Saturday, 29 June 2013

[wanabidii] Msimamo Mkali Wa Vijana Wa Mlimani ( VI)- Nyerere Aliwaita Wajerumani ' Wamasai Wa Ulaya'!



Na Born Again Pagan

Mwalimu alikipenda Chuo Kikuu (Mlimani)! Alipendelea kuwaleta wageni wa taifa hapo Mlimani kukutana na jamii ya Chuo Kikuu na kubadilishana mawazo, kwa mfano. Rais Josip Tito wa Yugoslavia na Indira Gandhi wa India.

Mwalimu Nyerere alivutwa na wanafunzi wa Mlimani, hususan, wana-TYL. Wakati alipopata nafasi, hakusita kuwakaribisha wana-TYL nyumbani kwake Msasani. Nakumbuka siku moja alokoshwa sana na baadhi ya michango kutoka kwa kundi lilikwena kumtembelea alasiri moja ya Jumapili.

Akiwa amejawa na furaha, Mwalimu Nyerere alitamka...nasikia kuwa wakati mwingine mnaacha raha za wikiendi na kumalizia, pengine, "homework" zenu alasiri za Jumatano zisizo na madarasa kusaidia....Soma zaidi...http://www.mjengwablog.com/siasa/item/3606-msimamo-mkali-wa-vijana-wa-mlimani-vi-nyerere-aliwaita-wajerumani-wamasai-wa-ulaya.html#.Uc_VgpyNCAg

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment