.

 Kwa maelezo hayo uliyoyatoa Lipumba wakati umezingirwa na
 Polisi na wafuasi wako wakichezea  'mpini wa
 Polisi' yaani kipigo huku ukionekana ni mpole
 sana,uliyekuwa ukitoa ushirikiano wa Hali ya juu kwa Polisi
 tena kwa heshima kubwa  na kujimaliza kwa maelezo yako
 ,niliishia kujiuliza msomi huyu ni Profesa Lipumba au ni
 Profesa Lipumbafu?

 Yaani Lipumba Katika video ile amekiri kabisa Kuwa ni kweli
 saa 12 ,CUF ilipokea barua ya Jeshi la Polisi ya Kuzuia
 maandamano Yao lakini bado Lipumba siku hiyo ya Januari 27,
 akatoka nyumbani kwake akaenda hadi Ofisi ya CUF- Temeke,
 akiwaambia wafuasi wake watoke Katika Ofisi hiyo na waende
 kwa Wingi wao kwenda eneo la mkutano kwenda kuairisha
 mkutano ule wakati Tayari alikuwa anafahamu Kuwa Tayari
 Polisi ilishawakabidhi mapema barua ya Kuzuia maandamano
 hayo.

 Kwa kitendo hiki cha msomi wa aina ya Lipumba kwa mdomo wake
 kupitia video ya tukio la Januari 27 Mwaka huu, ameonekana
 akikiri Mbele ya Polisi Kuwa Kabla ya kuanza maandamano
 Tayari CUF ilikuwa imeishapokea barua ya Polisi ya kukataza
 maandamano lakini yeye akawaongoza wafuasi wake kutembea kwa
 umoja wao kwenda kuarisha mkutano kinastahili kufanywa na
 msomi huyu?

 Mzee wangu Lipumba naomba kukushauri jambo moja kwamba,
 kubali kuwa hadi sasa wewe ni mshitakiwa wa kesi ya jinai
 ambao polisi unaowakebehi ndiyo wachunguzi na mashahidi wa
 kesi yako.

 Mwendesha Mashitaka ili ashinde Kesi yoyote ili  ya jinai ,
 anategemea sana kazi iliyofanywa na wapelelezi wawe wa
 Takukuru au Jeshi la Polisi.

 Hivyo nakushauri mzee wangu Lipumba kuanzia sasa acha
 kuendeleza  'ligi'  ya maneno na polisi, unaweza
 ukajikuta unaumia. Kumbuka msemo usemao mdomo uliponza
 kichwa.

 Mahakama ipo kwaajili kutoa haki lakini siku zote Mahakama
 inatoa haki kutokana  na aina ya ushahidi ,hoja
 zilizowasilishwa Mbele yake na pande mbili zenye mgogoro.

 Kumbuka katika Kesi yako mshitakiwa ni wewe peke yako na
 wala siyo viongozi wenzio wa UKAWA na baadhi ya wafuasi
 wako,vyombo vya habari ambavyo wewe unafikiri vinakusaidia
 kumbe vinazidi kukupalia makaa ya moto.

 Walikuwepo watu wenye ushawishi mkubwa na wafuasi wengi
 kuliko wewe hapa nchini na waliokuwa mahiri sana Kubwabwaja
 kupitia vyombo Vya Habari kushinda wewe Lipumba , lakini Leo
 hii wamefyata Mkia huko Magerezani wa naangaika na Kesi
 zao.

 Mfano Mzuri , Mwenyekiti wa chama cha TLP, Augustine Mrema,
 Sheikh Ponda Issa Ponda , Kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho na
 Mihadhara  ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) Sheik Farid Hadi
 Ahmed (48) na wenzake, wanaoshitakiwa kwa kesi ya ugaidi
 Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam,na kuna
 siku Moja baadhi ya washitakiwa wenzake walilalamika
 mahakamani hapo Kuwa wamefanyiwa vitendo Vya kikatiri
 Magerezani  na Polisi ikiwemo kulawitiwa na Polisi Hali
 iliyosababisha waaribike vibaya sehemu za Siri.

 Na kwa taarifa Yako, baadhi ya Wanajeshi nilioapata fursa ya
 kukutana nao Ana kwa Ana wamenieleza wamefurahishwa na kazi
 nzuri iliyofanywa na Jeshi la Polisi ya kuwashushua
 mkong'oto.

 Na siku zote Askari wana umoja sana nawafahamu ni Baba 
 zangu wamenizaa na kunilea  na ukumbuke  pia Huyo Rais
 Kikwete aliwai Kuwa Mwanajeshi.

 Kwa hiyo ukae ukijua ni wale wale, hawaangushanagi Hao na
 ukute akitazama ile video ya Januari 27 Mwaka huu, jinsi
 Lipumba ulivyokuwa  unatetemeka   Mbele ya Polisi Atakuwa
 anakucheka  sana na kukuona   Kumbe huna   ujanja Mbele
 ya Polisi wake ,ujanja wako upo Mbele ya Vyambo Vya
 Habari.

 Nakushauri  usijiangaishe kwenda kwa Kikwete kumuona
 kumuelezea jinsi wewe na wafuasi wako mlivyotendwa na
 Polisi, Kwani naamini ukimpa Kisogo tu lazima ataangua
 kicheko na hata hivyo Kikwete Hana mamlaka ya kukusaidia
 ufutiwe Kesi yako Sasa unamfuata akusaidie nini?

 Kweli Kuwa Profesa siyo kufahamu kila kitu na Lipumba
 amethibitisha Hilokupitia matamko yake mbalimbali .Mimtu
 mwenye huruma sana hivyo nakupa mbinu haramu ya ushindi wa
 Kesi ni hivi ;

 Kamfuate DPP- Mganga au vijana wake kiaina muombe akufutie
 Kesi Kama unaweza maana DPP kwa mujibu wa Kifungu cha 91(1)
 cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai ya Mwaka 2002
 ,ndiyo hasa mwenye mamlaka ya Kufuta Kesi ya jinai, kamlilie
 Shida hiyo au nenda  kaliangukie Jeshi la Polisi kimya
 kimya  baadhi ya wapelelezi wa Kesi yako ili wakaaribu 
 mapema ushahidi  ili hata DPP akikataa kukufutia Kesi basi
 ushahidi kuishaaribiwa na Polisi na mashahidi mwisho wa siku
 Mahakama itatoa hukumu ya kukuachiria huru kwasababu
 ushahidi wa upande wa jamhuri utaonekana ni dhahifu.

 Mbinu  hii inatumiwa  na watoto wa 'mujini'
 wanaokabiliwa na Kesi za jinai na wanafanikiwa kuchomoka
 ,wewe akili ya kutumia mbinu hii huna, Matokeo yake Kutwa
 unabwatabwata majukwaani na Kwenye vyombo Vya Habari. 
 Shauri yako 'watu watakula kichwa hicho' na huo
 Ubunge wa Temeke utausikia Redioni.

 Kwa mujibu wa Gazeti la Habari Leo la Februali 2 Mwaka huu,
 lilihapisha Habari iliyomnukuu , Mbunge wa Moshi Mjini,
 Philemon Ndesamburo (Chadema) amefanya mkutano wake na
 waandishi wa Habarin,Februali Mosi Mwaka huu ambapo
 Ndesamburo   aliwataka viongozi wanaounda Umoja wa Katiba
 wa Wananchi (UKAWA), kuacha kulilalamikia Jeshi la Polisi
 kutokana na kazi wanazozifanya ikiwa ni kulinda Amani na
 Usalama wa nchi.

 Aidha Ndesamburo alisema Haoni tatizo Kwa Jeshi la Polisi
 kutekeleza majukumu yake na wala Haoni sababu ya viongozi wa
 UKAWA Kulilalamikia Jeshi la Polisi kuhusu tukio lililotokea
 hivi karibuni na  anachoona Polisi inasaidia Vyama Vya
 upinzani ili wananchi  wavichague.

 Ndesamburo pia ni UKAWA kama  alivyo Mwenyekiti wa Chama
 cha NCCR- Mageuzi, James Mbatia, Mwenyekiti wa Chadema,
 Freeman Mbowe ambao Nyie wote wiki iliyopita msijitokeza
 ndani  na nje ya Bunge kulilalamikia Jeshi la Polisi Kuwa
 ni Jeshi linalotumika vibaya na limejivisha UKADA wa CCM na
 linawaonea wapinzani.

 Itakumbukwa Kuwa Katika Mauji ya mkutano haramu wa Arusha
 mjini uliokuwa umeandaliwa na Chadema ,Ndesamburo,
 Mbowe,Dk,Slaa,Samson Mwigamba walipata Shuruba kutoka kwa
 Jeshi la Polisi Kwasababu waliokaidi amri ya Jeshi Hilo
 iliyokataza mkutano huo na wengine wakaambulia kufunguliwa
 Kesi mahakamani.

 Kwa tamko Hilo la Ndesamburo ,Juzi ni wazi amekoma kukaidi
 amri za Jeshi la Polisi.Hongera sana Mzee Ndesamburo kwa
 kuliona hilo.Na wengine igeni mfano huo ukiwemo Lipumba
 ambaye hata kukimbia mbio huwezi na Tayari una Maradhi ya
 Shinikizo la Damu.

 Mzee wangu Lipumba ni msomi wa ngazi wa Kimataifa,nakushauri
 Tenda matendo ya kisiasa yanayoendana na wasomi na umri wako
 wa kiutu uzima , utaheshimika.Kwani kwa baadhi  ya matukio
 unayoyafanya ikiwemo kuamasisha wafuasi wa CUF wasipige kura
 za maoni Katiba Pendekezwa na mambo mengi watu tumefika
 uamuzi wa kujiuliza huyu ni Profesa Lipumbafu?

 Chanzo: Facebook: Happy Katabazi

 Blogg: katabazihappy.blogspot.com

 0716 774494

 Februali 3 Mwaka 2015.

 Sent from my iPad

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment