Nashukuru sana nafikiri nimeelewa. Huwa na Update mara kwa mara. Nililokuwa sijui ni kama updates hizo ni za 2012 au 2013. Siku hizi nashangaa kuona ukiupdate leo kesho inaonyesha out of date. ilikuwa inanileta wasiwasi. Nikiona vyedma nitapiga. Ahsante sana. Elisa
--- On Sat, 6/1/13, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> Subject: Re: [wanabidii] TAARIFA KWA WATUMIAJI WA KASPERSKY ANTIVIRUS /INTERNET SECURITY To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>, "Wanazuoni" <wanazuoni@yahoogroups.com> Date: Saturday, June 1, 2013, 3:37 AM
Ndio unaweza kufanya upgrade kwenda 2013 kama unataka au unaweza kuendelea kutumia hiyo hiyo ukanunua leseni tu ambayo itaongeza muda wa hiyo ambayo unayo kwa sasa hivi halafu baadaye ndio ukatafuta programu yenyewe .
Leseni za 2012 zinaweza kufanya kazi kwa 2013 vile vile za 2013 inaweza kufanya kazi kwenye 2012 hii ni kwa antivirus au internet security .
Tatizo lako ni wengi wanalo , unakuta yuko mbali na sehemu ambayo anaweza kupata antivirus na imeisha muda wake lakini anataka kuendelea kutumia zaidi njia rahisi ni hiyo .
Unaweza kunipigia kwa msaada zaidi 0786 806028 . -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
|
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment