Ukimya nalo ni jibu. Nadhani tusimjibu aendelee kujisemea mwenyewe
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
On Tuesday, February 3, 2015 1:21 PM, 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Duuuuuuh, kaazi kweli kweli, huyu dada sasa anakoelekea siko kabisa anahitaji watu wampe ushaur kutowakashfu viongozi wa kisiasa namna hiii, sijaipenda hiii heading kabisa infact sikutaka kusoma ndani kuna nini hii heading tu imenifanya niandike hivi....aaache kutukana bana,. atoe hoja zake kwa lugha za kiuandishi zenye staha na hata msomaji asione kama umebias,mmmmmm lawyer wetu huyo, hiii ndio Tanzania bana na hawa ndio viongozi wetu wajao ambao wanasimama taasisi za umma na kula mpunga wa umma hadi kulewa, huu ni ulevi kabisaaaaaa, hv Lipumba anaeitwa na dada kakatabazi kua ni LUPUMBAFU akikamata nchi huyu dada atakimbilia nchi gani.....ila mmmm, anyway mungu amsaidie apate busara
From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, February 3, 2015 2:01 AM
Subject: Re: [wanabidii] NI PROFESSA LIPUMBA AU NI PROFESA LIPUMBAFU?
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, February 3, 2015 2:01 AM
Subject: Re: [wanabidii] NI PROFESSA LIPUMBA AU NI PROFESA LIPUMBAFU?
Yaani huyu mama hajaacha tu. Amazing!
em
2015-02-03 4:53 GMT-05:00 'godfred mbanyi' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Hili ni tatizo la malezi na makuzi! Huna adabu hata chembe!
--------------------------------------------
On Tue, 2/3/15, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] NI PROFESSA LIPUMBA AU NI PROFESA LIPUMBAFU?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, February 3, 2015, 11:22 AM
I'm
sick after reading this rubbish!
2015-02-03 11:19 GMT+03:00
'Happiness Katabazi' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
NI
PROFESSA LIPUMBA AU NI PROFESA LIPUMBAFU?
Na Happiness Katabazi
JUMAPILI iliyopita Mwenyekiti wa Taifa wa Chama ya Wananchi
(CUF), Profesa Ibrahim Lipumba akizungumza na waandishi wa
Habari mambo mengi likiwemo tukio la Polisi Kuzuia
maandamano ya CUF Januari 27 na kuwapiga bila Sababu na
kuwaibia baadhi ya vitu vyao.
Profesa Lipumba alisema pia anafanya jitihada ya kuonana
na Rais Jakaya Kikwete kumweleza tukio hilo na kwamba
Serikali na CCM inakata kuvuruga amani na haihehimu
maridhiano yaliyofanyika mwaka 2001, vinginevyo hali
itakuwa katika uchaguzi mkuu mwaka huu.
Itakumbukwa Kuwa Januari 29 Mwaka huu, Waziri wa Mambo ya
Ndani, Mathias Chikawe alitoa tamko la serikali kuhusu tukio
la Januaria 27 Mwaka huu,ambapo pamoja na mambo mengine
alimtaka mtu yoyote mwenye malalamiko kuhusu ukiukwaji wa
Sheria za nchi, Nguvu nyingi na Polisi awasilishe malalamiko
hayo Kwenye Dawati la uchunguzi na kwamba Dawati Hilo
itayapokea na kuyafanyia kazi na kwamba Taasisi husika
zitafanya uchunguzi Kama uenda Nguvu zaidi zilitumiwa na
Polisi bila Sababu za Msingi.
Cha ajabu watu Wengi Wanaolaani tukio lile wameshindwa
kufika Katika Dawati la uchunguzi kutoa malalamiko Yao
likiwemo dai la jeshi la polosi limejivika ukada wa CCM
wameishia kutumia vyombo Vya Habari, katika mitandao ya
kijamii Kulalamika na kutukana kitendo ambacho haisaidii
kukomesha matukio Kama hayo wanayo dai Jeshi la Polisi
linatumia Nguvu nyingi bila Sababu za Msingi.
Februali Mosi Mwaka huu, Professa Lipumba alipokuwa
Akizungumza na waandishi alisema anafanya jitihada za
kumuona Rais Kikwete ili imfikishie kilio chao.
Kwa Madai hayo ya Lipumba ,Nimuulize Lipumba amesahau kuwa
Kikwete Kuwa ni Mwenyekiti wa CCM Taifa na pia ni Amiri
Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama na aliwahi Kuwa
Ofisa wa Jeshi la Wananchi(JWTZ)?
Lipumba kadai Polisi imejivika Joho la Ukada wa CCM.Sasa
Lipumba yeye ni CUF haoni Kama akienda kumweleza Hilo Rais
Kikwete ni sawa anafanyakazi ya 'kumvalisha Mbu
miwani' au Kesi ya Nyani anampelekea Ngedere?
Halafu Lipumba anaenda kumweleza nini Rais Kikwete Kuwa yeye
na wafuasi wake walijeruhiwa na Polisi ili iweje? Kwani
Kikwete ni Daktari au nesi wa kuwatibia majeraha
waliyoyapata kutokana na vipigo' Mpini ' wa Askari
Polosi?
Tufanye Lipumba Hana Imani na Jeshi la Polisi kwa hiyo hata
akienda kutoa malalamiko yake Katika Dawati la uchunguzi
dhidi ya Polisi wale hayatafanyiwa kazi.
Kwa nini Lipumba anashindwa Kufungua Kesi ya Madai ya fidia
dhidi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi, Mwanasheria Mkuu wa
Serikali ya kuomba Mahakama itoe amri kwa wadaiwa Hao ili
iwalipe fidia iliyotokana na madhara ya vipigo Vya
Polisi?
Ibara 107 A(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
ya Mwaka 1977, inasema Mahakama ni Chombo pekee cha kutoa
haki na Ndio maana Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), Biswalo
Mganga, Januari 28 Mwaka huu, amemfungulia Lipumba Kesi ya
jinai Na.25 / 2015, Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu
Dar es Salaam.
Kwa nini Lipumba anashindwa kutumia haki hiyo ya Kikatiba
kupata haki yake anayodhani anastahili kuipata? Vyombo Vya
Habari, mikutano ya adhara ,kukutana na Kikwete
haitakusaidia kupata hiyo haki yako ya Kikatiba ya
kuandamana, kupewa fidia ya kujeruhiwa na Hasara iliyoupata
CUF kwaajili ya kuandaa maandamano na mkutano wa adhara wa
Januari 27 Mwaka huu.
Zaidi zaidi Mbele ya Jamii ya watu wenye akili timamu na
waliotazama video ya Januari 27 Mwaka huu, ambao Katika
video hiyo Ulipokuwa ukihojiwa na polisi wewe Mwenyewe
(Lipumba) kwa Mdomo wako ulikiri Mbele ya Polisi wale na
ulisema yafutatayo ;
' Barua ya Jeshi la Polisi ya Kuzuia maandamano ya
CUF mliipata saa 12 Kabla ya CUF kuanza maandamano na
kwamba wewe na wafuasi wako siku hiyo ya Januari 27 mwaka
huu, mlikuwa mkitembea kwa miguu huku mkiwa Wengi toka Ofisi
za CUF- Temeke kwenda eneo la Mkutano ili Muende
kuahirisha mkutano ule.
Kwa maelezo hayo uliyoyatoa Lipumba wakati umezingirwa na
Polisi na wafuasi wako wakichezea 'mpini wa
Polisi' yaani kipigo huku ukionekana ni mpole
sana,uliyekuwa ukitoa ushirikiano wa Hali ya juu kwa Polisi
tena kwa heshima kubwa na kujimaliza kwa maelezo yako
,niliishia kujiuliza msomi huyu ni Profesa Lipumba au ni
Profesa Lipumbafu?
Yaani Lipumba Katika video ile amekiri kabisa Kuwa ni kweli
saa 12 ,CUF ilipokea barua ya Jeshi la Polisi ya Kuzuia
maandamano Yao lakini bado Lipumba siku hiyo ya Januari 27,
akatoka nyumbani kwake akaenda hadi Ofisi ya CUF- Temeke,
akiwaambia wafuasi wake watoke Katika Ofisi hiyo na waende
kwa Wingi wao kwenda eneo la mkutano kwenda kuairisha
mkutano ule wakati Tayari alikuwa anafahamu Kuwa Tayari
Polisi ilishawakabidhi mapema barua ya Kuzuia maandamano
hayo.
Kwa kitendo hiki cha msomi wa aina ya Lipumba kwa mdomo wake
kupitia video ya tukio la Januari 27 Mwaka huu, ameonekana
akikiri Mbele ya Polisi Kuwa Kabla ya kuanza maandamano
Tayari CUF ilikuwa imeishapokea barua ya Polisi ya kukataza
maandamano lakini yeye akawaongoza wafuasi wake kutembea kwa
umoja wao kwenda kuarisha mkutano kinastahili kufanywa na
msomi huyu?
Mzee wangu Lipumba naomba kukushauri jambo moja kwamba,
kubali kuwa hadi sasa wewe ni mshitakiwa wa kesi ya jinai
ambao polisi unaowakebehi ndiyo wachunguzi na mashahidi wa
kesi yako.
Mwendesha Mashitaka ili ashinde Kesi yoyote ili ya jinai ,
anategemea sana kazi iliyofanywa na wapelelezi wawe wa
Takukuru au Jeshi la Polisi.
Hivyo nakushauri mzee wangu Lipumba kuanzia sasa acha
kuendeleza 'ligi' ya maneno na polisi, unaweza
ukajikuta unaumia. Kumbuka msemo usemao mdomo uliponza
kichwa.
Mahakama ipo kwaajili kutoa haki lakini siku zote Mahakama
inatoa haki kutokana na aina ya ushahidi ,hoja
zilizowasilishwa Mbele yake na pande mbili zenye mgogoro.
Kumbuka katika Kesi yako mshitakiwa ni wewe peke yako na
wala siyo viongozi wenzio wa UKAWA na baadhi ya wafuasi
wako,vyombo vya habari ambavyo wewe unafikiri vinakusaidia
kumbe vinazidi kukupalia makaa ya moto.
Walikuwepo watu wenye ushawishi mkubwa na wafuasi wengi
kuliko wewe hapa nchini na waliokuwa mahiri sana Kubwabwaja
kupitia vyombo Vya Habari kushinda wewe Lipumba , lakini Leo
hii wamefyata Mkia huko Magerezani wa naangaika na Kesi
zao.
Mfano Mzuri , Mwenyekiti wa chama cha TLP, Augustine Mrema,
Sheikh Ponda Issa Ponda , Kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho na
Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) Sheik Farid Hadi
Ahmed (48) na wenzake, wanaoshitakiwa kwa kesi ya ugaidi
Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam,na kuna
siku Moja baadhi ya washitakiwa wenzake walilalamika
mahakamani hapo Kuwa wamefanyiwa vitendo Vya kikatiri
Magerezani na Polisi ikiwemo kulawitiwa na Polisi Hali
iliyosababisha waaribike vibaya sehemu za Siri.
Na kwa taarifa Yako, baadhi ya Wanajeshi nilioapata fursa ya
kukutana nao Ana kwa Ana wamenieleza wamefurahishwa na kazi
nzuri iliyofanywa na Jeshi la Polisi ya kuwashushua
mkong'oto.
Na siku zote Askari wana umoja sana nawafahamu ni Baba
zangu wamenizaa na kunilea na ukumbuke pia Huyo Rais
Kikwete aliwai Kuwa Mwanajeshi.
Kwa hiyo ukae ukijua ni wale wale, hawaangushanagi Hao na
ukute akitazama ile video ya Januari 27 Mwaka huu, jinsi
Lipumba ulivyokuwa unatetemeka Mbele ya Polisi Atakuwa
anakucheka sana na kukuona Kumbe huna ujanja Mbele
ya Polisi wake ,ujanja wako upo Mbele ya Vyambo Vya
Habari.
Nakushauri usijiangaishe kwenda kwa Kikwete kumuona
kumuelezea jinsi wewe na wafuasi wako mlivyotendwa na
Polisi, Kwani naamini ukimpa Kisogo tu lazima ataangua
kicheko na hata hivyo Kikwete Hana mamlaka ya kukusaidia
ufutiwe Kesi yako Sasa unamfuata akusaidie nini?
Kweli Kuwa Profesa siyo kufahamu kila kitu na Lipumba
amethibitisha Hilokupitia matamko yake mbalimbali .Mimtu
mwenye huruma sana hivyo nakupa mbinu haramu ya ushindi wa
Kesi ni hivi ;
Kamfuate DPP- Mganga au vijana wake kiaina muombe akufutie
Kesi Kama unaweza maana DPP kwa mujibu wa Kifungu cha 91(1)
cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai ya Mwaka 2002
,ndiyo hasa mwenye mamlaka ya Kufuta Kesi ya jinai, kamlilie
Shida hiyo au nenda kaliangukie Jeshi la Polisi kimya
kimya baadhi ya wapelelezi wa Kesi yako ili wakaaribu
mapema ushahidi ili hata DPP akikataa kukufutia Kesi basi
ushahidi kuishaaribiwa na Polisi na mashahidi mwisho wa siku
Mahakama itatoa hukumu ya kukuachiria huru kwasababu
ushahidi wa upande wa jamhuri utaonekana ni dhahifu.
Mbinu hii inatumiwa na watoto wa 'mujini'
wanaokabiliwa na Kesi za jinai na wanafanikiwa kuchomoka
,wewe akili ya kutumia mbinu hii huna, Matokeo yake Kutwa
unabwatabwata majukwaani na Kwenye vyombo Vya Habari.
Shauri yako 'watu watakula kichwa hicho' na huo
Ubunge wa Temeke utausikia Redioni.
Kwa mujibu wa Gazeti la Habari Leo la Februali 2 Mwaka huu,
lilihapisha Habari iliyomnukuu , Mbunge wa Moshi Mjini,
Philemon Ndesamburo (Chadema) amefanya mkutano wake na
waandishi wa Habarin,Februali Mosi Mwaka huu ambapo
Ndesamburo aliwataka viongozi wanaounda Umoja wa Katiba
wa Wananchi (UKAWA), kuacha kulilalamikia Jeshi la Polisi
kutokana na kazi wanazozifanya ikiwa ni kulinda Amani na
Usalama wa nchi.
Aidha Ndesamburo alisema Haoni tatizo Kwa Jeshi la Polisi
kutekeleza majukumu yake na wala Haoni sababu ya viongozi wa
UKAWA Kulilalamikia Jeshi la Polisi kuhusu tukio lililotokea
hivi karibuni na anachoona Polisi inasaidia Vyama Vya
upinzani ili wananchi wavichague.
Ndesamburo pia ni UKAWA kama alivyo Mwenyekiti wa Chama
cha NCCR- Mageuzi, James Mbatia, Mwenyekiti wa Chadema,
Freeman Mbowe ambao Nyie wote wiki iliyopita msijitokeza
ndani na nje ya Bunge kulilalamikia Jeshi la Polisi Kuwa
ni Jeshi linalotumika vibaya na limejivisha UKADA wa CCM na
linawaonea wapinzani.
Itakumbukwa Kuwa Katika Mauji ya mkutano haramu wa Arusha
mjini uliokuwa umeandaliwa na Chadema ,Ndesamburo,
Mbowe,Dk,Slaa,Samson Mwigamba walipata Shuruba kutoka kwa
Jeshi la Polisi Kwasababu waliokaidi amri ya Jeshi Hilo
iliyokataza mkutano huo na wengine wakaambulia kufunguliwa
Kesi mahakamani.
Kwa tamko Hilo la Ndesamburo ,Juzi ni wazi amekoma kukaidi
amri za Jeshi la Polisi.Hongera sana Mzee Ndesamburo kwa
kuliona hilo.Na wengine igeni mfano huo ukiwemo Lipumba
ambaye hata kukimbia mbio huwezi na Tayari una Maradhi ya
Shinikizo la Damu.
Mzee wangu Lipumba ni msomi wa ngazi wa Kimataifa,nakushauri
Tenda matendo ya kisiasa yanayoendana na wasomi na umri wako
wa kiutu uzima , utaheshimika.Kwani kwa baadhi ya matukio
unayoyafanya ikiwemo kuamasisha wafuasi wa CUF wasipige kura
za maoni Katiba Pendekezwa na mambo mengi watu tumefika
uamuzi wa kujiuliza huyu ni Profesa Lipumbafu?
Chanzo: Facebook: Happy Katabazi
Blogg: katabazihappy.blogspot.com
0716 774494
Februali 3 Mwaka 2015.
Sent from my iPad
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment