Ni kweli Emanuel sometimes tukiangalia bora tuache wawekezaji watuchimbie kwani uwezo wa kuchimba wenyewe hatuna ila cha muhimu ni kuangalia mikataba tunayoingia nao isiwe ya maslahi binafsi ila kwa taifa nzima. Otherwise tutaendelea kupiga kelele tuna raslimali lakini kuifanya iuzike hatuwezi.
Date: Fri, 28 Jun 2013 10:13:11 -0400
Subject: Re: [wanabidii] Karibu Obama nchi ya Madalali
From: emuganda@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com
Thanks, Monica.
Tuendelee.
em
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

2013/6/28 Monica Malle <moninaike@hotmail.com>
Sorry Emanuel kama maandishi yangu yamekuudhi key board yangu ilikuwa imejam ndio maana. now its ok
Date: Fri, 28 Jun 2013 08:34:25 -0400
Subject: Re: [wanabidii] Karibu Obama nchi ya Madalali
From: emuganda@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com
Monica,
Nakuomba next time unapoandika ukumbini tumia herufi ndogo. Herufi kubwa ni kama vile una shout kwenye movie theatre.
Ni ushauri tu.
em
2013/6/28 Monica Malle <moninaike@hotmail.com>
JAMANI WATANZANIA TUACHE KULAUMU KILA LINATOKEA KUAMINI KUWA LINA SABABU. UTARATIBU WA MARAISI KUTEMBELEA NCHI MBALIMBALI MBONA UPO SIKU ZOTE TANGU ENZI NA ENZI DUNIANI POTE?? KWANINI HILI LA OBAMA MMELIVALIA NJUGA? MNATAKA AJE KUGAWA HELA KWA KILA MTANZANIA? MBONA RAISI WETU AMEKWENDA NCHI KARIBU ZOTE DUNIANI MBONA HATUJASIKIA KAMA WAALIMKATAA AU KUMPIGIA MAJUNGU KAMA TUNAVYOFANYA KWA OBAMA.
TUACHE UVIVU TUFANYE KAZI SIO KUSUBIRI ooooh OBAMA KAJA KWA AJILI YA RASLIMALI oooooh SIJUI KIGAMBOBI, KAMA RASLIMALI SI MZICHIMBE WENYEWE MNANGOJEA NINI?
KARIBU OBAMA TUNAKUKARIBISHA KWA MOYO MKUNJUFU
Date: Fri, 28 Jun 2013 04:45:09 -0700
From: mobinsons@yahoo.com
Subject: [wanabidii] Karibu Obama nchi ya Madalali
To: wanabidii@googlegroups.com
Karibu Obama nchi ya Madalali
Na Mobini SaryaOH ! Dar salaama umepambwa ukapambika ,sawa na bibi harusi anayejiandaa kumlaki bwana harusi, barabara zimesafishwa lami zimepigwa deki, laiti kama pilika pilika hizi zingekuwa za siku zote mji huu ungekuwa tafauti na ilivyo sasa.Gharama kubwa zilizotumika kuandaa jiji hili kwa mda mfupi ni kwa,ajili ya kumlaki bwana mkubwa Baraka Hussein Obama,rais wa Marekani mwenye asili ya afrika mashariki kutoka nchini Kenya.Ni nani huyo rais Obama? Baba yake Hussein Obama wa kabila la kijaluo kutoka eneo la kisumu nchini Kenya alikuwa muislam aliyesafiri hadi nchini ,marekani na kuzaa huyo mtoto mwenye mchanganyiko wa dini na makabila tofauti.Lakini kilichosalia ni kuwa Obama ni mwafirika mwenye asili ya Kenya ingawa ni raia wa Marekani kwa mjibu wa sheria za nchi hiyo.Hivyo rais Obama alitarajiwa kuleta usawa kwenye dunia hii kwa kuwa yeye ni mkristo aliyelelewa kwenye nyumba za kiislam katika ,maeneo na wazazi tafauti.Rais Obama alitakiwa awe kiongozi tofauti kati ya viongozi waliowahi kuiongoza dunia kutokana na historia ya maisha yake iliyochanganyikana na jamii ,pamoja na tamaduni tofauti,lakini imekuwa kinyume na matarajio ya wengi.Tumeambiwa kuwa rais Obama amechagua kuja Tanzania badala ya nchi ya Mabababu zake Kenya kwasababu eti uchumi wetu unakua kwa kasi pamoja na kuzingatia utawala bora,kweli?Lakini pia Rais Obama anakuja nchini ikiwa ni miezi michache imepita baada ya kuondoka hapa mtawala wa China,taifa ,lenye nguvu kama marekani.imaana Ziara ya Rais Obama ni kama kufuta nyayo za kiongozi huyo wa china? Au ni kutokana na ongezeko la maliasili zinazogunduliwa kila mara katika eneo hili?Ewe rais Obama karibu Afrika,Karibu nchi ya madalali! Angalia wasikudanganye kuwa hii ni nchi masikini ,sio kweli wanataka kukuibia hao Tanzania ni tajili ila watu wake ndio masikini kutokana na kuongozwa na viongozi masikini wa akili.Rais Obama umasikini wa akili ni mbaya kuliko,unaweza kuwa na mali ukashindwa kuitumia ,ukabaki omba omba kwa wale ambao hawana mali kama yakona wakati mwingine unawapigia magoti wakudondoshee makabaki,aibu hii!Rais Obama wewe unakuja na nini kwenye nchii ya madalali wasio fanya kazi wakisubiri teni pasenti za mikataba?Mtangulizi wako Rais George Bush,alikuja hapa na chandarua baada ya kuelezwa kuwa tatizo letu kubwa ni malaria na wanaume wa hapa hawana uwezo wa kukabiliana na Jeshi la Mbu.Oh Obama,au umekuja kumalizia malipo ya eneo la kigamboni? nasikia Bush alistaafu akiwa bado anadaiwa sasa wewe umekuja kumaalizia deni hilo,ndio maana nay eye Bush atakuwa mjini Dar es saalam wakati wa ziara yako.Nimekuambia hii ni nchi ya madalali angalia wasikuibie hata unapolala usiku Kampiski mikono shikilia kwa nguvu mikononi , mwenzako Bush alipogundua hilo,aliamua kutoa vyandarua badala ya pesa lakini nako wakamchakachua.Uliza nikuambie walikwenda hadi kwenye kiwanda cha A-Z kilichopewa pesa cha jijini Arusha,wakaomba asilimia yao vingenevyo vyandarua vingekataliwa , mmiliki akaona isiwe taabu tutapunguza upana wa chandarua ili kufidia gharama ya dalali waliodai ndio wamemleta Bush Kichaka.Leo hii pesa ya wamarekani iliyotolewa kwa ajili ya kuwanunulia watanzania chandarua ni kama imepita bure kwani chandarua zilizotengenezwa utadhani ni maalumu kwa ajili ya wachina.Kifupi ni kwamba hazitumiki raia wameamua kuzitumia kuvulia samaki na kufugia kuku, hakuna chandarua ni mitego ya kuogea ile, utapeli mtupu lakini serikali ikapokea shirika la viwango (TBS)likapitisha wananchi wakagawiwa!maajabu kaabisa.Rais Obama tunalomuuza mwenyeji wako rais Kikwete ni hili yeye akiwa anasafiri nchi mbalimbali wasaidizi wake wanatetea ziara zake kwa maelezo kuwa zina manufaa,kwani anakwenda kuomba misaada.Je na wewe kuacha raaha za white house kuamua kusafiri hadi mashariki ya Afrika umekuja kufuata nini? Umekuja kukagua mji wa kigamboni au umewambia raia wako kuwa ziara Tanzania ina manufaa kwa taifa la Marekani?.Tuambie manufaa hayo kwanza ili na sisi tupime ya kwetu,kwani haiwezikani, wewe ujio wako ulete manufaa kwetu peke yake,yaani rais wetu aje marekani tuambiwe ziara zake zina manufaa, wewe uje Tanzania bado tuambiwe ziara hiyo ina manufaa kwetu!Ndugu Obama ziara yako ina Ma ........................ www.mobinday.blogspot.com
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment