Saturday, 29 June 2013

[wanabidii] Historia Ya Kombe La Dunia ( VI)- Kamwe, Brazil Hawasusii Kandanda...!



Na Maggid Mjengwa,

TUMEONA, kuwa Vita Kuu ya Pili ya Dunia ilifumuka mwaka mmoja
baada ya kumalizika fainali za tatu za Kombe la Dunia kule Ufaransa, 1938.
Vita hivyo vilivyoanzishwa na fashisti Adolf Hitler wa Ujerumani akisaidiwa
na swahiba wake Benito Mussolini wa Italia vilipelekea kusimamishwa kwa
michuano ya Kombe la Dunia.

Tangu mwaka 1938, miaka 12 ilipita bila kufanyika kwa fainali za
Kombe la Dunia. Hivyo basi, baada ya Vita ya Pili ya Dunia, uongozi wa FIFA
ulikaa chini na kulipangusa vumbi Kombe la Dunia tayari kwa kujiandaa na
fainali nyingine za mwaka 1950. Kombe hilo lililojulikana kama " Coupe Jules
Rimet" kwa lugha ya Kifaransa, lilitengenezwa kwa dhahabu tupu.

Katika maandalizi hayo......Soma zaidi...http://mjengwablog.com/michezo/item/3604-historia-ya-kombe-la-dunia-vi-kamwe-brazil-hawasusii-kandanda.html#.Uc_FlpyNCAg

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment