Friday 28 June 2013

[wanabidii] Mining industry in ICU...

Wapendwa,

Mining industry inapitia mojawapo ya vipindi vigumu zaidi kuwahi kuvipitia. Gold price imeshuka kwa karibu 500USD kwa ounce na Nickel na iron ore nazo zimeshuka kwa kiasi kikubwa sana. Barrick wanapunguza watu mpaka kwenye corporate offices zao.

Sijui ni migodi mingapi itavuka salama na itavuka baada ya kufanya maamuzi ya namna gani. Tujiandae kwa bad news from ABG  kuna Geita gold mines. At 1250usd/oz ni migodi michache sana itaweza kusimama.

Tusubiri....

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment